serikali

  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, nini kitatokea endapo serikali itapiga marufuku uagizaji wa magari binafsi ya kutembelea?

    1.) Je, ni shillingi za kiTanzania trillion ngapi hutumika na waTz kwa mwaka kuagiza magari ya kutembelea? Na je, baada ya zuio hilo matrillion hayo wanaweza kuyatumia kwenye nyanja ipi kama mbadala? Ujenzi au kilimo? 2.) Je, mikangafu inayoozea gereji juu ya mawe inaweza ikapanda thamani na...
  2. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi ambavyo Serikali na mkoa wa Dar inaweza kuongeza makusanyo ya pesa kupitia barabara za mwendo kasi bila kumuathiri mtu

    Makusanyo haya hayataathiri mwanachi bali ni kumnufaisha kwa kuchagua njia anayotaka kutumia na kuongeza kasi kwenye miradi ya maendeleo. Sehemu ambazo barabara ya mwendo kasi inapatikana Kivukoni,Kimara,Mbezi,Kibaha,Kariakoo(Gerezani) ambapo ndio kituo kikuu na Mbagala japo iko mbioni...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kila taasisi ikipewa mamlaka ya usimamizi wa mahabusu nani atawawajibisha wakifanya makosa?

    Luhanga Mpina ameyasema haya bungeni na kuhoji kuhusu mamlaka za uangalizi mahabusu kuwa wasimamizi wa mahabusu hizo akisema manyanyaso yanaweza kutokea na hakutakuwa wa kuwawajibisha kwasababu wao wenyewe ndiyo wasimamizi. Akaongeza kuwa kutakuwa na mkanganyiko mkubwa wa kushughulika na kesi...
  4. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Serikali yataja hatua nane kudhibiti mfumuko wa bei

    Serikali imetaja hatua nane zilizochukuliwa katika kudhibii mfumuko wa bei ili kuhakikisha unaendelea kubaki ndani ya wigo wa tarakimu moja. 1. Imeimarisha sekta za uzalishaji ili kuongeza upatikanaji wa bidhaa unaoendana na mahitaji. 2. Kutoa ruzuku kwa ajili ya kupunguza bei ya nishati ya...
  5. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jambo hili inalofanya Serikali ni wizi dhidi ya raia wake maskini

    Serikali ya kijambazi, kifisadi, kihuni ndiyo inayoweza fanya hivi kwa wananchi wake. Inaiba pesa za wananchi wake maskini kwa kupachika tu majina ya kihuni. Watu wameamua kurudisha pesa walizopoteza kwenye awamu ya Magufuli kwa kuwaibia wananchi wake maskini. Maskini kwa sasa ndiyo wanaona...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nakushauri unda upya serikali yako!

    Ndugu Rais Japo watu wanapenda kukuita rais wa awamu ya sita lakini mimi nakuona kuwa wewe ni rais wa sita kutawala nchi yetu anayekamilisha awamu ya tano. Haina mantiki kwa mfano eti Rais akitawala wiki moja kisha akaacha kuwa Rais kwa sababu zozote za kikatiba mfano kifo halafu eti tuiite...
  7. Kumbusho Dawson Kagine

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina cha kujifunza kutoka Kenya?

    ❝ I want to tell the people of Kenya that you are finally free. You don’t have to talk with each other through Whatsapp for fear of being recorded and persecuted by state agencies❝ - Hon. Rigathi Gachagua, VP-Kenya
  8. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania ni nchi moja yenye Serikali mbili

    Tanzania ni nchi moja yenye serikali mbili tofauti…!!!Serikali hizi hutofautiana kwa lugha,muongozo na hata wananchi wake ila cha ajabu wote ni Watanzania na Rais wao ni mmoja. Serikali A hutumia lugha ya kiswahili ili kuwasiliana na wananchi wake walakini serikali B hutumia lugha ya kingereza...
  9. Prospogi

    JamiiForums Tanzania SoC02 Serikali ya Tanzania itumie magari madogo (small SUVs)

    Tanzania, nchi yangu nzuri, inayotajwa kufikia uchumi wa kati wa chini, imebarikiwa kuwa na rasilimali za aina mbalimbali kama vile ardhi nzuri ya kilimo, madini, misitu, n.k; bado inakuza uchumi wake taratibu sana kutokana na changamoto mbalimbali. Moja ya changamoto kubwa sana kwa miaka mingi...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali kurudisha Ligi ya Muungano ili kuupa afya Muungano, yaunda kamati kutathmini gharama

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul akijibu swali Bungeni amesema Kamati imeundwa kufanya tathimini ya kurejesha Ligi ya Muungano ambayo inajumuisha timu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar. Waziri Gekul amesema “Tumekuwa na mazungumzo kati ya TFF, BMT na ZFF kwa...
  11. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali kuhusu tembo waharibifu

    Jana nimefungua facebook nikaona mkurugenzi mmoja wa wanyama pori ametoa wazo kuwa serikali itoe kibali tembo wanaoharibu mazao kwa sasa wauwawe. Mimi kama mzalendo sikubaliani na wazo hili kwa sababu tutakuwa tunatatua tatizo moja tunaunda lingine.Tutajenga mawazo mabaya kwa majangili kuwa...
  12. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia haikufuata utaratibu uliopo kikatiba katika maamuzi wa kuwatoza wananchi tozo kwenye miamala ya kielektroniki

    Wanabodi, Jamani, Jamani, jamani, tupieni jicho maelezo yaliyopo kwenye katiba yetu (ibara ya 99 na 138) kufahamu utaratibu ambao unatakiwa kufuatwa kabla ya kutoza ushuru wowote, kodi au tozo.
  13. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Kuendekeza "Undugulisation" kumeifanya serikali ya Awamu ya 6 imepwaya Mapema sana. Possibly, hali ikawa Mbaya zaidi.

    -Teuzi zimejaa Wakwe, mashemeji was Mitala kina Mchengerwa ambao hata waboronge vipi hawatatumbuliwa. - Teuzi za watoto was vigogo kina Nape, Makamba, ambao kiuhalisia hawanq jipya tRNA zaidi ya kutafuna nchi na kuumiza watu. - Mwugulu akili hana kabisa na hajawahi kuwa na jambo lolote LA...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Hakuna biashara Serikali inaweza kufanya kwa ufanisi

    Nimepanda treni ya Kigoma - Dar mwaka 2021, na nilijisemea sitakuja kupanda tena kwa namna treni hii ilivyo na huduma mbovu na za aibu. Ninatumia usafiri wa ndege Air Tanzania mara kwa mara kwa safari zangu za ndani ya Tanzania. Kuna kipindi hata namba zao za huduma kwa mteja hazipatikani...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yazindua mwongozo wa kitaifa wa uanzishaji na uendeshaji majukwaa ya uwezeshaji wanawake kiuchumi

    Na Mwandishi Wetu, WMJJWM, Pwani Serikali imezindua Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi wenye lengo la kuleta ufanisi wa utekelezaji wa majukwaa haya ikiwa ni pamoja na kuyafanya yajulikane ngazi zote hapa nchini. Akizungumza katika uzinduzi...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar yasitisha ujenzi wa 'Blue Amber', kibali cha mwekezaji chazuiwa

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesitisha ukodishaji wa ardhi iliyotolewa kwa kampuni ya Pennyroyal Limited ya Uingereza ya Pennyroyal Limited ya Matemwe, mwendelezaji huyo ametangaza. Ardhi inayozungumziwa ilikuwa hekta 411 ambapo mradi wa mapumziko wa Blue Amber ulikuwa unaendelea...
  17. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

    Hii ndio taarifa ya motomoto.. ======= Serikali imeteua timu ya wataalam kufanyia kazi mkanganyiko wa tozo kwenye miamala ya fedha za simu na benki. Waziri Mwigulu Nchemba akiwa Tarime mkoani Mara kwenye mkutano wa hadhara amesema Serikali itaendelea kutoza tozo hizo lakini itafanya mabadiliko...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla na chozi la mamba, kama ana uchungu wa kweli vile

    Ukiwakuta hawa wamevaa ma scarfs ya bendera ya taifa na kushikilia ilani ya CCM kwenye makwapa yao unaweza kusema hii nchi imebarikiwa sana. Wengine walikwapua mabilioni ya wizara ya utalii na CAG akathibitisha lakini kimyaaaaa bado wanajifanya wazalendo, wakatumia hadi ndege za Tanapa kula...
  19. Poker

    JamiiForums Tanzania Wakati Marekani ikijiandaa kupeleka binadamu katika sayari ya Mars, Serikali ya Tanzania ina mpango gani kuwapeleka raia wake?

    Marekani imepanga kupeleka raia wake huko sayari ya Mars ifikapo 2030s. Urusi nayenyewe imepanga kupeleka raia wake Mars ifikapo 2040s . China nao wamepanga 2040s kama urusi. Sasa sisi serikali yetu inasubiri nini kwenye huu upande wa teknolojia ya angani? Mpaka sasa kimya hakuna...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ili kuondokana na tozo, Serikali ihalalishe gongo, kilimo cha bangi na kurasimisha pombe za kienyeji

    Ili kuongeza wigo wa mapato yatupasa kama taifa kuthamini na kuzalisha vya kwetu. Tusiwe mabingwa wa kukopi na kupesti tu. Mfano Usafiri wa bodaboda ulianzishwa miaka mingi nchini Nigeria kabla yetu. Kwa Afrika mashariki nchi ya kwanza kuruhusu bodaboda kuwa chombo cha kubeba abiria ni...
Back
Top Bottom