Je, ni muda sahihi wa dunia kuwa pamoja?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,569
Reaction score
89,213
download.jpeg
Duniani ni mahali tunapoishi na pamebeba historia yetu kubwa,maendeleo yetu ktk nyanja zote yamepatikana hapa, upuuzi na uelevu wote tulionao tunautendea hapa!,hapa ni nyumbani.

Binafsi kwangu mimi hivi sasa ni muda muafaka wa dunia kuwa pamoja!,hakuna ambacho hatukijui kuhusiana sisi kwa sisi,tumechunguzana vya kutosha,tumepigana na hata hapa tulipo tunafahamu chungu na chachu ya amani na vita!!
Nini kigeni kwetu..?

Misingi na sheria mama za dunia hii ni zilezile,mahitaji yetu ni yaleyale.Tunachokipigania ni kuishi kwa kupata mahitaji yetu ambayo nayo ni yaleyale! Sote tunahitaji kula,kuvaa,kuishi salama,afya,malazi n.k
Kwa ufahamu tulionao mpaka sasa inajitosheleza kuungana na kufanya dunia kuwa mahali salama zaidi!.

Ni upuuzi mnyama kuwa na nafasi kushinda binadamu!,ambapo nae ni mkazi wa dunia hii. Fikiri umezaliwa umeishi na umekuwa,unafika mahali unaombwa utambulisho ukiwa hauna basi unaonekana muhalifu au kitu kisichofaa mahali husika!!!!
Mpaka leo tunahitaji nini ili tutambulike sisi ni wakazi wa dunia hii..?
Kwa hapa tulipofikia tunahitaji kubadilika na kuwa na utambulisho wa dunia!.
Tabu iliyopo si kuwa dunia haitutambui ila huyu mkazi anaekaa duniani aitwae binadamu ndio anahitajika kututambua!..
Kama dunia inatutambua kwa kutupatia mahitaji yetu yote,kwanini sisi tunapata tabu ya kutambuana..? Huu Ni upuuzi!!
Kwa teknolojia iliyopo inashindikana nini kuwa na vitambulisho vya dunia..?
Nimezaliwa duniani na nimekulia hapa na maisha yangu ni hapa lkn bado unakuta mtu anahalasiwa utafikiri katoka sayari sita huko!!!.

Tunasubiri nini kuwa na dunia moja wakati tunajua ndani nje,nje ndani!
Zipo sheria mama ambazo zikiharibiwa umeharibu dunia,ila bado tunapambana sisi kwa sisi and we call ourselves we are intelligent!!

Dunia iwe dunia ambapo mtu atatumia uwezo wake kiakili na kimwili kufanikiwa.
Kama kutatokea kitu kigeni kiovu nje na dunia yetu,wa kupambana nacho ni binadamu na si ngo'mbe!!

Uwezo wa akili zetu zilipofika na teknolojia hatuhitaji kuwa hivi tulivyo,kwa mwenye akili hivi sasa ni ngumu kufikiri kuwa tunahitaji kupambania udini na ukabila au rangi ni uchizi!
Kila na mwenye chake na ashike chake bila kumdhuru mwengine.

Mpaka hivi sasa tumeshajua mazingira yaliyo karibu na dunia yetu na kimantiki tunaijaza dunia! Ipo sababu ya kuungana na kuutanua uwepo wetu ktk sayari nyengine!, Na hayo ndo maendeleo.. hatuna budi kuifikiria kesho yetu nimeshaandika hakuna ambalo hatulijui.
Kikubwa ni mwanadamu kujitambua nafasi yake ktk dunia na kutenda kile anachotakiwa kutenda.

Nini maoni yako...?
 
What people think makes us, "US" is primitive, no wonder people can't even see the thread after all these hours!

Humans have made a so called "Social order" because they consider themselves unique. But unfortunately that order is so puny, blinding them while creating all these limitations they can't even begin to solve.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1299912
Duniani ni mahali tunapoishi na pamebeba historia yetu kubwa,maendeleo yetu ktk nyanja zote yamepatikana hapa, upuuzi na uelevu wote tulionao tunautendea hapa!,hapa ni nyumbani.

Binafsi kwangu mimi hivi sasa ni muda muafaka wa dunia kuwa pamoja!,hakuna ambacho hatukijui kuhusiana sisi kwa sisi,tumechunguzana vya kutosha,tumepigana na hata hapa tulipo tunafahamu chungu na chachu ya amani na vita!!
Nini kigeni kwetu..?

Misingi na sheria mama za dunia hii ni zilezile,mahitaji yetu ni yaleyale.Tunachokipigania ni kuishi kwa kupata mahitaji yetu ambayo nayo ni yaleyale! Sote tunahitaji kula,kuvaa,kuishi salama,afya,malazi n.k
Kwa ufahamu tulionao mpaka sasa inajitosheleza kuungana na kufanya dunia kuwa mahali salama zaidi!.

Ni upuuzi mnyama kuwa na nafasi kushinda binadamu!,ambapo nae ni mkazi wa dunia hii. Fikiri umezaliwa umeishi na umekuwa,unafika mahali unaombwa utambulisho ukiwa hauna basi unaonekana muhalifu au kitu kisichofaa mahali husika!!!!
Mpaka leo tunahitaji nini ili tutambulike sisi ni wakazi wa dunia hii..?
Kwa hapa tulipofikia tunahitaji kubadilika na kuwa na utambulisho wa dunia!.
Tabu iliyopo si kuwa dunia haitutambui ila huyu mkazi anaekaa duniani aitwae binadamu ndio anahitajika kututambua!..
Kama dunia inatutambua kwa kutupatia mahitaji yetu yote,kwanini sisi tunapata tabu ya kutambuana..? Huu Ni upuuzi!!
Kwa teknolojia iliyopo inashindikana nini kuwa na vitambulisho vya dunia..?
Nimezaliwa duniani na nimekulia hapa na maisha yangu ni hapa lkn bado unakuta mtu anahalasiwa utafikiri katoka sayari sita huko!!!.

Tunasubiri nini kuwa na dunia moja wakati tunajua ndani nje,nje ndani!
Zipo sheria mama ambazo zikiharibiwa umeharibu dunia,ila bado tunapambana sisi kwa sisi and we call ourselves we are intelligent!!

Dunia iwe dunia ambapo mtu atatumia uwezo wake kiakili na kimwili kufanikiwa.
Kama kutatokea kitu kigeni kiovu nje na dunia yetu,wa kupambana nacho ni binadamu na si ngo'mbe!!

Uwezo wa akili zetu zilipofika na teknolojia hatuhitaji kuwa hivi tulivyo,kwa mwenye akili hivi sasa ni ngumu kufikiri kuwa tunahitaji kupambania udini na ukabila au rangi ni uchizi!
Kila na mwenye chake na ashike chake bila kumdhuru mwengine.

Mpaka hivi sasa tumeshajua mazingira yaliyo karibu na dunia yetu na kimantiki tunaijaza dunia! Ipo sababu ya kuungana na kuutanua uwepo wetu ktk sayari nyengine!, Na hayo ndo maendeleo.. hatuna budi kuifikiria kesho yetu nimeshaandika hakuna ambalo hatulijui.
Kikubwa ni mwanadamu kujitambua nafasi yake ktk dunia na kutenda kile anachotakiwa kutenda.

Nini maoni yako...?
Ungewajua waturuki walivo na roho mbaya usingeandika mawazo haya aaaagghh 😬😬😬
 
maswali unisaidie kujibu
mwanadamu anatakiwa kufanya nini....?
unadhani ni kwa nini watu hupigana vita na kuwauwa binadam wenzao....
wewe mwenyewe ulishawahi kwenda inchi ngapi hapa duniani......?
 
Nanukuu "Kama ilivyo ngumu kwa chuma na udongo kuchanganyika ndivyo itakavyokuwa ngumu kwa falme hizo kuungana". Haya ni maneno ya unabii...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu na ashike misimamo yake ya kidini,we kamatia unabii ndugu binafsi nachokiona tunaenda kuwa jumuhiya moja hata kama mwanzoni kukipatikana changamoto ila kuna Mambo mawili ni ama tujiunge wenyewe au adui atuunge namaanisha ipatikane jamii nyengine nje ya dunia hii itakayo leta maangamizi kwa binadamu.
maswali unisaidie kujibu
mwanadamu anatakiwa kufanya nini....?
unadhani ni kwa nini watu hupigana vita na kuwauwa binadam wenzao....
wewe mwenyewe ulishawahi kwenda inchi ngapi hapa duniani......?
Nijuavyo mwanadamu anatakiwa ahakikishe usalama ktk mazingira ya dunia hii pia asambaze uhai pale pasipo na uhai.. sijui nani kamwambia afanye hivyo ila naona ni vyema yeye kufanya hivyo!!
Watu hupigana vita na kuuwa binadamu wenzao kutokana na kutokuwepo kwa maelewano baina yao na mapigano ni Kama sehemu ya kujitetea,kutawala,kuonya,kujinufaisha n.k
Hili la mwisho sitalijibu kwasababu.....
 
mwanadamu huwezi kumwambia kitu kama hicho na kikamkaa akilini nikama kwamba mtu aingie ndani kwako ukiwa haupo pengine kwa kuvunja mlango eti akwambie sisi ni wakazi wa dunia maana ake vyote ni vyetu utamuelewa
hata mgeni akija kwako lazima umuelekeze haijalishi ..........
 
Duh!! Mkuu hebu soma vyema sijamaanisha kitu kama hichi
 
View attachment 1299912
Duniani ni mahali tunapoishi na pamebeba historia yetu kubwa,maendeleo yetu ktk nyanja zote yamepatikana hapa, upuuzi na uelevu wote tulionao tunautendea hapa!,hapa ni nyumbani.

Binafsi kwangu mimi hivi sasa ni muda muafaka wa dunia kuwa pamoja!,hakuna ambacho hatukijui kuhusiana sisi kwa sisi,tumechunguzana vya kutosha,tumepigana na hata hapa tulipo tunafahamu chungu na chachu ya amani na vita!!
Nini kigeni kwetu..?

Misingi na sheria mama za dunia hii ni zilezile,mahitaji yetu ni yaleyale.Tunachokipigania ni kuishi kwa kupata mahitaji yetu ambayo nayo ni yaleyale! Sote tunahitaji kula,kuvaa,kuishi salama,afya,malazi n.k
Kwa ufahamu tulionao mpaka sasa inajitosheleza kuungana na kufanya dunia kuwa mahali salama zaidi!.

Ni upuuzi mnyama kuwa na nafasi kushinda binadamu!,ambapo nae ni mkazi wa dunia hii. Fikiri umezaliwa umeishi na umekuwa,unafika mahali unaombwa utambulisho ukiwa hauna basi unaonekana muhalifu au kitu kisichofaa mahali husika!!!!
Mpaka leo tunahitaji nini ili tutambulike sisi ni wakazi wa dunia hii..?
Kwa hapa tulipofikia tunahitaji kubadilika na kuwa na utambulisho wa dunia!.
Tabu iliyopo si kuwa dunia haitutambui ila huyu mkazi anaekaa duniani aitwae binadamu ndio anahitajika kututambua!..
Kama dunia inatutambua kwa kutupatia mahitaji yetu yote,kwanini sisi tunapata tabu ya kutambuana..? Huu Ni upuuzi!!
Kwa teknolojia iliyopo inashindikana nini kuwa na vitambulisho vya dunia..?
Nimezaliwa duniani na nimekulia hapa na maisha yangu ni hapa lkn bado unakuta mtu anahalasiwa utafikiri katoka sayari sita huko!!!.

Tunasubiri nini kuwa na dunia moja wakati tunajua ndani nje,nje ndani!
Zipo sheria mama ambazo zikiharibiwa umeharibu dunia,ila bado tunapambana sisi kwa sisi and we call ourselves we are intelligent!!

Dunia iwe dunia ambapo mtu atatumia uwezo wake kiakili na kimwili kufanikiwa.
Kama kutatokea kitu kigeni kiovu nje na dunia yetu,wa kupambana nacho ni binadamu na si ngo'mbe!!

Uwezo wa akili zetu zilipofika na teknolojia hatuhitaji kuwa hivi tulivyo,kwa mwenye akili hivi sasa ni ngumu kufikiri kuwa tunahitaji kupambania udini na ukabila au rangi ni uchizi!
Kila na mwenye chake na ashike chake bila kumdhuru mwengine.

Mpaka hivi sasa tumeshajua mazingira yaliyo karibu na dunia yetu na kimantiki tunaijaza dunia! Ipo sababu ya kuungana na kuutanua uwepo wetu ktk sayari nyengine!, Na hayo ndo maendeleo.. hatuna budi kuifikiria kesho yetu nimeshaandika hakuna ambalo hatulijui.
Kikubwa ni mwanadamu kujitambua nafasi yake ktk dunia na kutenda kile anachotakiwa kutenda.

Nini maoni yako...?

Sioni utofauti wa bandiko lako na "The Marxist theory of communism".--- ie utopia theory which is inapplicable on this earth, watu wanayo mitazamo tofauti, watu sio ng'ombe au mbuzi tuwe chini ya uniformity, na ndiyo maana kuna sheria za dini na za kidunia ili kumuongoza mtu na mipaka, pasports nk, ni sehemu ya sheria kumuongoza mtu.
 
Duh!! Mkuu hebu soma vyema sijamaanisha kitu kama hichi

ndo maana nimesema mfano
kwa maada yako unamaanisha kwamba mimi nikitaka kwenda burundi kenya nk niende tu bila kufuta hatua zozote zile yaani kama mtu anatoka kwenye shamba moja kwenda shamba jingine mipaka ya inchi iwepo ila unapotaka kwenda uende tu na kitu kinachoitwa uhamiaji haramu kisiwepo kabisa kwenye maisha kwa kifupi nadhani unamaanisha hivyo MKUU
 
No namaanisha tuwe na vitambulisho vya dunia ambavyo vitakuwa na uhalali ya kukuthibitisha na kukuwezesha kutembea mahali popote kwa kufuata sheria na bila kufanywa Kama haramia isipokuwa kwa wahalifu lzm wapokee wanachostahiri.. Kama ni nchi Tanzania inakuwa ni Kama Jimbo tu kuwe na serikali ya dunia.. mtu kutoka taifa jengine anaweza kuja na kuishi Kama mtu mwengine ila tu azingatie sheria na Kama Kuna mambo ya kiutamaduni yalindwe na kufanywa Kama sehemu ya utalii ama kujifunza n.k namaanisha dunia inakuwa Kama ni nchi moja.
 
Kila mtu na ashike misimamo yake ya kidini,we kamatia unabii ndugu binafsi nachokiona tunaenda kuwa jumuhiya moja hata kama mwanzoni kukipatikana changamoto ila kuna Mambo mawili ni ama tujiunge wenyewe au adui atuunge namaanisha ipatikane jamii nyengine nje ya dunia hii itakayo leta maangamizi kwa binadamu.

Nijuavyo mwanadamu anatakiwa ahakikishe usalama ktk mazingira ya dunia hii pia asambaze uhai pale pasipo na uhai.. sijui nani kamwambia afanye hivyo ila naona ni vyema yeye kufanya hivyo!!
Watu hupigana vita na kuuwa binadamu wenzao kutokana na kutokuwepo kwa maelewano baina yao na mapigano ni Kama sehemu ya kujitetea,kutawala,kuonya,kujinufaisha n.k
Hili la mwisho sitalijibu kwasababu.....
Sawa. Hadi unakufa dunia itazidi ku split rather than kuwa together
Nadhani mwenyewe unaona kama South and North Sudan
The same in Korea...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom