Mke wangu ana gubu sana

Mdigokhan

JF-Expert Member
May 2, 2022
843
1,923
Kama kichwa cha khabari hapo Juu Kinavosema, nimeoa nina mke na mtoto mmoja Ila hii ndoa nahisi Kuanza kuishindwa kwasababu ya GUBU la mke wangu.

Nimejaribu kuongea nae mara kadhaa ila sio muelewa hata kidogo. Nishaongea nae kwa nyakati mbalimbali ila haelewi, ana kauli tata sana zenye kunitia hasira. Nishamtoa out sehemu tulivu ili tuongee hili susla ila habadiliki ni kero kwa upande wangu. Ana mapungufu mengine kama mwanadamu navumilia ila hili la gubu nahisi nashindwa kuvumilia.

Ana gubu nyingi ila acha niseme mbili tatu. Mimi ni kibonge kibonge hivi Kulingana na huu mwili wangu Nikaona ni vyema nianze Gym Nipige vimazoezi ili nipunguze kitambi nikwambia mke wangu kuwa naanza Gym ili nipunguze mwili na nitaanza na diet ili nipungue kwa haraka.

Akanijibu ''Kibonge ni kibonge tu hata ufanye nini huwezi pungua mume wangu we ni kipipa. Nikaumia na lile jibu ila nikapata chachu ya mazoezi, nikaanza mazoezi nikatimiza miezi miwili Gym huku napiga Dayati yangu, Kweli buana Mwili ulianza kukatika kitambi kikaanza kuishaa Kilo zokashuka kwa kasi Akaanza kusema.

Ooh Naona umeanza kuunda mwili ili uvutie wanawake huko njee yaani wewe mwanaume hufai, kama unataka kutuacha na mwanao Sema mapema tujipangee nakuona sana unavojishauwa humu ndani. Nimekaa kimya unaniona mjinga

Kiukweli aliongea sana alilia mpaka nikahisi tatizo ni Gym au kuna lingine huku akisema nikienda tena Gym Sitamkuta nikaona eeh fresh nikaacha Gym.

Miezi ikakatika Gym nimeacha tambi likarudi mana nilikuwa nawekewa mafuta kila kona, Wali mafuta,chai mafuta, ugali mafuta, chapati mafuta. Yaani nikafutuka tena ila nikanyamazaa na tambi langu.

Nikichelewa kurudi kwaajili ya foleni utasikia '''Malaya zako wamekuachia sasa Baba, Ila Afadhali wamekumbuka una familia''' Basi tunajibizana nikiona hasira zimenipanda naona kheri nilale cuz nisijempiga. Kesho tunaamka fresh kama hakijatokea kitu Furaha inaendelea ndani ya nyumba.

Juzi kati hapa tukiwa kwenye Sex kitandani Kuna Style moja nikamuweka Sijui hata ilikujaje ile style ila nikampeleka sana moto kiukweli nilimkunjaa mpaka nikamkojoza.

Tulipomaliza anakasema “….Hii style mume wangu umeitoa wapi eeh, hivi ndio malaya wako wa TABATA wanakufunzaa eeh utakuja niuwa na magonjwa we mwanaume mana siku hizi mala unishikishe ukuta yani we mwanaume malaya sana''

Tunakosana hadi nakosa hata hamu ya goli la pili hivo naoga nalala zangu ila asubuhi kukicha kama hakujatokea kitu jana. Nishampiga makofi ili ku reset akili yake ila wapi. Nishatishia kumpa taraka atalia yataisha cuz nampenda ila kesho ataendelea, sijui pepo, sijui gubu, sijui kanizoea sana. Wote Sisi ni watu wazima hakuna mtoto.

Nb: Leo sijaweka 0 kwenye o 😂
 
Kama kichwa cha khabari Hap0 Juu Kinavosema,Nimeoa Nina mke na mtoto mmoja Ila hii ndoa nahisi Kuanza kuishindwa kwasababu ya GUBU la mke wangu....
pili ivo naoga nalala zangu ila asubuhi kukicha kama hakujatokea kitu jana....Nishampiga makofi ili ku reset akili yake ila wapi,Nishatishia kumpa taraka atalia yataisha cuz nampenda ila kesho ataendelea....sijui pepo,sijui gubu,sijui kanizoea sana...

Nb:wote Sisi ni watu wazima Hakuna mtoto...

Nb: Leo sijaweka 0 kwenye o
Kibonge ni kibonge tu Hata ufanye nini huwezi pungua mume wangu we ni kipipa'''.........kweli nimeamini kibonge ni kibonge hata kwenye maamuzi muhimu.
 
Miezi ikakatika Gym nimeacha tambi likarudi mana nilikuwa nawekewa mafuta kila kona, Wali mafuta,chai mafuta, ugali mafuta, chapati mafuta. Yaani nikafutuka tena ila nikanyamazaa na tambi ....
Unapoandikia watu wazima jambo wakushauri jitahidi akili zako za kitoto uwe unaziweka pembeni.

Wewe na huyo mkeo ni wapumbavu.

Asante.
 
Sasa hiyo picha iko wapi, tukuthaminishee kipipa wa JF.
 
Nilitaka kudai picha ila nikaacha
 
Back
Top Bottom