Mjadala: Leseni inapokwisha muda wake ni sahihi dereva kuilipia kisha kupewa mpya bila kupewa mafunzo tena?

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Messages
4,453
Points
2,000

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2016
4,453 2,000
Kuna vitu mtu unashindwa kujua lengo la serikali zetu hizi, dereva anapewa leseni, anaendesha gari kwa miaka fulani kisha inachuja (expire).

Inampasa alipie kiasi fulani kisha apewe kadi (leseni) nyingine. Lengo ni kudhibiti ajali barabarani au kuongeza mapato? Kama lengo ni kuongeza mapato, je serikali haithamini uhai wa watu wake?

Na je, akishikwa barabarani kuhu ana expired license ashitakiwe kwa kwa kosa la kukwepa kodi au kwa kukiuka sheria za usalama barabarani?

But this man has big knowledge about driving. Kama lengo ni kudhibiti ajali barabarani inampaje leseni mtu ambaye hawajui kuwa ile knowledge ya awali aliifungia kabatini au aliitumia barabarani kwa kipindi chote?.

Ushauri: Mtu kabla hajalipia fedha ya Ku renew leseni yake afanyiwe test ya dk chache.
 
Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Messages
4,453
Points
2,000

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2016
4,453 2,000
Kwa hiyo unafananisha udereva sawa na betri kwamba unapoendesha chombo husika ujuzi unapungua kwa hivyo inabidi ku-- recharge siyo, mi nafikiri ujuzi unaongezeka siyo kupungua
Akishikwa barabarani huku mfukoni ana expired license atapatikana na aina gani ya makosa?.
Ukipata jibu hapa, ndipo utagundua msingi wa mada yangu?
 
BabuMwerevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2017
Messages
545
Points
1,000

BabuMwerevu

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2017
545 1,000
Akishikwa barabarani huku mfukoni ana expired license atapatikana na aina gani ya makosa?.
Ukipata jibu hapa, ndipo utagundua msingi wa mada yangu?
Atapatikana na kosa la kuendesha chombo husika bila kuwa na leseni hai,kumbuka leseni ni kibali tuu cha kukurusu kuendesha chombo husika ndio maana kinakuwa na muda maalum kama leseni ya biashara,Leseni ya Uhandisi,Udaktari nk na wala siyo kipimo cha ujuzi,kipimo cha ujuzi wa Udereva ni Cheti cha Driving School na Competency
 
Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
19,565
Points
2,000

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
19,565 2,000
Iwapo Umelipa Pesa Na Mamlaka Ndiyo Imeshindwa Kukupatia Leseni Mpya Kwa Wakati, Hapo Tatizo Ni Serikali
Darasani Unapotakiwa Kurudi Upya Huna Jipya Zaidi Isipokuwa Ni Kozi Tunasema Refresher
 
andoza

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Messages
421
Points
1,000

andoza

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2018
421 1,000
Kuna vitu mtu unashindwa kujua lengo la serikali zetu hizi, dereva anapewa leseni, anaendesha gari kwa miaka fulani kisha inachuja (expire).

Inampasa alipie kiasi fulani kisha apewe kadi (leseni) nyingine. Lengo ni kudhibiti ajali barabarani au kuongeza mapato? Kama lengo ni kuongeza mapato, je serikali haithamini uhai wa watu wake?

Na je, akishikwa barabarani kuhu ana expired license ashitakiwe kwa kwa kosa la kukwepa kodi au kwa kukiuka sheria za usalama barabarani?

But this man has big knowledge about driving. Kama lengo ni kudhibiti ajali barabarani inampaje leseni mtu ambaye hawajui kuwa ile knowledge ya awali aliifungia kabatini au aliitumia barabarani kwa kipindi chote?.

Ushauri: Mtu kabla hajalipia fedha ya Ku renew leseni yake afanyiwe test ya dk chache.
Leseni ya udereva ni ruhusa kwa dereva kutumia chumba cha moto,sio uthibitisho kwamba amehudhuria mafunzo ya udereva.Uthibitisho huo unapatikana chuoni tu.Udereva wa gari au pikipiki sio lazima ujifunzie chuoni unaweza kujifunzi nyumbani kwako au hata mtaani ukaenda kuomba leseni ya learner kisha ukafanyiwa ukaguzi na jeshi la polisi na kisha unapewa leseni yako ya kwanza.Baada ya hapo uatahitaji ukaguzi iwapo unataka kubadili daraja kwani kila daraja lina aina ya mafunzo.Baadhi ya madaraja ni lazima uwe na cheti mfano leseni yakuendesha magari ya abiria ni lazima uwe na cheti cha mafunzo kutoka chuo kinachotambulika kabla ya kupewa gari na hilo daraja husika.Hivyo basi leseni ni ruhusa ya kuingia barabarani na chombo cha moto.
 
Joined
Aug 18, 2018
Messages
31
Points
95
Joined Aug 18, 2018
31 95

Hiyo leseni ya learner bila risiti ya chuo cha udereva huipati, labda uwe na mtu anayekufahamu TRA.
 
Forum statistics

Threads 1,392,710
Members 528,684
Posts 34,115,735
Top