serikali

  1. winnerian

    JamiiForums Tanzania Ninaionya Serikali katika kuingiza siasa kwenye Mashirika na Wakala zake mbalimbali

    Kuna trend inaendelea ya kuweka siasa kwenye kila kitu ambacho serikali ina nguvu na mamlaka juu yake bila kujali dira mwelekeo na maono ya taasisi hizi. Kubadilisha watendaji wakuu kwenye taasisi, mashirika na wakala tendaji za serikali kwa vipindi vifupi vifupi ni kuingiza siasa kwenye uti wa...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Ifanye Usanifu wa Mabonde ya Umwagiliaji Ifakara

    MBUNGE ABUBAKAR ASENGA ATAKA SERIKALI IFANYE USANIFU MABONDE YA UMWAGILIAJI YA IFAKARA Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mkoani Morogoro, Abubakar Asenga katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni tarehe 13 Juni, 2023 ameiomba Serikali kuyaangalia Mabonde ya Umwagiliaji Ifakara "Je, lini Serikali...
  3. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kupeleka Mahakamani zuio la makubaliano ya Bandari kati ya DP World na Serikali?

    Natumaini mu wazima na wavumilivu wa hali kwa jina la Mwenyezi. Kabla ya yote nimpongeze kijana Bwana Wangwe kwa ushindi mkubwa alioupata kwa niaba ya watanzania wote. Ushindi wa zuio la wakurugenzi kusimamia uchaguzi mahakamani ni kuchonga barabara ya haki iliyokua iki kanyagwa mara kwa mara...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Serikali kuichunguza hospitali iliyothibitisha kifo cha bibi ambaye baadaye alijulikana yupo hai

    Serikali ya Ecuador imeanza kuichunguza hospitali aliyokuwa akitibiwa bibi mmoja ambaye alitangazwa amekufa lakini aliamka ndani ya jeneza Ijumaa iliyopita. Bella Montonya (76) ambaye madaktari walithibitisha kifo chake aligundulika yupo hai baada ya mtoto wake kusikia kelele zikitokea kwenye...
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Marekebisho Sheria ya Huduma za Habari: Serikali kuwa na uhuru wa kuchagua chombo cha habari itakachokitumia kwa ajili ya matangazo

    Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali ikiwemo Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 Akiwasilisha hotuba yake bungeni, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Eliezer Feleshi amesema kifungu cha 5 cha Sheria ya Huduma za Habari, Sura ya 229 kinapendekeza kufanya...
  6. gstar

    JamiiForums Tanzania Mkataba baina ya serikali na DP World kielelezo cha ombwe katika uongozi

    Hivi karibuni serikali ya Tanzania imesaini mkataba na serikali ya UAE kupitia kampuni ya DP World ili kuweza kuendesha bandari zote za Tanzania kupitia kampuni hiyo bobevu katika maswala ya uendeshaji wa bandari Duniani. Walakini kumeonekana kuwepo kwa mapungufu mengi kwenye mkataba huo aidha...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali imekamilisha maandalizi ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Ugatuaji wa Madaraka

    SERIKALI KUWA NA IMANI NA SERA YA TAIFA YA UGATUAJI WA MADARAKA KATIKA MAWANDA YA USHIRIKISHWAJI WA WADAU Serikali imekamilisha maandalizi ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Ugatuaji wa Madaraka ambapo wadau mbalimbali wameshirikishwa na kutoa maoni yao ambapo Rasimu hiyo imewasilishwa katika ngazi...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yaja na Mpango Mkakati wa Kumlinda Mkulima wa Korosho Nchini

    SERIKALI YAJA NA MPANGO MKAKATI WA KUMLINDA MKULIMA WA KOROSHO NCHINI. Serikali kwa kushirikiana na Sekta binafsi imeendelea na jitihada za kuimarisha bei ya korosho nchini kwa kufufua viwanda vya kubangua korosho pamoja na kuanzisha viwanda vipya sambamba na kuanzisha kongani la viwanda...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Serikali imeona wabunge wamepuyanga bungeni imerudi kukusanya maoni kwa wenye akili timamu

    Tuliona walichofanya wabunge Dodoma; tumeona wanachofanya wanazuoni kutoka kwenye dini na fani mbalimbali nchini. Wanajadili mule mule alipopita Mzee Mbowe na Lissu, tofauti ni kwamba wanazuoni wanawapiga shule mawaziri wakati wabunge waliwapigia makofi mawaziri bila kuwapa maarifa mapya. Hiki...
  10. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mkataba na DP World: Serikali sasa ikutane na viongozi wa Vyama vya Upinzani

    Wasalaam Wakuu. Baada ya Bunge kuunga Mkono azimio la Serikali kuingia Mkataba na Kampuni ya DP World, mengi yamekuwa yakisemwa. Leo tar 12 Juni 2023, Waziri Prof Mbarawa alikutana na viongozi wa dini mbalimbali kwa ajili ya kutoa elimu juu ya mkataba wenyewe. Na kuondoa sintofahamu na hofu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yataja vipengele 8 muhimu mkataba wa Bandari

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa imesema katika kuhakikisha maslahi ya watanzania yanalindwa katika mkataba umeweka vifungu muhimu vinavyolinda ajira za watanzania, Haki za ardhi ya raia, ukomo wa mkataba mahsusi pamoja na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Naishauri serikali iwape tena DP world umiliki wa SGR yetu milele

    Kwa kuwa Watanzania wameonesha kukosa uwezo wa kuendesha reli zetu, mimi kama Mtanzania mzalendo tena kindakinda, natoa ushauri kwa serikali yetu tukufu waipe DP World watuendeshee SGR yetu. Tukiwapa reli yetu DP World tutapata mafanikio zaidi ya hayo tunayotarajia kuyapata kwa kuwapa bandari...
  13. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Mageuzi mifumo ya Serikali

    Rais Samia Suluhu amesema ndani ya miezi sita kuanzia sasa mifumo ya kiteknolojia inayoundwa na serikali itampa uwezo wa kufuatilia taarifa zote za taasisi za umma zikiwemo za bandari. Ili kukuza biashara ni lazima mifumo yote ya serikali isomane na taarifa zioane kwani mifumo iliyopo sasa...
  14. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TEC haifurahishwi na mwenendo wa Serikali kuhusu makubaliano ya bandari na DP World

    Duru ndani ya TEC hawafurahishwi na namna Serikali ilivyokubaliana na DP Word kuhusu usimamizi wa bandari yetu/zetu. "....Wahashamu wengi hawaungi mkono sintofahamu hiyo na huenda Katibu akaelekezwa aandae Waraka mahsusi kulisemea hilo hivi karibu." "....nadhani baadhi ya vipengere ndani ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanasheria Mkuu wa Serikali hakuwepo bungeni Azimio la Bandari likipitishwa?

    MOJA ya jukumu kubwa la kikatiba la Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni Kuandaa Hati zote za kisheria na Maazimio kwa ajili ya kuidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania swali wanalojiuliza watanzania wote miijini na vijijini ni kwanini siku ya tarehe 10 Juni 2023 wakati wa kupitisha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Yafahamu majukumu ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusiana na mikataba ya kimataifa

    UANDISHI WA SHERIA Kwa mujibu wa Hati ya Idhini ya Maboresho ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Tangazo la Serikali Na.48 la Mwaka 2018 ,Ofisi hii inatekeleza majukumu yafuatayo Kupitia Divisheni ya Uandishi wa Sheria. Kutoa ushauri kwa Wizara, Idara Zinazojitegemea na Taasisi za...
  17. Yuzzow

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nafasi ya wananchi katika kuiwajibisha Serikali

    Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki yenye wakazi zaidi ya milioni 58. Nchi ina mfumo wa vyama vingi vya siasa, na wananchi wake wana haki ya kushiriki katika mchakato wa utawala kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuiwajibisha Serikali yao. Katika makala haya, tutajadili nafasi...
  18. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Somo kwa serikali: Mtaala wa ‘The Law of Contract’ unapwaya

    Nimesikiliza wanasheria wengi wakidadavua huo mkataba, hawana viwango wa kuingia mikataba kwa niaba ya serikali. Kwa kuanzia tu hakuna mkataba usiokuwa na stabilisation clause. Hakuna mkataba wa kimataifa usiokuwa na sehemu neutral ya kutatua mgogoro; hiko kitu hakipo. Wengi hawajui processes...
  19. digba sowey

    JamiiForums Tanzania SoC03 Huu ndio mwarobaini (Suluhu) dhidi ya mimba kwa watoto wa kike mashuleni na majumbani

    Karibuni katika kuchangia mawazo ili kuweza kupata mbinu zitakazo wezesha kumnusuru mtoto wa kike dhidi ya mimba za utotoni na ukatili wa kingono,mara nyingi naweza sema kuwa serikali imekuwa nyuma sana katika kuhakikisha kuwa inazuia na inaweka mazingira ambayo mtoto wa kike anakuwa katika...
  20. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali za Majimbo zitaongeza Kiwango cha Uwajibikaji na Utawala Bora Nchini

    Kawaida, kwa Tanzania ukizungumza juu ya majimbo, watu wengi hudhani ni yale yanayowakilishwa na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Majimbo ninayozungumzia hapa, ni mikoa inayoongozwa na Wakuu wa Mikoa kwa sasa! Swala la serikali za majimbo limezungumzwa siku nyingi na mara...
Back
Top Bottom