Serikali yaanzisha kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia Benki

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba ametangaza kwenye gazeti la serikali kuanza kwa kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia bank pale unapotoa au kuweka fedha utakatwa kodi ya viwango tofauti kama inavyoonekana kwenye jedwari hili hapa chini.

The Government of Tanzania has imposed levy on all withdrawals done over the counter, ATMs’ plus all transfers (TISS & SWIFT) w.e.f 01.07.2022 as gazetted in the Government Gazette NO. 478V published on 01/07/2022.

IMG-20220721-WA0001.jpg
 
Siamini kama Lameck na timu yake wameshindwa kubuni vyanzo vingine vya mapato isipokuwa kuwabamiza wanyonge kwa gia ya tozo za miamala!

Am sure deposit kwa bank zitapungua lkn pia kbl ya sheria hiyo kuanzia pesa nyingi zitachotwa kurudi kuhifadhiwa kwenye magodoro!!
 
Kwa hiyo hutaki au na je imeongezeka,imepungua au makato mapya na ni miamala ipi inahusika?Majibu tafadhali ndugu mleta hoja
Wenzetu hamna akili?
Atm ukitoa pesa unakatwa na bank, sasa hivi serikali pia itaweka makato yake. Sasa hapo inapunguwaje?

NB
Pia Kodi na tozo ni lazima
Serikali lazima ipate mapato, hata kwa kutumia nguvu
 
Yaani mfano umelipwa mshahara na hio hio serikali ukaingia benki halafu unaenda benki au atm kutoa hela serikali tena wanakukata TOZO(Hapo kama bank nao huwa wanatoza unaliwa huku na huku)
Kwa maana hiyo ni tozo mpya au ni zilizokuwepo zimeongezwa au zimepunguzwa? Kwa nia sidhani kama Kuna miamala yeyote iliyokuwa Haina gharama. Na kichekesho kikubwa zaidi no pale mitandao ya simu ilivyoamua kama umejiunga na huduma za kibenki hata kama una billions kwenye account Yako kama huna Salio la kutosha sms huwezi kuipata pesa Yako hata uwe na shida Gani, hata hiyo kuongeza Salio kwenye simu. Hapa ndio ninapo waona watanzania wote sisi ni wajinga. Na tutabakia kuwa maskini Kwa ujinga wetu. Kwani kufanya haya tunajihujimu wenyewe. Kisa tunalazimisha manufaa binafsi na kuzuia manufaa ya umma wa watanzania ambao kupitia Kwa ndio maendeleo ya Taifa.🤔
 
Back
Top Bottom