serikali

  1. K

    Ushauri kwa CDF Jenerali Mkunda na Serikali kuhusu uendeshaji wa Shule za Jeshi

    Awali ya yote nampongeza sana Mhe. Rais wetu, mpendwa wetu Mama SAMIA SULUHU HASSANI kwa kazi nzuri anayoifanya na wasaidizi wake. Pia nampongeza sana aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya ulinzi mstaafu kwa kazi kubwa aliyoifanya na nampongeza sana Mkuu mpya mteule wa majeshi ya ulinzi kwa uteuzi wake...
  2. bahati93

    Serikali ipige marufuku viwatilifu vyenye "Atrazine"

    Wanajamii mambo sio mambo, leo nitawapasha habari juu ya sumu ya kuulia magugu Atrazine. Hii sumu inatumiwa sana na wakulima katika kuua magugu katika mashamba makubwa ya mazao mbalimbali: miwa, mahindi. Sasa kwa nini hii sumu ni Nongwa? Mwaka 2010, Dr. Tyrone Hayes alifanya utafiti kwa Vyura...
  3. JanguKamaJangu

    Serikali yasitisha matumizi ya Fomu ya 2C inayotumika kuchukua dawa maduka ya nje

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza kuanzia leo Julai 1, 2022 Serikali imesitisha rasmi matumizi ya fomu ya 2C katika Hospitali zote za umma zinazotumia Bima ya Afya mara baada ya kuonekana kuna udanganyifu mkubwa unafanyika. Fomu ya 2C ni karatasi inayoandikwa dawa nakupatiwa mgonjwa...
  4. R

    Mwalimu Nyerere alisisitiza kuwa Kazi ni Uhai, waajiri na Serikali Mtuthamini waajiriwa wenu

    Habari wana JF, Kwa ujumla ukimuajiri mtu mmoja ujue mtu huyo ana mke na watoto, ana ndugu na marafiki wanao mtegemea. Lakini pia, umlipa mshahara huyo mtu ataenda nunua unga au mchele kwa mtu mwingine ambae amejiajiri ambae inawezekana bila kazi hiyo angeweza kuwa Jambazi mtaani huko mtaani...
  5. benzemah

    Serikali kutoa ruzuku ya mbolea shilingi Bilioni 150

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akitoa hoja ya kuahirisha mkutano wa saba wa Bunge la 12 la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Katika mengi aliyoyazungumzia mimi nimefurashishwa na kitendo cha...
  6. J

    Serikali yabariki kusamehe kodi

    . Serikali imebariki hoja yake ya kuwatambua na kuwasamehe walipakodi mahiri, huku mbunge mwenye hoja kinzani akiendeleza msisitizo wake kwamba anaona ishara ya kasoro na kashfa. === Akizungumza bungeni jijini hapa jana, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, alisema serikali...
  7. W

    Loliondo, Ngorongoro, Hayaruhusiwi kuendelezwa | Serikali na wananchi walikubaliana - Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata

  8. W

    Wakili Mkuu Gabriel Malata wa Serikali amjibu Prof. Issa Shivji - Ardhi ya Umma

    Rais Ndiye Mkuu wa nchi, Nchi ni Ardhi na vitu vyote vilivyomo, Hakuna nchi ambayo haina Ardhi. Ibara ya 1 inazungumzia Tanzania ni nchi ya Jamhuri ya muungano, Ibara ya Pili inaelezea Eneo la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Rasilimali na Mali asili zote zimewekwa chini ya Mkuu wa Nchi. Ardhi...
  9. beth

    Ufilipino: Serikali yaamuru Tovuti ya Rappler kufungwa

    Mamlaka zimeamuru Tovuti huyo ya Habari za Kiuchunguzi kufungwa kwa madai ya kukiuka Sheria za Umiliki wa Vyombo vya Habari Rappler ni miongoni mwa Vyombo vichache vya Habari vilivyokosoa mwenendo wa Serikali ya Rodrigo Duterte ambaye ataachia Madaraka siku chache zijazo baada ya Ferdinand...
  10. wa stendi

    Serikali itabadilisha lini saini ya Waziri wa Fedha kwenye noti?

    Kama mnavyojua aliekuwa Waziri wa Fedha kipindi hicho ni Dkt. Mpango na kwa sasa ni Makamu wa Rais hivyo noti za fedha zilikuwa na saini yake akiwa kama Waziri, kwa sasa Waziri Ni mwingine je! Kwanini saini ya Waziri husika isiwekwe kwenye noti? Mpaka sasa akija mgeni asiyejua au mtoto anaenza...
  11. Area 56

    Serikali tunaomba mtufungulie ile barabara ya Feri kuelekea Ocean Road Hospital

    Wasaalam wanabodi, Miaka ya nyuma ile barabara tulikuwa tunaitumia vizuri tu. Akaja mtu na mawazo yake ya kujiimarishia ulinzi akaamua kuifunga bila taarifa zozote. Sasa kwa kuwa ni awamu ya sita, tunaomba serikali yetu tukufu chini ya Rais Samia mtufungulie ili tuweze kurahisisha mizunguko...
  12. Protector

    Serikali kupunguza kodi kwenye betting haioni inaendelea kuharibu vijana ambao wapo addicted na kubet

    Leo waziri wa fedha amependekeza kupunguza kodi kwenye pesa anayoshinda mtu aliyebeti kutoka 15% mpaka 10%. Kwangu naona hii ni kama kuendelea kuharibu vijana maana watahamasika kutokana na kuona wakishinda watakatwa pesa kidogo. Bora ingeongezwa ili iwavunje moyo watu wanaobet labda...
  13. GENTAMYCINE

    Kwahiyo tusiilamu Serikali ila tumlaumu Rais Samia Suluhu Hassan au?

    "Wananchi waache kuwa na lawama kwa sababu serikali yao iko makini sana katika kufanya tathmini ni aina gani ya mkopo iingie nchi yetu na ina tija gani kwa maslahi ya Taifa letu,"- Naibu Waziri wa Fedha Hamad Chande. Chanzo: EastAfricaTV Kama kuna mwaka ambao Tanzania ( Taifa ) letu hili...
  14. system hacker

    Book Keeping, Commerce na Economics yawe masomo ya lazima ili vijana wajiajiri

    Duuuu ni ngumu sana kuelewa watu wa Serikali kusisitiza watu wajiajiri; lakini walau watu hawajengewi mentality ya ki business. Kwa Tanzania yetu mandatory subjects yangekuwa: • Book Keeping • Commerce • economics • Computer Studies Imagine wale F.4 wanaomaliza wakiwa na Div. 0 / IV na hawana...
  15. S

    Serikali ya mseto mbioni kama wengine tulivyotabiri. Je, CHADEMA watakubali kushiriki katika Serikali ya aina hiyo?

    Nchi hii ukiona media au watu maarufu (wanasiasa, wasomi, wanazuoni, n.k) wanaongelea jambo fulani kwa uhuru, jambo ambalo mwanzoni walikuwa hawezi kuliongelea au kuliuunga mkono, ujue teyari jambo husika lina baraka za watawala na liko mbioni kutumia au kutokea. Kwa misingi huo, naiona...
  16. kyagata

    Kwanini Wakurya wanaishi na kufanya shughuli zao ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na Serikali haiwabughudhi kama inavyowanyia Wamasai?

    Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa. Kwa nin serikali inaonyesha double standard?
  17. GENTAMYCINE

    Kwahiyo kuna Serikali isiyokuwa na Rais? Serikali inaweza Kukopa bila idhini ya Rais? Hopeless Phd Holder wa Awamu ya Sita

    Wala usiumize kichwa kutaka kujua limekopwa lini, kwa sababu anayekopa si Rais, inakopeshwa serikali, mikopo yote ya nchi yetu haikopeshwi kwa awamu, kuna nchi ambazo zinakopa kwa awamu, lakini kabla hujamaliza awamu yako uwe umeshalipa".Waziri Nchemba. Chanzo: ITV Tanzania Yaani...
  18. J

    Kwanini Waziri Bashe anaogopa Tume kuchunguza kashfa ya mbolea?

    Wana JF Wakulima tunataka kuona bei ya mbolea inashuka nchini, pia tunataka kuona mikakati ya Serikali ya kushusha bei ya mbolea lakini maelezo aliyoyatoa Waziri Bashe hayaleti unafuu wowote kwa wakulima. Tatizo la Bei ya mbolea kupanda haliwezi kumalizwa na ruzuku kwani ruzuku inayotolewa...
  19. Suzy Elias

    Kwa hali hii ya uwingi wa majeshi huko Loliondo kwanini Serikali isitangaze hali ya hatari?!

    Hiyo picha ni Loliondo Waziri Mkuu akisikiliza wimbo wa hamasa ukiimbwa na vijana wa JKT. Hoja hapa ni huo umati wa vijana wa Vyombo vya Dola ambao wamepelekwa huko eti kwa kisingizio cha uwekaji wa beacon za mpaka wa eneo la hifadhi ya Pori tengefu.Inafikirisha sana! Kwa nini becoan zile...
  20. Roving Journalist

    Waziri wa Fedha, Dkt. Nchemba: Nchi inayoendelea lazima ikope

    NCHI INAYOENDELEA LAZIMA IKOPE "Duniani kote nchi zinazotekelea miradi mikubwa ya maendeleo na zenye uchumi mkubwa, zina madeni makubwa, ipo hivyo nendeni mkaangalie Huwezi linganisha uchumi wa Tanzania na Marekani,” - Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba Kuna nchi masikini hazina madeni na...
Back
Top Bottom