serikali

  1. HESLB na serikali wafikirieni watoto wa Mwaka wa kwanza Vyuo Vikuu

    Asilimia kubwa ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza vyuo vikuu ambao ni wanufaika wa mikopo ya serikali. Yaani wanategemea mikopo ya serikali wanapita kwenye wakati mgumu wakipewa ahadi za kuingiziwa hela bila mafanikio yoyote, HESLB pamoja na serikali iliangalie hiki suala natumaini wao pia ni watu...
  2. CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 trilioni mradi wa SGR

    Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli Ilikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa kandarasi Waturuki kwa gharama ya juu bila tenda ya wazi ya ushindani ========= Na Waandishi Wetu...
  3. Serikali ifanye uchunguzi wa kina kwenye mbegu za vyakula zinaoingizwa nchini

    Nilikua nimekaa mahali kwa bahati mbaya. Sasa nikasikia beberu moja Toka kwa Biden likiwa linatetema kwamba eti Kuna mkakati wa kuweka vijidudu vya magonjwa ya mimea na wanadamu Toka nchi moja ya mashariki ya mbali kwa wale macho madogo. Ingawa naelewa Kuna vita vya kiuchumi baina yao. Ila...
  4. Mbinu za kuwakamata mafisadi, wabadhirifu wa fedha za umma na wala Rushwa

    Kuwakamata mafisadi, wabadhilifu wa fedha za umma, na wala rushwa ni muhimu katika kupambana na ufisadi na kuhakikisha kuwa fedha za umma zinatumika kwa manufaa ya wananchi. Kuna mbinu kadhaa za kufanya hivyo: 1. Kuanzisha mifumo madhubuti ya udhibiti wa ndani na uwajibikaji katika taasisi za...
  5. Sababu za mashirika ya serikali kuingia hasara na kushindwa kutoa gawio kwa serikali

    Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha mashirika ya serikali kuingia hasara na kushindwa kutoa gawio kwa serikali. Baadhi ya sababu hizo ni: 1. Uongozi mbaya: Mashirika ya serikali yanaweza kuingia hasara kama uongozi wake ni mbaya na usiofaa. Wakurugenzi na mameneja wa mashirika haya...
  6. Serikali haina uzalendo, inajiibia yenyewe; ushahidi huu hapa!

    Habari za leo ndugu wakuu! Nawasalimu kwa jina la JMT. Baada ya salamu naomba niingie kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Nafahamu wengi wenu hampendi kusoma habari ndefu. Nitajitahidi kufupisha kadri nitakavyoweza. Imenichukua muda kutafakari kwa kina juu ya ufisadi wa...
  7. Je, uwezo na sifa za viongozi na watendaji wanaoteuliwa unaweza kupimwa na report ya CAG?

    Hilo ni swali: Naomba kila mmoja atoe jibu na mawazo yake:
  8. Serikali yaahidi hakutakuwa na uhaba wa sukari mwaka huu

    Moja kati ya masuala ambayo yamezoeleka kusumbua na kuleta tafrani katika jamii ya Watanzania ni uhaba wa Sukari ambao umekuwa ukitokea mara nyingi tu katika miaka iliyopita. Katika kuhakikisha Watanzania wanasahau changamoto hiyo kwa kuhakikisha sukari inapatikana ya kutosha mwaka mzima...
  9. Waziri Mkuu ndiye msimamizi wa shughuli zote za serikali, inakuwaje taarifa ya CAG inasema 'tumepigwa'? Usimamizi wake ni hafifu?

    Mzee wetu Majaliwa kwa kweli ndio C.E.O, kwa maana ya mtendaji mkuu wa serikali. Kwa nini madudu haya yanatokea na yeye akiwepo? Ameshindwa kusimamia shughuli za serikali? Bunge linatakiwa limuhoji yeye kwa kuwa Yuko Bungeni kwa niaba ya serikali, na ndiye mtendaji mkuu. Kama hana majibu...
  10. Nimegundua kuruka na ungo mchana, vipi serikali itanipa kibali?

    Waruka na ungo usiku mnafeli wapi? Kwanini ungo usitumike mchana na sio usiku kwanini umsiungane ukafanye sayansi yenu ikawe bora maana sayansi yenu bado ni duni means bado haina maboresho. Tunahitaji ungo uruke mchana na watu tusigeuzwe kuwa panya tubaki kuwa watu. Hapa ndipo wachawi...
  11. Suluhisho la kucheleweshwa kwa 'placements' ni hili

    Habari za uzima wadau? Bila kupoteza muda naomba niende kwenye maada directly. Hili suala la ucheleweshwaji wa placements, hakika limekua tatizo kubwa sana ambalo moja kwa moja wanaoathirika ni vijana(job seekers). Hivyo basi napendekeza hili lifanyike from now. Napendekeza Kutolewa majibu ya...
  12. Tsh Milioni 225 zimetolewa na Serikali Kuu Ujenzi wa Miundombinu ya Elimu Jimbo la Manonga, Igunga, Tabora

    MHE. SEIF GULAMALI: "MILIONI 225 KWA AJILI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU JIMBO LA MANONGA, TABORA Mbunge wa Jimbo la Manonga, Mhe. Seif Khamis Gulamali amesema kuwa tayari wamepokea fedha Shilingi Milioni 225,000,000/= kutoka Serikali Kuu za Ujenzi wa Nyumba za Waalimu na kukamilisha...
  13. K

    Kumbe Rais ndiye huidhinisha malipo ya Serikali

    Jana katika kikao cha Bunge kulikuwa na mtifuano kuwa ni nani anyeidhinisha malipo ya Serikali. Waziri wa Fedha akajibu jibu ambalo halikumridhisha Mhe. Sendeka na Mhe. Spika akaongezea ufafanuzi kwenye majibu ya Waziri wa Fedha. Kama ni kweli Mhe. Rais ndo anaidhinisha malipo ya Serikali...
  14. Serikali ya Awamu ya Sita inavyoimarisha Huduma za Afya Mkoa wa Simiyu, Hospitali ya Rufaa yakamilika

    Hatimaye Mkoa wa Simiyu unaingia katika kundi la mikoa yenye Hospitali za Rufaa hapa Tanzania: Simiyu ni miongoni mwa Mikoa ambayo ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ambayo imejengwa katika Wilaya ya Bariadi umekamilika na tayari vifaa muhimu, bora na vya kisasavimefikishwa hospitalini hapo...
  15. Gari za serikali zimepotea sio hizi bus za Esther?!

    Kuna kila haja ya kuunganisha dots. Juzi tu tuliambiwa kuna waziri kaingiza basi 60. Leo CAG anasema kuna gari hazionekani. Najaribu kuwaza isije kuwa hela za magari anayosema CAG ndio yamechepuka kuagiza basi? Kwani GPSA ipo chini ya wizara gani?
  16. Tanzania yatumia zaidi ya shilingi bilioni 6 kutunza vyura 500 waliopelekwa Marekani

    Kupitia ukagauzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2021/2022 imebainika kuwa Vyura 500 bado wapo Marekani licha ya kumalizika kwa mkataba wa matunzo. Serikali ilipeleka Vyura hao katika bustani za Bronx na Toledo ili kupisha ujenzi wa mradi wa...
  17. N

    Rais Samia amerejesha uendeshaji shughuli za Serikali kwa uwazi

    Hii ni habari njema sana kwa Watanzania wote. Uongozi wa Rais Samia Suluhu ni uongozi ambao Watanzania wengi tulitamani kuwa nao, ni uongozi tuliokuwa tunauota kwa zaidi ya miaka 5. Tulitamani sana kuwa na uongozi unaofanya shughuli zote kwa uwazi lakini haikuwezekana kwa zaidi ya miaka 5...
  18. Kamati ya Katiba na Sheria Bungeni yashauri Idara za Serikali kumtumia Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali kwa kazi zote uchapishaji

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria pamoja na mambo mengine mengi imeshauri ujenzi wa kiwanda cha nyaraka za Serikali ukamilike kwa wakati, Serikali itoe waraka maalum kuelekeza idara zake zote kutumia ofisi ya mpiga chapa Mkuu wa Serikali kwa kazi zote zinazohusu uchapishaji...
  19. Wizi mkubwa unafanywa hivi manunuzi ya magari ya Serikali, pikipiki, ambulance nk, vifaa vya kielectronic vya umma, na manunuzi yote ya Serikali

    Sijui ni kwanini Serikali kwenye suala la manunuzi ya mali zake huwa haipo makini kila manunuzi ya Serikali yanapofanyika kuna pesa ya wizi inapita huko na kuna njia mbalimbali zinazotumika hapa ili kuiibia Serikali 1. Kuagiza vitu kwa idadi kubwa tofauti na mahitaji halisi ya Serikali sasa...
  20. Serikali inavyosambaza kwa kasi mashine za X-Ray na Ultrasound nchini

    Hadi kufikia mwaka 2023 jumla ya mashine za mionzi (X-ray) za kisasa za kidijitali 213 zimesimikwa huku vipimo vya Utra sound 67 vimesambazwa na kusimikwa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya msingi nchini. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…