The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Mateso yanaendelea kwa sisi wana Msimbazi. Mpira unaochezwa na hii Simba U-20 ni kichefuchefu. Benchi la ufundi la timu hii pia liangaliwe. Timu ni Mbovu sana. Haijui kila kitu uwanjani. Wanarukaruka tu.
Salam ziwafikie
Hellow Africa 🌍
Mwili una unaushawishi mkubwa sana ambapo ukishindwa kabisa kuzizibiti mwisho wa siku una aangukia poor
Wanasayansi wanasemaga matendo yetu. Yanategemeana na vitu vitatu ID EG NA SUPER EGO hizi huwa zinavutana sana kila moja inataka ishinde mwili na akili pia zinategemana...
1. Chama
2. Inonga
3. Phiri
4. Sakho
5. Baleke
Wasajiliwe wengine Saba (7) tu Wazuri kama hawa Watano (5) niliowataja hapa ili Kutimia Idadi ya Wachezaji wa Kigeni Kumi na Mbili (12) Wanaotakiwa ili Simba SC irejeshe Hadhi na Heshima yake.
Kwanza tuanze kwa kuzungumza kuhusu sheria za mambo ya bahari. Sheria za kimataifa zinasema kuwa kutoka Pwani ya nchi hadi nautical miles 12(22Km)kuingia baharini(1NM=1.85km). Ni eneo la bahari la nchi husika. Yaani hapo nchi inamiliki kila kitu. Hata meli haziruhusiwi kusafiri bila ruhusa.
Pia...
HUyu mwanamke aliolewa akiwa na mtoto mwenye umri wa miezi 6 na jamaa mkatoriki
Mtoto kafariki akiwa mkubwa,huyo mwanamke anataka mtoto azikwe kwa imani ya kiislamu
Ebu fikiria nyumbani kwako kufanyike ibada ya imani tofauti na yako,wewe baba wa familia utajisikiaje
Jamaa kaamua kwenda polisi...
Wife karudi analalamika kuwa salon aliyokuwepo kuna mwanamke kaongea shit. Na kaongea shit mbele yake pasipo kujua.
Mwaka juzi mwezi May nlimwagizia wife Nissan Dualis baada ya kuwa analalamika kuwa amechoshwa na Harrier tako la Nyani. Hii gari nilimnunulia ni dualis ya mwaka 2010 achana na...
Spika wa Bunge Dr Tulia Mwansasu umetuaibisha na kutushushia heshima wanyakyusa wenzako kwa kitendo chako cha kukubali kutumika na kupitisha mkataba wa kitapeli wa bandari.
Unatufahamu wanyakyusa hatutaki ujinga kwenye mambo ya msingi, umepewa dhamana kubwa ya kuendesha chombo kikubwa katika...
Peace be upon you all sons of Zion.
Baba alipomuoa huyu mwanamke na kua mama yetu wa kambo tangu mwanzo nilijua hana nia njema na sisi, kwa kumuangalia tu macho yake niliona kuna jambo haliko sawa na huyu mwanamama aliyependelea kuvalia mavazi ya gharama ila sauti ya upoleee.
Baba alipofariki...
MAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI
---
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Majaliwa...
Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan
Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu.
Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo?
They are acting like they were in boarding schools for 10...
Nchi ikiwa na mchanganyiko hupendeza sana, ndio maana ukifika Marekani unakutana na kila MMEA WA BINADAMU, yaani unakutana na mtu anatisha balaa, mwingine wa kawaida, mwingine mzuri balaa, halafa anakuja tena mzuriii, ukisema umemaliza unashangaa unakutana na kitu hadi unajiuliza ni cha hapahapa...
Hili basi lilipoanza huduma ya Luxury mara ya kwanza lilikuwa vizuri ila kadri siku zilivyoenda huduma zimegeuka kuwa za hovyo sijui tatizo ni nini, Usimamizi mbovu no customer care at all imagine na hii ni Luxury na imeidhinishwa kama gari la level ya Luxury na wanatambulika LATRA kama Luxury...
Watanzania ni watu wenye hofu na mabadiliko
Ilipokuja mwendokasi walipinga
Tukaja na bwana la Nyerere walipinga
Tukaja na SGR walipinga
Sasa ni zamu ya bandari nayo wanapinga
Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana nchi hii inahitaji kupata maendeleo
Prof Mbarawa na Feleshi mkubali mmekosea...
Hongera kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hasa Rais wetu mpendwa kwa kupokea Wanafunzi wa Udaktari toka nchini Sudan.
Ikumbukwe nchi ya Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyenye. Mungu akawape utulivu, wepesi na waendelee vema na masomo yao katika Chuo cha Kikuu cha tiba...
Mwanaume au mwanamke mwenye Imani za kishirikina au mwanaume/ mwanamke mwenye kujifanya mlokole sana. Mara mia adui unaemfahamu kuliko usiyemfahamu.
Sishangai takwimu za maambukizi ya VVU kupatikana Kwa kiwango kikubwa kwa wanandoa kuliko waseja na mabachela NUKTA
Balozi Polepole anesema Wahuni ni Watu wa hovyo sana
Polepole ambaye kwa sasa ni mwakilishi wa Rais Samia nchini Cuba alikuwa anahojiwa na East Africa Radio
Jumaa kareem!
Ningekuwa Samia hilo la BANDARI kuhojiwa kwa zaidi ya wiki 2 na Watanzania isivyotarajiwa hakika ningeshtuka na kuwa upande wao kwa kuwasikiliza, kujibu hoja zao mimi mwenyewe na ningetafuta namna bora ya kuliweka ili kuondoa SINTOFAHAMU kubwa nchini!
Ukweli ni kwamba Watanzania wamebadirika si...
Habarini nahitaji mtu mmoja aliye karibu na ofisi za Halmashauri ya Sikonge tabora mwaminifu nahitaji anisaidie kuchukua nyaraka pale ofisi ya halmashauri nitagharamia na kumuwezesha tafadhari nichek 0626402722 muhimu sana leo au kesho ikifika tarehe 21/6/2023 zoezi hili litakuwa limefeli asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.