SERIKALI KUTUMIA TRILIONI 6.7 KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema Serikali imetenga kiasi cha shilingi Trilioni 6.7 kwa ajili ya miradi ya kusambaza umeme kwenye Vitongoji 36,101 hapa nchini ambavyo havijapata huduma umeme.
Makamba amesema hayo...
Elimu bila ada kwa shule za shule za msingi na sekondari imeongezewa kwa asilimia 15.34 kwa mwaka ujao wa fedha 2023/24 ikilinganishwa na bajeti iliyoidhinishwa katika mwaka wa fedha wa unaomalizika wa 2022/23.
Hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023 /24...
Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti...
Mimi ni mmoja wa diaspora, nimeishi na kufanya kazi maeneo mengi tu nje ya nchi katika mataifa mbalimbali.
Nilianza kutembea nje ya nchi kupitia safari za maskauti ambazo zilitupeleka huko nje kuona maajabu ya ulimwengu.
Baadae nikaingia vyuoni na kisha kuanza kufanya kazi hukohuko nikizunguka...
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro Katika kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, Machi 27-29, 2023 alipofanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo alichangia kiasi cha TZS 9,900,000/= kwaajili ya Ujenzi wa Miundombinu ya Maendeleo kwa Chama Cha Mapinduzi na...
Serikali katika Mwaka huu wa Fedha yaani 2022/23 imetoa vibali vya Ajira 30,000. Maelezo hayo yametolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora alipokuwa anajibu Swali la Mbunge wa Mburu Mjini Mh. Zakaria Issay.
Huku raia sisi tukiendela kuimba ngonjera za kusikitika kwenye mitandao ya kijamiii, hawa watawala wao wanazidi kufanya yale wanauo penda, hakuna kitakacho badilika, hata katiba mpya haitabadili huu uhuni wa watawala, hawa viongozi kuanzia top hadi chini wanajuana hawa ni wana syndicate ya...
Vitu vichache vya kipekee vinajionyesha katika bajeti ya Tanzania iliyofanyiwa ukaguzi na CAG. Kwa mfano, kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kwenye miaka ya hivi karibuni, mapato yaliyopatikana yalizidi makadirio ya bajeti.
Kwenye vitabu vyake, CAG ameonesha kwamba ingawa serikali...
SPIKA wa Bunge Dk. Tulia Ackson amesema serikali haitalazimika kujibu hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wakati wa Mkutano wa Bajeti unaoendelea na kwamba Bunge halitachukua hoja zitakazochangiwa na Mbunge kuhusu ripoti ya CAG kwa sababu Mkutano wa sasa wa Bunge ni wa...
Tuna tatizo kubwa la kuziona fursa na kuzitumia si Serikali tu bali na Watu wake pia.
Wananchi wanaitegemea serikali itengeneze fursa hili vijana na watu wote wenye uwezo au sifa za kuajiriwa na kujiajiri waweze kufanya kazi kwa mustakabali wa maisha yao na ustawi wa taifa.
Cha ajabu level ya...
Pongezi nyingi Kwako Waziri Dkt. Gwajima D kwa kuamua rasmi bila Uwoga kuwa Verified Member hapa Changanyikeni Brains JamiiForums.
Niwaombe sasa na Viongozi Waandamizi wote wa Serikali nanyi pia muigeni Waziri Dk. Gwajima kwa kujiweka Wazi hapa (kuwa Verified) ili Sisi akina GENTAMYCINE...
Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha Saba, Ijumaa Aprili 14, 2023
SERIKALI YASEMA TANZANIA INA DIASPORA MILIONI 1.5
Takwimu hizo za Diaspora ni kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi za Kibalozi za #Tanzania zilizopo nje ya Nchi
Naibu Waziri, Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
Kuna utaratibu wa hovyo sana na uchezeaji wa kodi za Wananchi unafanyika mitaani kwenye magari ya Serikali. Mengi yametelekezwa ama kufichwa maeneo ambayo hayaeleweki mwengine yameondolewa namba.
Mbali na hilo kuna magari mengi ya Serikali yanapaki maeneo ambayo sio salama kabisa. Serikali...
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Dk Stephan Ngailo amesema serikali itatoa mbolea kwa miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2022/2023 hadi 2024/2025 ili kuwapunguzia wakulima gharama za kilimo.
Serikali imeanza maandalizi ya kutoa ruzuku ya mbolea kwa msimu...
Serikali imekubali kuruhusu magari yanayofanya safari zake kupitia Wilaya ya Sikonge kutoka Jijini Dar es Salaama kuanza safari zake kati ya saa 9 na 10 usiku ikiwa watapenda.
Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Alhamisi April 13, 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni wakati...
Amani iwe juu yenu nyote.
Mwalimu wa Nchi hii nadhani ametengenezewa UMASKINI kuanzia anaajiliwa mpaka anastafu. Kwanza ni watu wanaotoka kaya Maskini bado akiajiliwa anaishi kwenye umaskini akistaafu bado anakutana na KIKOKOTOO.
Mwalimu akiajiriwa anaanza na mshahara wa TGTS D1 (SANAA)...
Kwenye vyombo vya habari viongozi mbalimbali wamekua wakisifia kiswahili yakua sasa kinafundishwa nchi za mbalimbali marekani hata uchina.
Ona hapa kwenye tangazo la ajira la tamisemi kiingereza ndo kimepewa kipaumbele kiswahili hata kidogo
Imekuwa ni porojo tu utumishi huko na hazina.
Bora tu kaondoka Jenista maana alikuwa gundu watu hawalipwi madai yao!
Hivi Serikali mnawaona wafanyakazi wanyonge au mapoyoyo? Kutwa kujifanya mnaandaa malipo ya malimbikizo na hamlipi?
Je, Rais naye anadanganywa kuhusu hili?
Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa mada mbali mbali hususani JF na Twitter.
Vijana wengi wamekuwa wanalalamika sana kushindwa kuanzisha biashara za kujikimu kimaisha (Malazi & Chakula)
I've been wondering kuona hili bado ni Tatizo kubwa kwa Vijana wengi ambao in reality wengi wako tired na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.