Dkt. Slaa: Kuwaondoa wasiowasikiliza Wananchi, siyo Uhaini

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,882
35,900
Akihojiwa na DW amesikika Dkt Slaa:

"Alipokamatwa akishtakiwa kwa uhaini alijiandaa kwa kifungo cha maisha na hata kunyongwa.".

Ameendelea Slaa: "kutamka au kuwaondoa wasiowasikiliza wananchi hakuwezi kuwa uhaini",

Kwamba hilo ni kwa mujibu wa Katiba yenyewe.

Tusiogope waungwana kula na mtu sahani moja ni kwa mujibu wa katiba hii hii.
 
Kama hizo hela ziliingilia mdomoni basi zitatokea mahali popote palipo wazi!!!" Magufuli.

Waliojigeuza marketing officers wa kampuni la DP world na madalali wote waliokula hizo hela za kuhongwa ujumbe uwafikie.

Kama mlikuwa mnanunua magari na kuyaandika majina yenu mtakiona cha mtema kuni safari hii
 
Ila hili sakata la bandari kweli nimekosa cha kusema maana naona kila mtu anakuja na story yake tu. Kweli kabisa nakosa wa kumuelewa.. sio wanaounga mkono wala wapingaji. Maana sina nilichoelewa
 
Wala usishangae ndugu. Ni hivyo hivyo kwenye mambo yote. Ndiyo maana huwepo vipanga na vilaza hata mashuleni. Mtu kushindwa kuelewa jambo, hakuna jipya hapo.
 
Ila hili sakata la bandari kweli nimekosa cha kusema maana naona kila mtu anakuja na story yake tu. Kweli kabisa nakosa wa kumuelewa.. sio wanaounga mkono wala wapingaji. Maana sina nilichoelewa
Hata mimi nimeliona kama ulivyoliona wewe !!
Ni kama vile ukikuta watu wanabishana kuhusu Simba na Yanga 😅😅
Ukiwasikiliza utaambulia patupu maana huwezi kujua nani yupo sahihi!
Kila mtu anavutia upande wa timu yake !
 
Ila hili sakata la bandari kweli nimekosa cha kusema maana naona kila mtu anakuja na story yake tu. Kweli kabisa nakosa wa kumuelewa.. sio wanaounga mkono wala wapingaji. Maana sina nilichoelewa
Mkuu hutaki tu kuelewa. Na hilo unalolifanya la kusikiliza kila mtu bila ya wewe kuutafuta mkataba na ukausoma ili uwe na msimamo wako, ndio ujinga uliokubuhu. Watanzania ni wavivu sana kutafuta ukweli wa mambo.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Ila hili sakata la bandari kweli nimekosa cha kusema maana naona kila mtu anakuja na story yake tu. Kweli kabisa nakosa wa kumuelewa.. sio wanaounga mkono wala wapingaji. Maana sina nilichoelewa
Kasome makubaliano/mkataba wenyewe utaelewa. Usiwasikilize watu
 
Huyo ameshajiona kuwa jua linamchwea bila heshma yoyote.......apeche alolo sasa anatapatapa. Hakumuweza kikwete, hatomuweza samia.
Usitoke nje ya mada mambo ya kuwezana au kutokuwezana hayana tija kwa mustakabali wa Bandari za Tanganyika
 
Ila hili sakata la bandari kweli nimekosa cha kusema maana naona kila mtu anakuja na story yake tu. Kweli kabisa nakosa wa kumuelewa.. sio wanaounga mkono wala wapingaji. Maana sina nilichoelewa
Tatizo ni alma mater... Wala si kingine!!
 
Akihojiwa na DW amesikika Dkt Slaa:

"Alipokamatwa akishtakiwa kwa uhaini alijiandaa kwa kifungo cha maisha na hata kunyongwa.".

View attachment 2727215

Ameendelea Slaa: "kutamka au kuwaondoa wasiowasikiliza wananchi hakuwezi kuwa uhaini",

Kwamba hilo ni kwa mujibu wa Katiba yenyewe.

Tusiogope waungwana kula na mtu sahani moja ni kwa mujibu wa katiba hii hii.
Duuh
 
Back
Top Bottom