Yah: Mkataba wa IGA kati ya Dubai na Serikali ya Tanzania; serikali iitishe kura ya maoni

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,755
Siyo siri,
Rais wetu mpendwa ameshughilishwa mno na hoja zetu mbalimbali kama wananchi juu ya huu mkataba ambao serikali ilisha usaini mwezi february 2022 na kuja kuridhiwa na Bunge 30 Juni 2023.

Siyo siri
Kuna wakati hoja zetu wananchi zinavuka mipaka hata kuutweza utu na wafhifa wa Rais ambapo huu ni utamaduni mpya tulioletewa na CCM yetu ambapo imekuwa inawatweza utu wao wanaoikosoa serikali hata wengine kugharimu maisha yao.

Siyo siri.
Wasaidizi wa Rais wameonekana kupwaya kwa kiwango kikubwa. Waziri mwenye dhamana ya Habari amenyooshewa vidole kwamba amedhibiti vyombo vya habari hususani kuruhusu ama kukataza taarifa zinazoenda kwa umma kupitia vyombo hivyo, wasaidizi wengine wamechagua kutumia kauli zinazoleta ufa mkubwa kati ya serikali na raia wake. Wengine wamegoma kuuishi ukweli kwa kuamua bora liende kwa kutotoa ushauri, maoni wala msimamo wao juu ya sakata hili tata

Siyo siri,
Setikali yaani watawala wameweza kudhibiti mihimili mingine ya serikali yaani Bunge na Mahakama, mihimili hiyo imejikuta katika mazingira ya kukubaliana na kila jambo linalotakiwa na watawala. Bunge siyo sauti ya wananchi tena. Mahakama siyo Hekalu la HAKI tena. Tumeona pia matumizi mabaya ya vyombo vya dola kinyume na kabisa na katiba, sheria wala uzingativu wa haki za binadamu vikifanywa ili kiwardhisha watawala.

Siyo Siri,
Inatia huzuni kuona watawala wakitumia jukwaa na udini kupenyeza hoja zao na kulitumia jikwaa hilo hilo la udini kuwapasua na kuwagawa Watanzania.

Siyo siri,
Mkataba baina ya Taifa letu na Dubai ni sehemu ya mikataba kadhaa ambayo tayari imeshaingiwa,na kinachosubiriwa ni utekelezaji wake mmoja baada ya mwingine.

USHAURI WANGU KWA WATAWALA.
Maadam mkataba umeshapitia ngazi zote husika na kupitishwa, lakini raia wamekuja juu kuhoji, kupinga hata kujiapiza dhidi ya mkataba huo,.

Pia kwa sababu wapo wananchi ambao nao wanaona hii ni fursa adhimu na wanakubaliana na serikali kwenye taratibu, dhumuni hata malengo ya mkataba huu.

BASI
Serikali iitishe na kuandaa kura ya maoni. Kura ya wazi ambayo haitahusisha mitaguso ya kisiasa wala mabaraza ya dini.

Kupitia Kura ya Maoni tupate msimamo kama nchi wa kuingia ama kuachana na mkataba huu.

Serikali iunde kamati huru itakayojumuisha makundi yote kwenye jamii kusimamia kura hii ya maoni.

Uzalendo haujengwi kwa kupinga ama kukataa daima, bali uzalendo ni jambo la kuitakia mema, ustawi na siha njema nchi yako
 
Siyo siri,
Rais wetu mpendwa ameshughilishwa mno na hoja zetu mbalimbali k, ustawi na siha njema nchi yako
Msanii huwa nakuheshimu. sasa unaleta mambo gani? Kwenye science hakuna wengi wape! These are legal issues guided by some sort of scientific principles, well-defined rules and procedures. Sasa unaposema tupige kura una maana gani? Kuwa wakitokea watu 10 wakasema 1+1 =3 (katikan natural mathematics) na wengine 2 wakasema 1+1 =2 , tuwafuate hao 10?
 
Niliamuwa kunyamaza kimya na naendelea kunyamza kimya.

Hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili/
Hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili.

Hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuharibu amani na salama tuliojenga kwenye taifa hili.

Hayo itoshe kuwa ujumbe wangu kwenu. - mama Samia - KKkT Arusha 21/08/2023.

Kukuza kusimamia na kuenzi maadili yetu , ni kazi ya kanisa.
 
Mbona yeye anatuuza
 
Msanii huwa nakuheshimu. sasa unaleta mambo gani? Kwenye science hakuna wengi wape! These are legal issues guided by some sort of scientific principles, well-defined rules and procedures. Sasa unaposema tupige kura una maana gani? Kuwa wakitokea watu 10 wakasema 1+1 =3 (katikan natural mathematics) na wengine 2 wakasema 1+1 =2 , tuwafuate hao 10?
Mkuu
Inawezekana nimefanya technical error lakini naona huu mjadala unahamishwa hamishwa na hawa watawala kana kwamba wanaimiliki nchi
 
Na kura iwe ya WAZI barabarani na Viwanjani.

Tukikubali kura ya Siri, tumeisha!!!

Mkataba wa Bandari ni FAKE na BATILI, ufutwe haraka!!
 
Siyo siri,
Rais wetu mpendwa ameshughilishwa mno na hoja zetu mbalimbali kama wananchi juu ya huu mkataba ambao serikali ilisha usaini mwezi february 2022 na kuja kuridhiwa na Bunge 30 Juni 2023.

Siyo siri
Kuna wakati hoja zetu wananchi zinavuka mipaka hata kuutweza utu na wafhifa wa Rais ambapo huu ni utamaduni mpya tulioletewa na CCM yetu ambapo imekuwa inawatweza utu wao wanaoikosoa serikali hata wengine kugharimu maisha yao.

Siyo siri.
Wasaidizi wa Rais wameonekana kupwaya kwa kiwango kikubwa. Waziri mwenye dhamana ya Habari amenyooshewa vidole kwamba amedhibiti vyombo vya habari hususani kuruhusu ama kukataza taarifa zinazoenda kwa umma kupitia vyombo hivyo, wasaidizi wengine wamechagua kutumia kauli zinazoleta ufa mkubwa kati ya serikali na raia wake. Wengine wamegoma kuuishi ukweli kwa kuamua bora liende kwa kutotoa ushauri, maoni wala msimamo wao juu ya sakata hili tata

Siyo siri,
Setikali yaani watawala wameweza kudhibiti mihimili mingine ya serikali yaani Bunge na Mahakama, mihimili hiyo imejikuta katika mazingira ya kukubaliana na kila jambo linalotakiwa na watawala. Bunge siyo sauti ya wananchi tena. Mahakama siyo Hekalu la HAKI tena. Tumeona pia matumizi mabaya ya vyombo vya dola kinyume na kabisa na katiba, sheria wala uzingativu wa haki za binadamu vikifanywa ili kiwardhisha watawala.

Siyo Siri,
Inatia huzuni kuona watawala wakitumia jukwaa na udini kupenyeza hoja zao na kulitumia jikwaa hilo hilo la udini kuwapasua na kuwagawa Watanzania.

Siyo siri,
Mkataba baina ya Taifa letu na Dubai ni sehemu ya mikataba kadhaa ambayo tayari imeshaingiwa,na kinachosubiriwa ni utekelezaji wake mmoja baada ya mwingine.

USHAURI WANGU KWA WATAWALA.
Maadam mkataba umeshapitia ngazi zote husika na kupitishwa, lakini raia wamekuja juu kuhoji, kupinga hata kujiapiza dhidi ya mkataba huo,.

Pia kwa sababu wapo wananchi ambao nao wanaona hii ni fursa adhimu na wanakubaliana na serikali kwenye taratibu, dhumuni hata malengo ya mkataba huu.

BASI
Serikali iitishe na kuandaa kura ya maoni. Kura ya wazi ambayo haitahusisha mitaguso ya kisiasa wala mabaraza ya dini.

Kupitia Kura ya Maoni tupate msimamo kama nchi wa kuingia ama kuachana na mkataba huu.

Serikali iunde kamati huru itakayojumuisha makundi yote kwenye jamii kusimamia kura hii ya maoni.

Uzalendo haujengwi kwa kupinga ama kukataa daima, bali uzalendo ni jambo la kuitakia mema, ustawi na siha njema nchi yako
Kura ya maoni ?!! Nani ahesabu na kutangaza matokeo?!

Wee!!

Cc: Retired
 
Kura ya maoni watachakachua hao. Siyo wa kuwaamini mafisadi wakubwa hao.
 
Kura ya maoni kwenye nchi hii? Mshindi atatangazwa siku kumi kabla ya kura. Nani atalinda kura dhidi ya wizi na kuchakachua?🙆‍♀️😭😭😭
 
Hiyo kura ya maoni atahesabu nani kura hizo?
 
Back
Top Bottom