DOKEZO Serikali ikague ubora wa Ujenzi wa Reli ya SGR Lot 3. Tunaandaliwa kupigwa na kitu kizito siku za usoni!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Nimelazimika kuandika hiki ninachokiandika kwa kuwa nimeona ukimya wangu unaweza kuja "kuli-cost" Taifa baadaye na mimi nikaonekana kama sikukitendea vema kizazi changu.

Naweza kusema nimesoma andiko hili nikashawishika nami kuandike kile ambacho kipo kichwani kwangu na ndio ukweli halisi ulivyo, japo inawezeka kuna watu ambao hawatanielewa.

Andiko lenyewe ni hili ~ Tanzania mulls Plan B for its SGR project as Turkish firm derailed

Kwanza kabisa ubora wa baadhi ya vitu vya Mkandarasi Yapi Merkezi haupo katika kiwango kizuri, mfano magari yanayotumika, mengi ni mabovu.

Mfano mbili zilizopita magari mawili yalipata ajali na kudondoka wakati yakifanya kazi ya kusomba kifusi, asilimia kubwa ya ajali kama hizo chanzo ni ubovu wa vyombo hivyo vya moto.

Magari mazima ambayo yanatumika kwenye mradi chini ya Mkandarasi Yapi Merkezi ni aina ya Ford ambayo yapo zaidi ya 30 lakini mengine zaidi ya 50 ni mbofu, kimuonekano yanaonekana yako safi ila ukianza kuyatumia ndipo unagundua changamoto zake.

Sisemi hayo kwa maneno ya kutunga, mimi mwenyewe najua magari na nimepanda magari hayo na nimeshuhudia uhalisia.

Kisheria wakandarasi huwa wananunua vifaa vipya kulinda wafanyakazi lakini ni hatari kwa maisha yetu.

Kitu kingine hakuna usalama wa vifaa nyeti, kuna Wafanyakazi hawana buti, reflector n.k, njooni kwenye miradi muone kinachofanyika msifikiri haya ni maneno tu.

Mkataba unasema ukipewa vifaa kuna ambavyo unavitumia kwa miezi sita ikiisha unapewa vifaa vingine lakini huku hakuna kitu kama hicho.

Hii ni hela ya kodi ya Watanzania, sio hela ya mama Samia, ndio maana tuna uchungu na kinachoendelea.

Sasa nije kwenye hoja ya msingi, kwa nje mtu akitazama mradi huu anaona kila kitu kiko poa lakini ndani kuna mambo hayapo sawa.

Kuanzia mradi unaanza tumepigwa kuboom kubaa za hatari, kwa wasioelewa yaani kuna viraka ambavyo Serikali ikisema inaleta Injinia Profesheno aje kukagua hasa Lot 3, tutazibua sehemu nyingi zenye viraka.

Tunashindwa kuongea wakati mwingine kwa kuwa tunaangalia usalama wetu, maisha yetu, kwani kuna watu wanakula kupitia mazagazaga hayo ya viraka.

Sijui Serikali na mamlaka zinasubiri watu wajitoe mhanga kama yule Majaliwa wa Bukoba kule ndio waonekane.

Ingekuwa kama kipindi kile jamaa anakagua kwa kufika mwenyewe site huku Lot 3 ingekuwa aibu na vituko, lakini kuna watu hapa katikati wanajidai wameziba masikio kwa kuwa waoa ndio wanufaika.

Wakati wa mvua kubwa jamaa wanaoongoza ujenzi wana tabia ya kufosi, unakuta kipande hakijagongwa wala kupimwa lakini wanashindilia na lola, ni mwendo wa shaashaa, unakuta imeisha hiyo, wanahamia sehemu nyingine ila kuzingatia ubora.

Kinachoendelea huku kwenye Mradi ni kama ile maghorofa ya Dar au sehemu nyingine yanayoanguka yenyewe au inapotokea tetemeko kidogo tu unaona kitu kinaachia, basi ndicho kitakachotokea siku za mbele.

Sehemu nyingi kuna viraka kwa kuwa hakukugongwa wala kuwekewa material yanayostahili, hii yote ni kwa kuwa tunakimbizana na muda then kazi ni nyingi kwa kuwa Mkandarasi anataka kuendelea kubaki Tanzania kwenye miradi mingine.

Nitaleta picha na video za baadhi ya maeneo ili Dunia ione kile ambacho kinafanywa na Yapi Merkezi katika huu mradi, wito wangu Serikali Kuu iamke, wasitegemee ripoti za kwenye makaratasi na email.

Pia soma : Hali ya SGR ni mbaya na mradi haujulikani utakamilika lini
 
Kwa taarifa hii, tatizo Sio la mkandarasi.. Shida itakuwa Kwa shirika la Reli na mshauri wake mkorea wa Korail maana Hao lazima wapitishe mradi ndio mkandarasi aendelee.

Ford zile Sio mbovu, ni sababu mfumo wake na injini yake ni Kwa ajili ya sehemu za baridi. Huku Zina chemsha sana na pia mostly ni left hand.. Changamoto Kwa madereva wengi.
 
Nimelazimika kuandika hiki ninachokiandika kwa kuwa nimeona ukimya wangu unaweza kuja "kuli-cost" Taifa baadaye na mimi nikaonekana kama sikukitendea vema kizazi changu.

Naweza kusema nimesoma andiko hili nikashawishika nami kuandike kile ambacho kipo kichwani kwangu na ndio ukweli halisi ulivyo, japo inawezeka kuna watu ambao hawatanielewa.

Andiko lenyewe ni hili ~ Tanzania mulls Plan B for its SGR project as Turkish firm derailed

Kwanza kabisa ubora wa baadhi ya vitu vya Mkandarasi Yapi Merkezi haupo katika kiwango kizuri, mfano magari yanayotumika, mengi ni mabovu.

Mfano mbili zilizopita magari mawili yalipata ajali na kudondoka wakati yakifanya kazi ya kusomba kifusi, asilimia kubwa ya ajali kama hizo chanzo ni ubovu wa vyombo hivyo vya moto.

Magari mazima ambayo yanatumika kwenye mradi chini ya Mkandarasi Yapi Merkezi ni aina ya Ford ambayo yapo zaidi ya 30 lakini mengine zaidi ya 50 ni mbofu, kimuonekano yanaonekana yako safi ila ukianza kuyatumia ndipo unagundua changamoto zake.

Sisemi hayo kwa maneno ya kutunga, mimi mwenyewe najua magari na nimepanda magari hayo na nimeshuhudia uhalisia.

Kisheria wakandarasi huwa wananunua vifaa vipya kulinda wafanyakazi lakini ni hatari kwa maisha yetu.

Kitu kingine hakuna usalama wa vifaa nyeti, kuna Wafanyakazi hawana buti, reflector n.k, njooni kwenye miradi muone kinachofanyika msifikiri haya ni maneno tu.

Mkataba unasema ukipewa vifaa kuna ambavyo unavitumia kwa miezi sita ikiisha unapewa vifaa vingine lakini huku hakuna kitu kama hicho.

Hii ni hela ya kodi ya Watanzania, sio hela ya mama Samia, ndio maana tuna uchungu na kinachoendelea.

Sasa nije kwenye hoja ya msingi, kwa nje mtu akitazama mradi huu anaona kila kitu kiko poa lakini ndani kuna mambo hayapo sawa.

Kuanzia mradi unaanza tumepigwa kuboom kubaa za hatari, kwa wasioelewa yaani kuna viraka ambavyo Serikali ikisema inaleta Injinia Profesheno aje kukagua hasa Lot 3, tutazibua sehemu nyingi zenye viraka.

Tunashindwa kuongea wakati mwingine kwa kuwa tunaangalia usalama wetu, maisha yetu, kwani kuna watu wanakula kupitia mazagazaga hayo ya viraka.

Sijui Serikali na mamlaka zinasubiri watu wajitoe mhanga kama yule Majaliwa wa Bukoba kule ndio waonekane.

Ingekuwa kama kipindi kile jamaa anakagua kwa kufika mwenyewe site huku Lot 3 ingekuwa aibu na vituko, lakini kuna watu hapa katikati wanajidai wameziba masikio kwa kuwa waoa ndio wanufaika.

Wakati wa mvua kubwa jamaa wanaoongoza ujenzi wana tabia ya kufosi, unakuta kipande hakijagongwa wala kupimwa lakini wanashindilia na lola, ni mwendo wa shaashaa, unakuta imeisha hiyo, wanahamia sehemu nyingine ila kuzingatia ubora.

Kinachoendelea huku kwenye Mradi ni kama ile maghorofa ya Dar au sehemu nyingine yanayoanguka yenyewe au inapotokea tetemeko kidogo tu unaona kitu kinaachia, basi ndicho kitakachotokea siku za mbele.

Sehemu nyingi kuna viraka kwa kuwa hakukugongwa wala kuwekewa material yanayostahili, hii yote ni kwa kuwa tunakimbizana na muda then kazi ni nyingi kwa kuwa Mkandarasi anataka kuendelea kubaki Tanzania kwenye miradi mingine.

Nitaleta picha na video za baadhi ya maeneo ili Dunia ione kile ambacho kinafanywa na Yapi Merkezi katika huu mradi, wito wangu Serikali Kuu iamke, wasitegemee ripoti za kwenye makaratasi na email.
 
Attachments

  • 0F1AA65F-5CBE-4D1B-A134-803C38B1CDB8.jpeg
    0F1AA65F-5CBE-4D1B-A134-803C38B1CDB8.jpeg
    31.4 KB · Views: 2

Na mchina naye anajitahidi kuchakachua ubora kwa kucompromise na ratio za materials.

Mama tupo bize kuteua tu
 
Sehemu nyingi kuna viraka kwa kuwa hakukugongwa wala kuwekewa material yanayostahili, hii yote ni kwa kuwa tunakimbizana na muda then kazi ni nyingi kwa kuwa Mkandarasi anataka kuendelea kubaki Tanzania kwenye miradi mingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2018 niliandika hiki kitu

Tusipokuwa makini, SGR ni janga lijalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom