serikali

  1. Cobra70

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka sasa wa kuajiri Psychologist kila Tarafa na baadhi ya Idara za Serikali

    Nawiwa kusema kila siku matukio ya ajabu ya kutisha na ya kikatiri yanazidi kuota mizizi nchini mwetu. Sababu kubwa ya haya matukio yanatokana na msongo wa mawazo wa muda mrefu wenda mtu amefanyiwa hujuma, usaliti, magonjwa ya muda mrefu, kipato duni, kufukuzwa kazi, kukosa ajira, ugomvi wa...
  2. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Serikali kuanzisha ofisi maalum ya mradi wa LNG, mazungumzo kukamilika Disemba

    Waziri wa Nishati, January Makamba, ametembelea ofisi za Kampuni ya Shell, nchini Uholanzi, na kukutana na kuzungumza na viongozi wakuu wa kampuni hiyo kuhusu masuala mbalimbali yanayohusiana na utekelezaji wa mradi wa LNG nchini. Katika mazungumzo hayo na Bwana Cederic Cremers, Makamu wa Rais...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza zile nyumba ambazo ukuta umepita mbele ya geti, moja ivunjwe ndani ya siku 7

    Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Juma Makungu Juma, ametoa muda wa siku saba, ili kuvunjwa kwa nyumba iliopo Fuoni Migombani, kwa madai msimamizi wa nyumba hiyo, Hafidh Ahmed Mohammed, amejenga kinyume na utaratibu wa kisheria za mipango miji na vijiji. Ametoa agizo hilo baada ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia inavyotekeleza huduma za Maji

    Watumiaji wa huduma za Maji nchini moja kati ya kero zao ilikua ni kuhusu ubambikaji wa bili za maji kwa wananchi, Miongoni mwa maagizo aliyowahi kutoa Rais Samia Suluhu ni pamoja na uharakishwaji wa uwepo wa mita za malipo ya kabla kwa watumiaji wa maji nchini. Mkurugenzi wa Mamlaka ya...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Serikali yaridhia kutungwa kwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Baraza la Mawaziri limeridhia kutungwa kwa sheria ya kulinda taarifa binafsi. Amesema kwa mara ya kwanza sheria hiyo itasomwa katika mkutano wa Bunge utakaoanza Jumanne ya Septemba 13, 2022 jijini Dodoma huku akiwataka...
  6. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Serikali iwekeze kwenye umwagiliaji na mbegu zinazostahimili ukame

    Sasa hivi kuna changamoto kubwa ya uhaba wa mvua au mabadiliko ya tabia nchi. Serikali iwekeze kwenye kilimo cha umwagiliaji cha kisasa kinachotumia maji machache katika mashamba makubwa kwenye mikoa na wilaya ambazo zinafaa kwa umwagiliaji. Wananchi/vijana wapewe maeneo walime kwa kumwagilia...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utata baada ya Serikali kusitisha uwindaji kwa mwaka mzima

    Katika hali inayoonyesha vita vya kampuni za uwindaji nchini, Serikali imeingia katika lawama ya upotevu wa mapato na kuzisababishia hasara kampuni sita zilizoshinda zabuni ya uwindaji kwa wenyeji na wageni wakazi iliyoendeshwa Agosti, 2021. Taarifa ilizozipata Mwananchi zinaonyesha kampuni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ya Tanzania ina ubavu wa kuweka uwazi kwenye kuhesabu kura kama walivyofanya Kenya?

    Nakumbuka vizuri mwaka ule kambi ya CHADEMA pale Mlimani City ilivyoshambuliwa wakati wakiwa katika kujumlisha kura zao kama walivyozipata kutoka kwa mawakala wao! Hivi hapa nchini Serikali inaweza kuwa na ubavu wa kuruhusu uwazi/transparency kiasi ambacho kila Mtanzania anaweza kuona kiasi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Komredi Kinana: Wabunge wa CCM kuweni Wakali kwa Serikali ili iweze kuwatumikia Wananchi kikamilifu

    Komredi Kinana amewataka Wabunge wa CCM kuwa Wakali kwa Serikali I'll matarajio ya Wananchi yafikiwe Kinana amesema yeye ni muumini wa siasa za kukosoa na kukemea lakini ni lazima Wabunge hao wawe Wakali Kwenye mambo ya msingi na siyo kufanya mbwembwe tu Kinana amesema Wabunge wasimwachie...
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Asante Serikali kwa kuliona tatizo pale TFF

    Nilisema hapa bila utashi wa kisiasa soka letu haliwezi kusonga mbele kwa kuendelea kuongozwa na watu wa visasi kama kina Karia. Heko sasa Serikali mmeanza kumtafuta polepole mchawi wa soka letu. NB: Karia dalili ya mvua ni mawingu-jiongeze.
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Serikali isitishe kujenga Dodoma kwanza

    Hali kwa Watanzania ni mbaya sana mifukoni kipindi hiki cha kupanda kwa bei za bidhaa zote na ongezeko la kodi. Kuna miradi ambayo inaweza kusimama kwa muda hadi hapo vumbi litakapo tuwama. Kama serikali Ina nia nzuri ya kuwasaidia Watanzania kwa njia ya kubana matumizi basi mahali pa kuanzia...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu asisitiza uadilifu kwenye Ujenzi wa Mji wa Serikali

    Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari Waziri Mkuu Asisitiza Uadilifu Ujenzi Mji wa Serikali Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali wahakikishe wanazingatia uadilifu katika matumizi ya fedha ili uweze kukamilika...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kwenu LATRA na Serikali ya Mkoa

    Juzi nikua mkoani Mbeya na Tunduma katika safari zangu ila kwa nilichoshuhudia ni mateso sana, sijui tatizo nini. Sikuweza kupata usafiri wa saa 12 alfajiri kwahiyo nikaja Uyole kuvizia usafiri wowote. Jamani, tulipandishwa bus aina ya fuso ambalo lilituacha Makambako! Mpaka tunafika Dar...
  14. zink

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaosoma Diploma za Afya njooni tujadiliane hapa siri ya kwenda degree vyuo vya serikali tu

    Natumai muwazima wa afya wana JF. Asikudanganye mtu yoyote siri kubwa ya kwenda degree ya afya ukitokea diploma ni kupata G.P.A KUBWA (KUANZIA 4.5 MPAKA 5.O) Ukipata hiyo G.P.A Hakuna chuo chochote kwa hapa Tanzania utachokosa mkuu haijalishi Umeipatia wapi hiyo GPA yako kubwa maana hawaangalii...
  15. Richard

    JamiiForums Tanzania Serikali ijaribu sera ya madaraka mikoani, yaweza kabisa kuibadili nchi yetu ndani ya kipindi kifupi

    Makamu mwenyekiti yupo ziarani mikoa ya magharibi mwa Tanzania, ambapo tayari kapita Kagera na mkoa mpya wa Geita. Hapo Kagera kakutana na mkuu wa mkoa bwana Chalamila ambae juzi kaongea maneno ambayo yamekosa mwongozo wa kitaaluma kwa kujaribu kulinganisha uwezo wa kuongea lugha ya kiingereza...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Makali ya tozo yalianzia hapa

    Wakati Serikali ikikiri kupokea maoni mbalimbali kuhusu tozo za miamala ya simu na kuahidi kuyafanyia kazi ndani ya kipindi kifupi, wadau wamelinyooshea kidole Bunge kwa kupitisha sheria ya fedha yenye marekebisho ya kodi na tozo, ambazo sasa zimezua malalamiko kwa wananchi. Kwa takribani wiki...
  17. Curtis De Mi Amor

    JamiiForums Tanzania Tabora special thread

    Ukiiangalia Tabora kwanzia igunga , nzega, uyui, tabora sikonge, urambo, kaliua, utagundua huu mji ni wa kipekee sana. Unaongoza kwa uzalishaji wa asali Tanzania nzima, unaongoza kwa uzalishaji wa karanga, unaongoza kwa uzalishaji wa maembe, unaongoza kwa uzalishaji wa ngozi, unaongoza kwa...
  18. Mwanamakunda

    JamiiForums Tanzania Tozo hazina maumivu makali, Wanasiasa uchwara mnatafuta kiki za kisiasa, mnashugulika na Mwigulu kwajili ya speculation za 2030

    TUACHE UNAFIKI, TOZO HIZI HAZINA MAUMIVU MAKALI, WANASIASA WALIOFELI WANATAFUTA KIKI ZA KISIASA Nasoma vitimbwi vya wanasiasa waliostaafishwa siasa na wananchi mwaka 2020, wanadhani tumesahau uhuni wao, wanadhani wananchi ni wajinga. Kwa taarifa yenu enyi wanasiasa mnaokesha mitandaoni...
  19. Faana

    JamiiForums Tanzania Iringa: Wapiga Debe Waanza Kuondolewa Rasmi Kwenye Stand -Hongera Serikali

    Jana 2.9.22 majira ya saa saba mchana police walionekana kuwakamata wapiga debe maeneo mbalimbali ya mji wa Iringa ikiwemo pale daraja la mto Ruaha, polisi hao walimkimbiza mmoja wa wapiga debe naye akakimbila kwa kasi kuelekeo unakotokea mto Ruaha. Hata hivyo polisi hao hawakukata tamaa...
  20. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kodi ,ushuru,tozo ni kitu kile kile

    Kodi ndio Mfumo upo duniani kote Lakini ushuru na tozo ni kwa mpangilio na makubaliano kati mwananchi na serikali ila kama hakuna makubaliano ni sawa na unyang'anyi hakuna tofauti na kibaka,kodi ndio inatambulika duniani ila siyo tozo na ushuru , ukiwa na wabunge wenye emotion wanaamua vitu...
Back
Top Bottom