Naingiaje payroll mpya ya Serikali?

Kuna kipindi mtu alikuwa akifaulu kwenda advance basi cheti cha O Level anakipiga noti watu wanakwendanavyo majeshini na sehemu nyingine za kiutumishi.
Mwaswali
1. Uliibiwa lini?
2. Uliripoti police na ulipewa loss report?
3. Kwa kipindi chote ulishindwa vipi kupata cheti kipya? Maana inaonyesha harakati nyingi ulifanya baada ya kuonekana umekosa check number.
Nijibu haya nikusaidie
Kuna kitu unadanganya hutaki kuwa muwazi. Umesema uliripoti mwakajana na huyo mtumishi akafukuzwa kazi, then umesema umeajiriwa mwaka huu mwezi wa 6 na sasa una miezi 7 hujalipwa mshahara.
Je, kutoka Juni mwaka huu mpaka hii Julai mwaka huu ni miezi saba? Ikumbukwe hapo hata mshahara wa July bado
 
Nimesema nimeajiriwa mwezi wa 6 mwaka huu, hivyo mwezi wa saba sitaingia kwa payroll
 
Hilo suala lako siyo gumu. Nenda Baraza la Mitihani. Watakuhoji na wakijiridhisha wewe ndiye mhusika, watamjulisha mwajiri wako. Huyo HR pia awaandikie Baraza na siyo Utumishi kutaka taarifa zajo sahihi.
Utumishi wamejiridhisha kwamba Mimi ndiye sahihi , Shida ni kuipata hiyo cheki namba kwamba itatumia MUDA gani!?
 
Kuna kipindi mtu alikuwa akifaulu kwenda advance basi cheti cha O Level anakipiga noti watu wanakwendanavyo majeshini na sehemu nyingine za kiutumishi.
Mwaswali
1. Uliibiwa lini?
2. Uliripoti police na ulipewa loss report?
3. Kwa kipindi chote ulishindwa vipi kupata cheti kipya? Maana inaonyesha harakati nyingi ulifanya baada ya kuonekana umekosa check number.
Nijibu haya nikusaidie
Kuna kitu unadanganya hutaki kuwa muwazi. Umesema uliripoti mwakajana na huyo mtumishi akafukuzwa kazi, then umesema umeajiriwa mwaka huu mwezi wa 6 na sasa una miezi 7 hujalipwa mshahara.
Je, kutoka Juni mwaka huu mpaka hii Julai mwaka huu ni miezi saba? Ikumbukwe hapo hata mshahara wa July bado
Rudia tena kusoma
 
Utumishi wamejiridhisha kwamba Mimi ndiye sahihi , Shida ni kuipata hiyo cheki namba kwamba itatumia MUDA gani!?
Hauwezi ukaingia mpaka hiyo check namba ifutwe. Ni MCHAKATO wenye usumbufu sana. Ongea na huyo afsa utumishi wa halmshauri uliyopata ajira awasiliane na Utumishi Makao Makuu (Desk wa Mkoa husika) wampe mwongozo wa cha kufanya. Ukibahatika kama yupo sharp na mchapakazi litaisha kwa haraka bila ya usumbufu wa hapo chini. (Ingawa hili ni nadra kwa maofsa Utumishi wa halmshauri nyingi)

Huenda vikahitajika visibitisho vikiwemo taarifa za upotevu,(POLISI) cheti Cha kuthibitishwa uhalali na umiliki wa cheti/uhakiki (NECTA),barua toka kwa mkurugenzi kwa yule aliyefukuzwa.

Mwisho acheni kugawa vyeti vyenu hovyo kwa ndugu na Jamaa kwa tamaa ya fedha au Lengo la kwenda kutafuta ajira. Mifumo mingi ya kutunza taarifa za mtumishi sasa hivi imekuwa electronic sio ile ya kuweka taarifa/data za mtumishi kwenye mafaili kama miaka ya nyuma. Kwa hiyo ni rahisi kugundulika kuwa cheti kinatumika na mtu mwengine kwenye ajira. Kwa hivi sasa lipo serikali lakini ipo siku litafika sekta binafsi pia
 
Hauwezi ukaingia mpaka hiyo check namba ifutwe. Ni MCHAKATO wenye usumbufu sana. Ongea na huyo afsa utumishi wa halmshauri uliyopata ajira awasiliane na Utumishi Makao Makuu (Desk wa Mkoa husika) wampe mwongozo wa cha kufanya. Ukibahatika kama yupo sharp na mchapakazi litaisha kwa haraka bila ya usumbufu wa hapo chini. (Ingawa hili ni nadra kwa maofsa Utumishi wa halmshauri nyingi)

Huenda vikahitajika visibitisho vikiwemo taarifa za upotevu,(POLISI) cheti Cha kuthibitishwa uhalali na umiliki wa cheti/uhakiki (NECTA),barua toka kwa mkurugenzi kwa yule aliyefukuzwa.

Mwisho acheni kugawa vyeti vyenu hovyo kwa ndugu na Jamaa kwa tamaa ya fedha au Lengo la kwenda kutafuta ajira. Mifumo mingi ya kutunza taarifa za mtumishi sasa hivi imekuwa electronic sio ile ya kuweka taarifa/data za mtumishi kwenye mafaili kama miaka ya nyuma. Kwa hiyo ni rahisi kugundulika kuwa cheti kinatumika na mtu mwengine kwenye ajira. Kwa hivi sasa lipo serikali lakini ipo siku
Hivi unafuata taratibu gani kufuta check No kwenye payroll, check Number ina miaka sita nasubiri labda itafutwa lakini bado inaonekana kwenye system.
Nimechoka kuhudhuria interview kila nikipata kazi inadunda kuingizwa kwenye payroll.
 
Mifumo inaendeshwa na watu, hata wakisema sasa hivi ifutwe/isimamishwe inawezekana; muhimu tu, huyo mwenye mamlaka analichukuliaje hilo tatizo.
 
Wakuu nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Mimi nimebahatika kupata Ajira mpya za sasa hivi. Ila kuna changamoto moja iliyojitokeza ambapo nimeonekana kuwa na cheki namba tayari.

Iko hivi; Hapo kabla niliibiwa cheti changu cha kidato cha NNE na kuzaliwa , hivyo huyo MTU akaajiriwa kada ya afya.

Mimi ni Kada ya Elimu shahada na yeye alikuwa certificate ( Afya) mnamo mwaka Jana nililifuatilia suala hili Utumishi, Baraza la mitihani. Ambapo kufikia mwaka huu Feb- April. Aliandikiwa Barua ya kufutwa KAZI kwa sababu ya kughushi vyeti.

Mungu si Athumani mwaka huu mwezi wa sita nami nikapata KAZI. Taarifa zangu zilivyoingizwa Tu ikaonekana tayari Nina cheki Namba.

Afisa Utumish WANGU aliwasiliana na Utumishi wa yule wa mwanzo .Na hivyo kuthibitisha kwamba Mimi siye( aliyekuwa nesi). Basi akasema yeye atawasiliana na makao makuu. Na hili suala litaisha. Japo mwezi wa 7 mshahara sitapata.

Nimekuja hapa kwa ushauri zaidi ndugu zanguni kwa wale mwenye experience.

N.b niombe kwa wale wenye kejeli na matusi wasi komenti.Machungu na matatizo niliyo nayo yananitosha.

AHSANTE

Nadhani hili suala ungetulia nalo maana tayari linafanyiwa kazi na ofisi husika.

Kulileta huku ni kama hujaridhika na hatua zinazochukuliwa na ofisi zenye mamlaka.

Tujifunze kuwa na siri na tujue ofisi zina utaratibu, subira jambo la muhimu sana
 
Hivi unafuata taratibu gani kufuta check No kwenye payroll, check Number ina miaka sita nasubiri labda itafutwa lakini bado inaonekana kwenye system.
Nimechoka kuhudhuria interview kila nikipata kazi inadunda kuingizwa kwenye payroll.
Nenda Utumishi Makao Makuu utaelekezwa. Kwa nini ulikataa /ulisitishiwa ajira mkuu? Hii huwa inasumbua mno kupata ajira serikalini. Wakiingiza tu namba ya cheti kidato Cha nne, check number inasoma na sababu.
 
Wakuu nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Mimi nimebahatika kupata Ajira mpya za sasa hivi. Ila kuna changamoto moja iliyojitokeza ambapo nimeonekana kuwa na cheki namba tayari.

Iko hivi; Hapo kabla niliibiwa cheti changu cha kidato cha NNE na kuzaliwa , hivyo huyo MTU akaajiriwa kada ya afya.

Mimi ni Kada ya Elimu shahada na yeye alikuwa certificate ( Afya) mnamo mwaka Jana nililifuatilia suala hili Utumishi, Baraza la mitihani. Ambapo kufikia mwaka huu Feb- April. Aliandikiwa Barua ya kufutwa KAZI kwa sababu ya kughushi vyeti.

Mungu si Athumani mwaka huu mwezi wa sita nami nikapata KAZI. Taarifa zangu zilivyoingizwa Tu ikaonekana tayari Nina cheki Namba.

Afisa Utumish WANGU aliwasiliana na Utumishi wa yule wa mwanzo .Na hivyo kuthibitisha kwamba Mimi siye( aliyekuwa nesi). Basi akasema yeye atawasiliana na makao makuu. Na hili suala litaisha. Japo mwezi wa 7 mshahara sitapata.

Nimekuja hapa kwa ushauri zaidi ndugu zanguni kwa wale mwenye experience.

N.b niombe kwa wale wenye kejeli na matusi wasi komenti.Machungu na matatizo niliyo nayo yananitosha.

AHSANTE
Kitu kama hicho hata haina haja ya kuleta kwenye jukwaa hili. Na umeweka utambulisho kabisa. Huna kifua.
 
Back
Top Bottom