Aibu: Tanzania yashika Mkia Elimu ya Juu Afrika Mashariki. Ili Kufuta Aibu Serikali yatenga Bil.972 kuongeza Udahili

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
17,853
12,450
Moja kwa moja kwenye mada,

Tanzania imetajwa kuburuza Mkia kwenye Udahili,idadi na ubora wa Elimu ya Juu ukilinganisha na Nchi jirani za Afrika Mashariki.

Licha ya kuwa na idadi kubwa ya watu ila inazidiwa hadi na Burundi na Rwanda kwenye swala Zima la Elimu ya Juu.

Ili kukabiliana na Hali hiyo, Serikali ya awamu ya 6 imetenga shilingi Bil.972 za mkopo Kutoka WB zitakazotumika kujenga miundombinu ya vyuo vikuu yaani Ndaki kwenye Mikoa yote ambayo haina Vyuo Vikuu na kupanua vilivyopo Ili Kuongeza idadi ya wadahiliwa.

Aidha pesa hizo zitatumika kusomesha wakufunzi Ili wawe na ubora wa kufundisha vijana kulingana na matakwa ya soko la ajira na kujiajiri kukabiliana na ushindani wa Elimu ya kijiditali.

Hoja Yangu; Inakuaje Taiga kubwa kama Tanzania kuzidiwa na Rwanda na Burundi?

Sisi Tanzania tunaweza nini? Mbona huwa tunaingoza kwenye mambo ya hovyo tuu kama top 5 ya kuvuta Bangi Afrika,top 10 ya Uchawi Duniani,top 5 ya Kuwa na Maskini wengi Afrika, top 5 ya Wanywa Pombe zaidi Afrika na top 5 ya Kuzaa sana.

Kama Hali ndio hiyo basi tutachelewa Sana kupata Maendeleo halisi. Inasikitisha.
===

How Sh972 billion will improve higher education in Tanzania​

Dar es Salaam. Challenges that have hit higher education institutions for long in Tanzania, including declining enrollment, outdated teaching methods and skills mismatch among graduates, are likely to end if the implementation of the $425-million (over Sh972 billion) project by World Bank will go as intended, it has been stated.

The five-year Higher Education for Economic Transformation (HEET) project is currently underway following the recent signing of agreements between the Ministry of Education and the heads of public universities.

The project that was officially signed between the WB and the government in May 2021, has been eagerly awaited by its beneficiaries since 2016 amid financial setbacks, but experts now say a revolution in higher education will only be seen if implementation takes place as per plans. “The higher education sector has faced many challenges for a long time, especially the infrastructure question at a time when students seeking university admission have been increasing. It is time now to use this opportunity to quench this thirst,” said Dr Michael Nyella, an education analyst.

According to the WB, Tanzania has seen a decrease in enrolments in recent years but the annual demand for university education is expected to rise to more than half a million students by 2030. And about 80 percent of the funding (project) will be used to boost admissions and to improve the quality of teaching in universities.

The ongoing expansion of the country’s advanced secondary education, with a current gross enrolment ratio of seven percent, again puts pressure on the tertiary education system to admit more students.

According to the government’s predictions, the demand for higher education is expected to surge to at least 482,000 places by 2030 and, in this case, the WB saw, there was an urgent need for expansion of university education to accommodate the growth.

Tanzania’s tertiary gross enrolment rate of 3.1 percent is one of the lowest in Eastern Africa and lags behind Kenya’s 11.5 percent, Ethiopia’s 8.1 percent, Rwanda’s 6.2 percent and Uganda’s 4.8 percent, according to Unesco.

Also the overall quality of post-secondary education in Tanzania is also low and does not adequately prepare university graduates for current and future formal jobs or self-employment.

“The reasons for this include a shortage of qualified lecturers. Currently, reports show that only 52 percent of academic staff members hold master’s degree and about 33 percent hold PhDs. The rest have lower qualifications. Let more lecturers be trained fully through this project,” Dr Nyella noted.

The WB noted that “many lecturers are not trained in the use of the latest technical developments and global knowledge in their fields, and use outdated, mostly lecture-based teaching methods, thus limiting the development of adequate competencies among students.”

As a result, Prof Adolf Mkenda, who the minister for education, noted that having been waiting for the project, they believe would revitalise and expand the capacity of 17 institutions to contribute to key areas for innovation, economic development, and labour market relevance.

“We need to be honest in this if we want to get more aid (there are already talks with the WB for another one), so as a ministry we will manage this with great professionalism,” he assured.

“Use this project to increase the campuses of our colleges in areas where colleges do not exist. Send lecturers to study abroad to get more experience for the future of our education,” Prof Mkenda added.

He said through the project needed to see local universities become elements of universality, saying the country could not have universities and were not recognized anywhere in the world.

“We will facilitate lecturers including our professors to attract foreign investment through research with the status of being published in major journals…,” he said.

Source: The Citizen
 
The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
17,853
12,450

Attachments

  • Screenshot_20220718-153712.png
    Screenshot_20220718-153712.png
    571.6 KB · Views: 9

Saidama

Senior Member
Jun 10, 2022
178
266
Elimu ya Tanzania ni ovyo sana. Ufaulu kwenye ngazi ya shule ya msingi na sekondari ni mwepesi mnoo. Yani kuna wanafunzi wanafaulu darasa la saba na bado hawako vizuri kwenye vitu vidogo mno. Wanafunzi mashuleni ni wengi sana na walimu ni wachache mno. Halafu ufaulu unaendeshwa kisiasa
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
13,426
14,448
Moja kwa moja kwenye mada..

Tanzania imetajwa kuburuza Mkia kwenye Udahili,idadi na ubora wa Elimu ya Juu ukilinganisha na Nchi jirani za Afrika Mashariki..

Licha ya kuwa na idadi kubwa ya watu ila inazidiwa hadi na Burundi na Rwanda kwenye swala Zima la Elimu ya Juu..

Ili kukabiliana na Hali hiyo, Serikali ya awamu ya 6 imetenga shilingi Bil.972 za mkopo Kutoka WB zitakazotumika kujenga miundombinu ya vyuo vikuu yaani Ndaki kwenye Mikoa yote ambayo haina Vyuo Vikuu na kupanua vilivyopo Ili Kuongeza idadi ya wadahiliwa..

Aidha pesa hizo zitatumika kusomesha wakufunzi Ili wawe na ubora wa kufundisha vijana kulingana na matakwa ya soko la ajira na kujiajiri kukabiliana na ushindani wa Elimu ya kijiditali.

Hoja Yangu;Inakuaje Taiga kubwa kama Tanzania kuzidiwa na Rwanda na Burundi?

Sisi Tanzania tunaweza nini? Mbona huwa tunaingoza kwenye mambo ya hovyo tuu kama top 5 ya kuvuta Bangi Afrika,top 10 ya Uchawi Duniani,top 5 ya Kuwa na Maskini wengi Afrika,top 5 ya Wanywa Pombe zaidi Afrika na top 5 ya Kuzaa Sana..

Kama Hali ndio hiyo basi tutachelewa Sana kupata Maendeleo halisi.Inasikitisha .
Mbona tumezoea, lile shindano la East Africa University Challenge miaka yote tulikuwa wa mwisho.
 
The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
17,853
12,450
Kma hoja Ni idadi ya vyuo vinavyoanzishwa Egypt Ulizia population ya Cairo pekee (23m) ndo uje hapa kulinganisha na TZ
Umesoma bandiko la Egypt?

Kama unadhani Kasi ya ongezeko la Population ya Tanzania ni ndogo basi una matatizo makubwa Sana 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220712-201017.png
    Screenshot_20220712-201017.png
    594.1 KB · Views: 12

saigilomagema

JF-Expert Member
Jun 5, 2015
347
346
Moja kwa moja kwenye mada,

Tanzania imetajwa kuburuza Mkia kwenye Udahili,idadi na ubora wa Elimu ya Juu ukilinganisha na Nchi jirani za Afrika Mashariki.

Licha ya kuwa na idadi kubwa ya watu ila inazidiwa hadi na Burundi na Rwanda kwenye swala Zima la Elimu ya Juu.

Ili kukabiliana na Hali hiyo, Serikali ya awamu ya 6 imetenga shilingi Bil.972 za mkopo Kutoka WB zitakazotumika kujenga miundombinu ya vyuo vikuu yaani Ndaki kwenye Mikoa yote ambayo haina Vyuo Vikuu na kupanua vilivyopo Ili Kuongeza idadi ya wadahiliwa.

Aidha pesa hizo zitatumika kusomesha wakufunzi Ili wawe na ubora wa kufundisha vijana kulingana na matakwa ya soko la ajira na kujiajiri kukabiliana na ushindani wa Elimu ya kijiditali.

Hoja Yangu; Inakuaje Taiga kubwa kama Tanzania kuzidiwa na Rwanda na Burundi?

Sisi Tanzania tunaweza nini? Mbona huwa tunaingoza kwenye mambo ya hovyo tuu kama top 5 ya kuvuta Bangi Afrika,top 10 ya Uchawi Duniani,top 5 ya Kuwa na Maskini wengi Afrika, top 5 ya Wanywa Pombe zaidi Afrika na top 5 ya Kuzaa sana.

Kama Hali ndio hiyo basi tutachelewa Sana kupata Maendeleo halisi. Inasikitisha.
we hukutakiwa hata kuwepo duniani ni poyoyo, popoma, pengine siyo mtanzania unatafuta upungufu wowote kwa nchi yako hata km ni uongo. Hapo hata hujaelewa kilichokuwa-published umekuja JF na upuuzi wako. Kwanza huna uzalendo, unaiombea nchi yako mwenyewe mabaya ushindwe na ulegee hufai kuwa Mtanzania. Hata km ingekuwa unavyotaka unataka kumlaumu nani kwa mfano? HIvi watu wengine mkoje? Unaitakia nchi yako mabaya? Ili uende kuishi wapi. Fala kweli!
 
The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
17,853
12,450
we hukutakiwa hata kuwepo duniani ni poyoyo, popoma, pengine siyo mtanzania unatafuta upungufu wowote kwa nchi yako hata km ni uongo. Hapo hata hujaelewa kilichokuwa-published umekuja JF na upuuzi wako. Kwanza huna uzalendo, unaiombea nchi yako mwenyewe mabaya ushindwe na ulegee hufai kuwa Mtanzania. Hata km ingekuwa unavyotaka unataka kumlaumu nani kwa mfano? HIvi watu wengine mkoje? Unaitakia nchi yako mabaya? Ili uende kuishi wapi. Fala kweli!
Tanzania ni ya mwisho hilo sio la kuombea ila ni namba tuu zinaonesha,kwa hiyo povu halitamsaidia kubadili Hali halisi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

3 Reactions
Reply
Top Bottom