The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Naingia kwenye mada moja kwa moja nisiwachoshe na maneno mengi. Ukimsikiliza huyu mbunge kwa umakini utakubaliana nami pasi na shaka kwamba wabunge wa CCM walihongwa na kampuni ya DP World ili kuwauzia nchi. Inauma sana. Kumbe mkataba ulisainiwa tangu mwaka jana, sasa hawa wezi wanatuchora tu...
CDM ni chama chenye uuchwara mwingi sana, na wala siyo chama cha maana. Lakini kwenye uuchwara huo nashangaa wameshindwaje kuwateka wakulima ukiaangalia jinsi mkulima wa nchi hii anavyoteseka. Asilimia 70 ya watz wanategmea kulima, lakini sera na harakati za CDM zinawagusa kidogo sana. Watu...
Habari wana jamvi,
Mie bongo fleva nimeanza kuifuatilia kitambo sana enzi za bdp na sosy b na mpaka sasa bado naisikiliza nimebahatika kuviona vipaji vingi kwenye hii tasnia waimbaji kwa maraper.
Lakini nikiri wazi kua Lava lava ni bwana mdogo mwenye kipaji sana sema naona kama hapati...
Jamii imekengeuka sana
Kiongoz atakaye wathanini walimu Mnyezi Mungu atabariki sana
Ni Kwa Nini kila kiongozi anayeshika nchi anajiunga na kundi la kudanganywa. Eti..
Walimu watajengewa nyumba. Mna uhakika na mnacho danganya? Nnani amesemma walimunnchi nzima wanaweza wakajengewa nyumba...
Katika mambo yanayonisumbua maisha yangu, mambo haya 30 yanaongoza;
1. Kila kitu ni kitapita au ni cha muda tu ukiwemo uhai au maisha yangu.
2. Ukweli kuwa sitoridhika na nilichonacho au niliyonayo mpaka wakati wa kufa
3. Uhalisia kuwa uchu ndiyo unaotawala uchumi na uchumi nao kutawala uchu...
NIMEKUTANA NA TIMEKEEPER DEUS MWAFISANGO, HATARI SANA.
Anaandika, Robert Heriel
Ni leo. Maeneo ya Mlimani City nilikutana na mtu hatari, jitu baya, Roho ya kale, ukimuita jitu mwitu msitu hutokuwa unakosea.
Napita Eneo la samaki samaki nasikia Sauti ikiniita. Nageuka macho yangu yanapagawa...
Kama kichwa cha khabari hapo Juu Kinavosema, nimeoa nina mke na mtoto mmoja Ila hii ndoa nahisi Kuanza kuishindwa kwasababu ya GUBU la mke wangu.
Nimejaribu kuongea nae mara kadhaa ila sio muelewa hata kidogo. Nishaongea nae kwa nyakati mbalimbali ila haelewi, ana kauli tata sana zenye kunitia...
Kama mzalendo katika nchi ambayo Mwenyezi Mungu aliruhusu nizaliwe, naona kabisa kwamba hili suala la mkataba kati ya Serikali yetu na DP World ya Dubai, itakuwa kipimo cha uzalendo ambao tunapaswa kutumia katika kuwapima.
Tuko tunafuatilia kwa ukaribu sana maoni yenu.
Hata wale ambao mmeamua...
Mamlaka za maji nchini zina kiburi sana, hakuna nidhamu ya watendaji. Miradi ya maji wanapiga, kuunganisha watu maji awataki, wanabambikia wenye maji bili, ukienda ofisini kwao hakuna anayekuchukulia kama mteja kila mtu yupo busy na masuala yake, wengi wana elimu ndogo ya uchumi na hivyo...
Amani iwe juu yenu wana wa Mungu.
Nina miezi kama mitatu sasa, nyimbo za wahusika zimekuwa zikijirudia katika orodha ya nyimbo ninazosikiliza mara nyingi.
Papi Clever na Dorcas ni wanandoa, Merci Pianist ni mtaalam wa kupiga kinanda kwa kiwango kikubwa sana.
Mimi ni muumini wa nyimbo za...
Haiwezekani Mbeya City kila wanachokifanya mipira inapaa kama sio kugonga miamba.
Kwa aina hii ya ukamiaji jumlisha na sayansi ya jadi kuna timu kubwa zita-struggle msimu ujao pale katika dimba la Lake Tanganyika.
My take:
Punguzeni usela mavi wenu huku ligi kuu kuna kamera za AzamTv mtapoteana
Uyu member wa JF ameniahidi kuni WALK maeneo NEW apa Dar es salaam pindi niki arrive Tanzania. Anasema atanipeleka
1. VINGUTINGUTIH
2.KWA MUPALANGEY
3.BOUGOROON QUA MUNIAMAN
4. TAN DALE QUA MUTOGLE
5. TEAMAKEY
6. MAN THEY SAY
7. KEY MARAY
sijui kama hizo spelling nimepatia coz tulikuwa...
Nashukuru sana members wengi wameonekana kupenda jinsi ninavyotoa mchango wa busara, hekima, upendo na akili ya kiwango cha juu humi JF.
Watu kadhaa wanasema nimeokoa maisha yao kipindi ambacho walikuwa wamekata tamaa na kuona bora wafe tu. Watatu walikuwa wamesha saga chupa wanasubiri tu...
Kimsingi waafrika walikuwa wanawaona Wazungu kama watu wenye akili nyingi ma matajiri sana kuliko wao, lakini vita ya Ukraine imekanusha ujinga huu wa fikra hizi za inferiority/udhaifu dhidi ya Wazungu.
Mpango wa Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya ulipangwa na Marekani kupitia Uingereza...
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika pita pita yangu mtandaoni nimekumbana na hii video. Kwa mtazano wangu, huyu jamaa ana upeo, muono na mawazo mapana sana na ana kipaji cha kuzifikisha fikra zake kwa ufasaha na utulivu wa viwango vya juu kabisa. Ana uchungu na ujinga wetu Waafrika na...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya mungano wa Tanzania. Sakata la mtoto wa shule ya Pandahill leo limekumbusha miaka ya 2000’s kabla technology haijawa kubwa kulikuwa na matukio mengi sana ya wadada kutoroshwa na wanaume na kwenda kuanza maisha Kusiko julikana.
Waliowahi shudia hayo matukio...
Ni mwaka sasa niko Mbeya, huyu jamaa anajiita vunjabei alifunggua duka lake hapa Sido mbeya kwa mbwembwe lakini naamini hauzi hata laki mbili kwa siku maana hakuna wateja kabisa pale.
Nikipita maeneo yale ya sido naona wafanyakazi wake wamekaa nje tu wamejishika tama.
Tatizo nini wakuu?
Hawa ambao nimewazungushia Duara three weeks ago tulikuwa wote Amsterdam. Before that tulikuwa London na Paris. Leo naambiwa kuna asilimia kubwa watakuwa wamefariki.
Ilikuwa niwepo katika hii tour basi tu ratiba ziliingiliana sababu jamaa walitaka angalau black man mmoja awepo. Shida tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.