serikali

  1. luangalila

    JamiiForums Tanzania Hili la ligi ya Mabasi Serikali ilitazame kwa jicho la 3

    Ilivyo sasa kwa hii route ya Dar es Salaam na Mwanza ni kitu sio cha kukifumbia macho. Vijana ku bet ushindani wa mabasi ni kitu kinacho shamiri mnoo usishangae kuina vijana wamejipanga kando ya barabara misili wanasubiri msafara wa Rais.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa serikali kuwapa wananchi taarifa sahihi na kwa wakati

    Kuna yule binti Mtanzania aliyekuwa mshauri wa rais wa Zambia katika mahusiano ya umma, alisema kwamba, alipofika Zambia alikuta hali ni mbaya sana kuhusu usambazaji wa taarifa kati ya serikali na wananchi kwa sababu serikali ilikuwa haiwapi taarifa wananchi kwa wakati, hali iliyopelekea...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Video: Vuta Nikuvute ya Halima Mdee, Spika Tulia na Patrobas Katambi kuhusu Mkataba wa DP World na Serikali

  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mkusanya Mapato wa Serikali afungwa miaka 2 kwa kuiba Tsh. Milioni 12.6

    Hukumu imetolewa katika Mahakama ya Wilaya ya Makete, dhidi ya Isaya Samwel Madoki ambaye ni mtumihsi wa Umma, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la wizi kinyume na kifungu cha 258(1) na 270 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16 mapitio ya 2019. Mahakama imethibitisha kuwa mshtakiwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu inapojitapa haifanyi biashara.. huku ikiuza Bandari zetu kwenye kampuni inayomilikiwa na serikali, hii ni sawa na kusemaje?

    DP, ni kampuni inayomilikiwa na serikali ya Dubai! Wakati sisi serikali yetu ikituaminisha kwamba, ni ujinga kwa serikali kujihusisha na biashara na wakati huohuo inaipa kampuni ya DP bandari zetu, ambapo ni kampuni ya kiserikali huko Dubai, Hapa imeshajulikana nani ni nani Msemo huu ndio...
  6. KILIO KIKUU

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Rais Hussein Mwinyi

    MH. RAIS, POLE KWA MAJUKUMU MAZITO UNAYOKABILIANA NAYO TANGU UTWISHWE JUKUMU HILI ZITO LA KUONGOZA VISIWA HIVI VYA ZANZIBAR pale wakazi wa visiwa vya Unguja na Pemba walipokuchagua kuwa kiongozi wa visiwa hivi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Hadi sasa sisi wakazi wa visiwa hivi tunaziona...
  7. JF Member

    JamiiForums Tanzania Serikali Tatu ni mhimu. Katiba ya Warioba iendelee

    Salam zangu ziwafikie Kabudi, Warioba na Polepole. Sasa nawaelewa rasmi kwamba maoni ya wananchi yalikuwa sahihi. Muundo wa Serikali tatu Sasa unaanza kuonekana ni mhimu ukawepo. Serikali Moja na hii ya Sasa zinamapungufu mengi.
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kujenga Vituo vya Polisi Kupunguza Vitendo vya Uhalifu Kata ya Machame Mashariki

    Kutokana na kuripotiwa kwa matukio mengi ya uhalifu ambayo yamekuwa yakisababishwa na wananchi wenyewe kwa wenyewe Serikali imedhamiria kujenga vituo vya polisi kwaajili ya kupunguza matukio ya uhalifu ambayo yamekuwa yakiripotiwa ya mara kwa mara. Hayo yamesemwa na Naibu waziri Wizara ya Mambo...
  9. Thecoder

    JamiiForums Tanzania SoC03 Namna Serikali inavyoweza kushiriki kwenye mabadiliko ya teknolojia katika elimu

    Tovuti za wizara ya elimu zimekua na muundo ule ule tangu awali zilipotengenezwa hadi leo, hakuna vyumba vipya ambavyo vinabeba maudhui mapya ya kutoa msaada kwa wanafunzi. Wote tunajua teknolojia inakua kwa kasi sana na kutokana na kasi hii ya teknolojia sekta nyingi zinakwenda kupitia...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta binafsi ndiyo itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara

    Rais Samia Suluhu leo Juni 09, 2023 amesema sekta binafsi ndiyo itakayoitoa Tanzania kiuchumi, ameyasema hayo wakati akishiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara(TNBC). Rais Samia amesema wajibu wa Serikali ni kutengeza mazingira bora ya kufanya biashara jambo ambalo pia litatanua...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mliopata ajira za serikali wasaidieni wale walokosa ajira kinamna hii

    Hongereni wote mliopata mliopata ajira katika kada ya Ualimu na Afya ni wakati wa kwenda kulitumikia Taifa na kuwafuta machozi wale waliokuwa wanawategemea makubwa hasa baada ya kumaliza Elimu. Lengo la uzi ni kuwaomba wale wote waliochaguliwa ajira serikalini na kwa hakika katika hao kuna...
  12. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Serikali Iachane na Uwekezaji Unaotarajiwa Kufanywa na DP World Kwenye Bandari Yetu

    Binafsi nikiri kwamba sijauona huo unaoitwa Mkataba au MOU (Intergovernmental Agreement, IGA) hivyo siwezi kutoa hoja zozote za kitaalam ikiwa mkataba au hiyo MOU ni nzuri au mbaya. Hata hivyo, kwa kuzingatia watanzania hawa wa leo, ambao walikaa miaka 10 chini ya uongozi wa Mhe. Jakaya Kikwete...
  13. econonist

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Bunge kukataa kupitisha mkataba uliokwisha sainiwa na Serikali?

    Swali la msingi ni kwenye kuridhia mikataba ya kimataifa, Bunge linauwezo wa kuukataa mkataba ambao umekwisha sainiwa na serikali? Na Je, Bunge likiukataa huo mkataba Nini kitatokea? Naomba mtaalamu wa sheria za Kimataifa kwenye ratifications of treaties atusaidie.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali tafuteni kampuni ya kufanya management (uendeshaji) tu kwenye bandari zetu na sio kubinafsisha bandari

    Kifupi huo ndio ushauri wangu. Tufanye nini? Najua shida yetu kubwa katika kila kitu hapa nchini ni uendeshaji mmbaya na sio kukosekana kwa fedha. Tumewahi kupokea fedha nyingi za misaada lakini tukaishia kuzitumia hovyo kwa kukosa good management na weledi. Tunashindwa kwenye technical...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Kodi mpya zilizotangazwa na Serikali ya Kenya zitaharibu uwezo wa fedha kununua bidhaa

    Benki yaDunia imesema uwezo wa kununua wa kaya za chini utaathiriwa vibaya na mapendekezo ya hatua za mpya za ushuru katika Muswada wa Sheria ya Fedha wa 2023 WB imesema kuna uwezekano mkubwa suala hilo likaongeza shinikizo la sasa la mfumuko wa bei kutokana na kuongezeka kwa bei za bidhaa za...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Rais kuteua waliotenguliwa ni kuipaka matope ofisi, vinginevyo Serikali itoe ufafanuzi

    Naomba kupandiaha barua ya Ikulu mnamo mwezi January 23 ambayo ilitoa taarifa ya kufukuzwa kazi wakurugenzi kadhaa,soma jina namba 2 na jina namba 5 halafu pitia majina namba 80 na jina namba 115 kwenye teuzi zilizofanyika jana. Katibu Mkuu kiongozi na wizara ya utumishi wanahitaji kumsaidia...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Masharti ya DP World na Bandari yanazuia Serikali kujitoa, kuahirisha, kusitisha au kuvunja Mkataba

    Akizungumza kutoka Berlin Ujerumani, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema kwa mujibu wa Masharti ya Mkataba huo yanaonesha kuwa endapo kutakuwa na ulazima wa kuvunja Mkataba itabidi uamuzi utolewe na Mahakama ya Usuluhishi ya Kimataifa. Amesema DP World wanataka kupata haki ya...
  18. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Tarehe 5 Juni 2023, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitoa Taarifa kwa Umma kuhusu mwaliko wa Wadau wote kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge la mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania a Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa Kiuchumi na...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Burundi yakifungia Chama Kikuu cha Upinzani

    Wizara ya Mambo ya Ndani imesema uamuzi huo dhidi ya National Freedom Council (CNL)umetokana na malalamiko yaliyowasilishwa na viongozi 8 wa chama hicho, waliodai kufukuzwa ndani ya chama baada ya kumpinga Rais wa chama . Katibu Mkuu wa chama, Simon Bizimungu, amepinga uamuzi huo na kuuelezea...
  20. Saint_Maxi

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie Jicho Kero ya usambazaji wa Umeme eneo la Ukara, Ukerewe

    Ukara wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza kuna shirika la umeme (JUMEME) linahusika na huduma ya usambazaji wa umeme wa nguvu ya jua ila kero ipo kwenye bei. Bei ni Elfu mbili 2000/= kwa kila unit, na namna ya huduma ya kila mteja katika matengenezo yao, kwasababu mita ina tatizo ukimtafuta fundi...
Back
Top Bottom