Shule au chuo kipi ni sahihi kwa matokeo haya

Mwahija abour

Member
Dec 14, 2019
5
3
Habar zenu ndugu zangu.

Me naishi na binti yangu, amemaliza kidato cha NNE mwaka 2017. matokeo yake akawa na C1 na D2, ambay ni kiswahili C na eng/islamic, akawa na D mengine yote aliferi, akarudia mwaka jana masom yot kasoro islamic na kiswahili na akapata C ya eng, na mengne akafel tena yote asa anaomba kurudia tena Ila wazo langu kam kuna chuo kinachochukua wastan wa C2 na D1 naomba mnisaidie japo mawazo au ata coz ipi anaweza akasomea
 
Habar zen ndugu zangu.

Mpeleke veta
 
Muulize kwanza yy anachagua wapi na anataka nn? maana shule yy ndio anayeenda unaweza ukamchagulia ww unapopataka mwisho wasiku ukaishia poteza hela zako tu.
 
Write your reply...veta hapo maana sidhan kama anavigezo vya kwenda vyuo vya afya ambavyo ndo bora ngoja tusubiri wajuzi waje
 
Veta ana qualify, vyuo vya NACTE kwa uchahche wanahitaji D4 na karibu mara zote hawahesabu D ya Dini (sijui kwa nini).
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom