Ni sahihi kumrudia ex wako baada ya kuachana?

sabuwanka

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
690
751
Salaam waungwana , napenda tujadili ni halali kumrudia ex wako mlietangana ?na Kila mmoja kwenda na hamsini zake?....lakini kutokana na kumbukumbu ya mlivyovuruga mashuka, katika uhusiano wenu, ni sahihi mkipata nafasi ya ku reverse mfanye hivyo? Karibuni
 
Mzee mbona kinyonge Sana hivo unataka kuja kulia huko

Mkiachana ndio imetoka labda Kama mna lengo LA kuendelea kuvuruga mashuka Ila kwa mahusiano serious hapo kila mtu anakuja mguu pande mguu Sawa

Sasa isije kuwa miguu yote umeizamisha utakuja hapa kusimulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupatwa kwa mwezi si kiama, Mapenzi yakiisha yanabaki mazoea.
Salaam waungwana , napenda tujadili ni halali kumrudia ex wako mlietangana ?na Kila mmoja kwenda na hamsini zake?....lakini kutokana na kumbukumbu ya mlivyovuruga mashuka, katika uhusiano wenu, ni sahihi mkipata nafasi ya ku reverse mfanye hivyo? Karibuni
 
MUHIMU KUHAKIKI 😁😁😁

345175_b9553ce81b9f04b6a4726af5c3e7d5d7.jpeg
 
Nisawa wengi huvunja mahusiano ama ndoa wakiwa nahasira umemfumania mwenzio eti unamwacha mda huohuo kaa utulie ndugu zangu unapokuwa namke ama mke unawezakuona hao wengine watulivu kumbe hamna unamwacha mke ama mke unaanzisha mahusiano mengine unagundua Ana watano ama zaidi unatamani kurudi nyuma unakuta nae anamwingine unaanza vurugu nashauri mkae mzungumze akiomba msamaha mpe nafasi

Sawa
 
Back
Top Bottom