Serikali inakusanyaje kodi katika zile mashine za Kichina za kamali?

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
482
1,053
Wadau kuna hizi machine za kamali za wachina zimetapakaa kila Kona ya mijinI hadi vijijini na wenyewe utawakuta na harrier na Krueger wanakusanya hela.

Je, hizi mashine Serikali wanapataje mapato yao na zinaingizwaje nchini na zina usimamizi gani wa Serikali maana hawa jamaa wanapata hela sana.

Je, kuna marejesho Serikalini wanfanya au mradi wa mtu maana yake naona watu wapo kimya kabisa, hebu tuangalie hili tulisemee kuna harufu moja nzito kwenye hili.
 
Back
Top Bottom