Hongera serikali kwa kutofautisha mishahara ya walimu wa sayansi na Sanaa (Arts)

Fund man

JF-Expert Member
Feb 24, 2021
3,462
4,543
Nianze Kwa kuipongeza serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, kwa kuliona hili.

Hapo awali mishahara ya walimu ilikuwa flat rate(sawa), haikujalisha mwalimu amesoma masomo gani, kwa kifupi walimu wa sayansi na sanaa (arts) walilipwa mishahara sawa. Yaani kama ni cheti wanalipwa sawa, diploma wanalipwa sawa na degree wanalipwa sawa.

Ilikuwa hivi degree ya arts na degree ya sayansi walilipwa sawa. Hivyo hivyo Kwa Diploma na cheti.

Hongera serikali na hiki ni kivutio Kwa watoto walioko shule.
 
Back
Top Bottom