serikali

  1. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kufufua Kiwanda cha Nguo cha MUTEX Musoma

    GHATI CHOMETE - SERIKALI KUFUFUA KIWANDA CHA NGUO MUTEX MUSOMA MASWALI NA MAJIBU BUNGENI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete ameiuliza swali Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe "Pamoja na Uwekezaji...
  2. aleesha

    Mali za Serikali Kukamatwa

    Mali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zipo hatarini kukamatwa na Kampuni ya M/s Laemthong Rice Company Ltd inayoidai Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kiasi cha Dola za Marekani 41,522,475,277.12 (Tsh. Trilioni 97.366). CAG anaripoti...
  3. Mateso chakubanga

    Serikali ifanye ukaguzi shule zote na vituo vyote vya kulelea watoto hasa vinavyomilikiwa na wageni nchini

    Kutokana na wimbi la ushoga na usagaji nchini kusambaa kwa kasi kupitia taasisi za elimu na ustawi wa jamii kwa maana ya vituo vya kulelea watoto hasa vinavyomilikiwa na wawwkezaji wa kigeni, natoa rai serikali ipitie mitaala na mbinu za ufundishaji , vifaa vya ufundishaji, matumizi ya vifaa...
  4. M

    Mbunge wa CCM badala ya kujadili kero za ugumu wa maisha, anashauri Mawaziri wajengewe sehemu za starehe. Hii ni aibu

    Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa raha ya faragha na kusababaisha waonekane hawana maadili.
  5. Stephano Mgendanyi

    Serikali Iondoe Makato ya Miti Kilimo cha Tumbaku

    MHE. EMMANUEL CHEREHANI - SERIKALI IONDOE MAKATO YA MITI KILIMO CHA TUMBAKU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo na kujibiwa na Naibu Waziri Kilimo Mhe. Anthony Mavunde. "Wakulima wa...
  6. peno hasegawa

    Waziri wa Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Anjela Kairuki jiuzulu!

    Nirejee kusema kuwa Waziri Anjela Kairuki Wizara hiyo imekushinda. Wizi ni 100% kwenye mikoa na Halmashauri, nchi pia ukirejea ripoti ya CAG. Nikutake utamke neno moja Tu, Jiuzulu nafasi hiyo japo Hata Samia mambo yamshinda Yeye Tutakuwana naye kwenye kampeni 2025
  7. S

    Heche ampinga Jerry Silaa hoja ya kuongeza bei ya mafuta

    hechejohn Hivi ccm huwa inatoa wapi wabunge wajinga wa kiwango hiki!!!!! Imagine huyu ni kijana, kwasababu ya mshahara mkubwa na Posho hajui jinsi maisha yalivyo magumu kwa watu.. Bado anataka kuongeza mzigo!!! Pesa zipo za kutosha lakini zinaibiwa kwasababu ya wajinga kama huyu Kushindwa...
  8. BARD AI

    Serikali yasema itawaondoa Watanzania waliopo Sudan kama itahitajika

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax amesema imejiridhisha kuwa Watanzania 201 waliopo huko wapo salama ambapo kati yao 171 ni Wanafunzi na idadi nyingine ni raia na Maafisa wa Ubalozi. Dkt. Tax amesema Serikali imesikitishwa na kuzorota kwa hali ya...
  9. B

    Dkt. Samizi achangia Bungeni, aiomba Serikali kutatua kero Jimbo la Muhambwe

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo amechangia Bajeti ya Wizara ya TAMISEMI Bungeni Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine ametoa hoja mbalimbali kwa ajili ya kutatua kero na kusukuma maendeleo Jimboni kwake. Kwanza; Dkt. Samia amempongeza Rais...
  10. R

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuhusu Hali ya Usalama Nchini Sudan

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina wasiwasi mkubwa juu ya hali mbaya ya usalama inayoendelea nchini Sudan, kutokana na mapigano yaliyozuka katika mji mkuu wa Khartoum na maeneo mengine tangu tarehe 15 Aprili 2023, kati ya Majeshi ya Sudan na kikosi cha Usaidizi wa Haraka cha...
  11. M

    Maafisa utumishi na watu wenye uelewa wa ajira na utumishi wa serikali naomba ushauri

    Kuna jamaa yangu ni mtumishi wa serikali kajiriwa kama mwalimu na kituo chake cha kazi ni halmashauri x na shule x , ana degree ya uhasibu na postgraduate diploma ya ualimu, hivyo kigezo alichoingilia kazini na kumpa ajira ni postgraduade diploma na sasa yupo daraja E anaenda daraja F...
  12. T

    Soko la Tegeta nyuki, kukizuka kipindupindi serikali ipewe lawama zote na iwajibike!

    Nashindwa kuandika nianzie wapi na niishie wapi! Soko la Tegeta nyuki, ni soko linalovutia funza, inzi wa ajabu na kila aina ya wadudu Halafu serikali inataka tujivunie eti tunaviongozi bora? Kwa lipi? Mbunge wa eneo hilo naye yupo yupo tu na hana msaada wowote! Inakuwaje soko Liwe vile? Ni...
  13. J

    Serikali yafanya mageuzi makubwa TTCL

    Na Mwandishi wetu, WHMTH, Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya mageuzi makubwa katika Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa kuhamishia shughuli zote za miundombinu ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwenye...
  14. J

    Miaka 20 ya Maranatha: DC Jokate ashiriki ibada, aomba viongozi wa dini kuombea serikali

    MIAKA 20 YA MARANATHA DC JOKATE ASHIRIKI IBADA, AOMBA VIONGOZI WA DINI KUOMBEA SERIKALI. Na Miko Luoga Tanga Mkuu wa wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Jokate Mwegelo amewaomba viongozi wa dini na waumini wilayani humo kuwaombea viongozi wa serikali na ardhi ya Tanzania ili Taifa liendelee kuwa...
  15. Gadafhi

    Serikali yetu ianze kutoa tuzo kwa watunza (wazungumzaji) Kiswahili kutoka mataifa ya nje

    Ni ukweli usiopingika kwamba dunia nzima inatambua lugha ya Kiswahili ina unasaba mkubwa na Tanzania. Kwa tafsiri fupi ni kwamba Tanzania tunaweza kuiita ardhi ya Kiswahili. Sasa nataka niongee kidogo kuhusu lugha hii adhimu na wizara yenye dhamana ya lugha hii kwamba lazima itumie mbinu...
  16. Emanueli misalaba

    Ombi kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ)

    Ombi kwa serikali iwasaidie wananchi wa Fuoni meli tano sheli, shehia ya Mnarani, kuhusu nyumba namba SH. MNR. 08/101 Ni kero zaidi ya kero kwenye mtaa, wanauza pombe za bia wakiwa hawana leseni pia pombe za kienyeji aina ya gongo na bangi wakati pombe hizi ni haramu kwa mjibu wa sheria...
  17. lufungulo k

    Kikokotoo kwa mstaafu hata serikali inaona AIBU

    Kwako wewe afisa wa NSSF unayekenua kwenye TV, ukijifanya mtaalamu wa HESABU za vikokotoo, swali langu ni 1 tu. Kwanini mmetolea mfano wa afisa wa serikali aliyestaafu wakati akilipwa mshahara wa tsh 2,000,000/=( hapa ndipo AIBU ilipojificha) Kokotoeni mshahara wa walio wengi ili AIBU yenu...
  18. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kutumia Trilioni 6.7 Kusambaza Umeme Kwenye Vitongoji

    SERIKALI KUTUMIA TRILIONI 6.7 KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI Na Timotheo Mathayo, Dodoma. Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Serikali imetenga fedha shilingi Trilioni 6.7 kwa ajili ya miradi ya kusambaza umeme kwenye Vitongoji 36,101 hapa nchini ambavyo havijapata huduma ya umeme...
  19. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kutumia Trilioni 6.7 Kusambaza Umeme Kwenye Vitongoji

    SERIKALI KUTUMIA TRILIONI 6.7 KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema Serikali imetenga kiasi cha shilingi Trilioni 6.7 kwa ajili ya miradi ya kusambaza umeme kwenye Vitongoji 36,101 hapa nchini ambavyo havijapata huduma umeme. Makamba amesema hayo...
  20. benzemah

    Serikali yaongeza bajeti ya elimu bila ada kwa asilimia 15

    Elimu bila ada kwa shule za shule za msingi na sekondari imeongezewa kwa asilimia 15.34 kwa mwaka ujao wa fedha 2023/24 ikilinganishwa na bajeti iliyoidhinishwa katika mwaka wa fedha wa unaomalizika wa 2022/23. Hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023 /24...
Back
Top Bottom