Bunge la Liberia laitishwa kwa dharura Rais George Weah wa Liberia amewaomba Wabunge wa Bunge la nchi hiyo kukatisha likizo yao na kukutana kwa dharura kujadili mambo muhimu yanayolihusu Taifa hilo likiwemo lile linaloelezwa kuwa ni ukosefu wa fedha.
Taarifa iliyotolewa na Bunge la Liberia...
Mfano mtu anaamua kabisa kwenda public kwamba anatangaza vita dhidi ya Serikali iliyopo Madarakani na lengo lake ni kuiondoa (Serikali) Madarakani kwa nguvu, hayo ni mapinduzi, je Serikali haina haki ya self defense dhidi ya hao watu? Je, ni kosa kwa Serikali kufanya, preemptive strike before...
Chama cha UPDP kimemvua madaraka Mwenyekiti wake mzee Dovutwa baada ya kuvunja katiba ya chama hicho.
Dovutwa aliungana na Mbowe wa Chadema kujitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa ilhali katiba ya UPDP haina kipengere kinachoruhusu chama chao kujitoa kwenye uchaguzi wowote.
Dovutwa...
Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.
TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.
Hawa wawili ndio mashetani...
Wazee tunaikumbuka hii? Ilianza kama utani, c lakini sio utani kwa akili ya mwanzilishi mwenyewe wa pesa za digitali. Lengo la Satoshi Nakamoto mwanzilishi wa pesa ya digitali ya bitcoin ni kuleta dunia yenye pesa ambayo haiko chini ya chombo chochote au serikali duniani. Kusudi lingine ni...
Ccm ina viwanja vimetapakaa nchi nzima, lakini vingi vina hali mbaya. Chama chetu hakina fedha za ukarabati.
Viwanja kama CCM Kirumba, Kaitaba na vingine vingi, kabla ya mfumo wa vyama vingi, tulitegemea fedha za serikali.
Kwa sasa njia pekee ni kuhamishia sherehe za kitaifa katika viwanja...
Vitimbi na vituko vikivyotokea katika uchaguzi wa serikali za mitaa, mpaka kupelekea CCM kudai kushinda kwa asilimia mia moja serikali za mitaa na 99.8 vijiji.
Hizo ni njama zilizopangwa kuwahadaa Watanzania na ulimwengu wa kimataifa ionekane kuwa CCM na Rais Magufuli wanakubalika sana hivyo...
Baadhi ya madhara ya uwepo wa viongozi haramu walioteuliwa na serikali kimabavu katika ngazi ya serikali za mitaa.
1. Shughuli za kijamii katika vijiji, mitaa, vitongoji kukwama kwa kupata upinzani wa wananchi.
2. Viongozi hawa haramu kuwaogopa wananchi, hivyo kuathiri watendaji wao.
3...
Serikali ya mpito nchi Sudan imekifutilia mbali Chama cha NCP kilichokuwa kikiongozwa na dikteta Omar Al Bashir, ikiwa ni katika juhudi za kuleta amani ya kweli nchini humo, lengo ni kuondoa vimelea vyote vya udikteta .
Hili ni onyo kwa vyama vingine vya kidikteta barani Africa, kwamba...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imefanikiwa kukusanya mikopo iliyoiva yenye thamani ya shilingi bilioni 183.3 sawa na asilimia 116.2 ya lengo la kukusanya shilingi bilioni 157.7.
“Natambua kwamba baadhi ya wahitimu wamepata mkopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, hivyo natumia...
Kila mwaka kuna chama cha diaspora cha US kinaitwa Dicota
DICOTA – Diaspora Council of Tanzanians in America kila mwaka kinafanya tamasha la wataalamu wa Afya kwa lengo kubwa la kusaidia utaalamu na kuongeza ushirikiano Tanzania. Kwa sasa mwenyekiti ni Dr ambaye anafanya kazi zake Yale Medical...
Nimekuwa msikilizaji mzuri sana wa hotuba zako za mara kwa mara kwenye majukwaa ya kisiasa na ambazo umekuwa ukisisitiza kuwa maendeleo hayana chama na katika nchi hii unasisitiza sana umoja wa kitaifa na hivyo unasihi kuwa nchi hii ni yetu sote na hivyo usingependa ubaguzi wa kivyama wa CCM au...
Somo tajwa hapo juu lahusika.
Naishauri serikali ianzishe Mfuko wa Maendeleo ya Huduma za Jamii (Social Services Development Fund), mfuko huu uwe na jukumu la ku-mobilise funds za kugharamia masuala ya elimu kama kujenga shule za msingi, vyumba vya madarasa, vyoo nk
Pili, mfuko uwe unatoa pesa...
Tunafadhiliwa kujengewa matundu ya choo kisha, watu wanaandika bango zima ili dunia ione.
Halafu tunatoka hapo tunatangazia dunia kuwa sisi ni matajiri, tunatangaza namna tunavyotakiwa tuwe na mawazo ya kujitegemea, kisha tunatoka hapo tunafadhiliwa matundu ya choo na tunatangazwa dunia nzima...
Ninatambua uthubutu na uimara wa serikali ya CCM ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli katika kulinda maslahi ya umma hasa kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha za umma zinazotokana na kodi zetu. Juzi, wakati Rais alipokuwa anawahutubia wakazi wa Geita alisikitishwa na kitendo cha baraza...
Kitendo cha Watendaji kuamriwa kujificha kwa gharama yoyote ile ili kuhakikisha Wagombea wa vyama vya upinzani hawachukui ama kurudisha fomu za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa lengo la kuwabeba wagombea wa CCM kwa mbeleko ya chuma, kimeusikitisha mno ubalozi wa Uingereza.
My take: Nchi...
Siyo kwamba huyu aliyepo Dr Abbas hafanyi vizuri la hasha, ni kwa sababu mambo mengi mazuri unayoyafanya yanahitaji mkongwe wa habari aliyetumikia awamu zote kuweza kuyaelezea kwa ufanisi na ulinganifu.
Nikisema zaidi utaona kama nampamba huyu Mayalla, basi nikuombe tu mh Rais ipitie CV ya...
Aman iwe juu yenu wakuu,
Rais Magufuli akiwa njiani Wilaya ya Nzega kuelekea Shinyanga amewahutubia wananchi wa Wilaya ya Nzega na kuwapongeza viongozi wote walioshinda katika Uchaguzi wa Serikari za Mitaa.
Aidha, katika hotuba hiyo Raisi Magufuli akigusia kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa...
Tangu Rais Magufuli aingie madarakani kumekuwa na malalamiko ya chinichini miongoni mwa Watanzania kuhusu hali ya kiuchumi kuwa ngumu. Ugumu huo ulizaa msemo ‘’vyuma vimekaza’’, jambo lililokemewa vikali na Mheshimiwa wa ngazi za juu.
Sasa basi, kufuatia hali ya kiuchumi kuendelea kuwa ngumu...
Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dkt. Hassan Abbas kupitia ukurasa wake wa Twitter ndio ametoa onyo hilo kwa kusema;
"Katika siku za karibuni kumeibuka tena tabia ya baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini kushabikia, kutumika na kuwa mawakala wa kusambaza habari za uongo, uzushi na propaganda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.