Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.
Baada ya mapema leo polisi kuzuia msafara wa Tundu Lissu eneo la Kiluvya, hatimae wameondoka na kuacha uendelee na safari na Lissu amesema ataendelea na safari yake kama ilivyopangwa na atakutana na wanachama usiku huu. Baada ya polisi kuondoka, Lissu ameongea yafuatayo.
LISSU: Nasikia hata...
HALIMA MDEE, FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO UMEPELEKA WAPI?
Bunge la JMT limetunga Sheria iliyoanzisha na kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo kwa lengo la kurahisisha na kumsaidia Mbunge wa kuchaguliwa Jimboni kupata fedha hizo kwa lengo la kurahisisha kutatua changamoto mbali mbali za Maendeleo...
Baregu na Safari mlikuwa maprofesa wawili muliojiweka wazi kuisaidia CHADEMA. Ni muda sasa siwasikii kabisa! CHADEMA iliwakataa au mliishindwa wenyewe? Nawatafuta kwa sababu njema maana ninaposikia na niliposoma ilani ya chama hiki, inasikitisha. Ni ilani isiyo na mikakati lakini inataja...
Wana JamiiForums. Leo nmeondoka Dar asubuhi saa 12:00 nikitoka home Tabata Segerea. Nipo peke yangu gari ninayotumia ni Harrier Old Model CC 3000 Six Cylinder.
So far gari inafunguka vizuri sana na ni nzito inatulia barabarani muda huu nimepita Bwawani.
Nimeendesha kwa mwendo wa Chama na...
Kumbe Uongozi Raha sana na Ukishauonja tu utaupenda uendelee nao.
Nakumbuka kuna Kiongozi Mmoja miaka Mitano iliyopita "Alisukumiziwa" kugombea sasa amenogewa Safari hakusubiria "Kusumiziwa tena" anaomba mwenyewe.
Mgombea wa CCM John Magufuli amenukuliwa siku za hivi karibuni kwenye kampeni zake kuwa alipoapishwa kuwa Rais wa Tano wa Tanzania moja ya mambo aliyoyafanya ni kutotoka nje ya nchi na hasa kutokwenda nchi za Ulaya na Marekani.
Sababu za kutokwenda Ulaya na Marekani ni kuwa yeye ni mzalendo na...
Ndege za Tanzania zimeshindwa safari za Kenya/Tanzania baada ya kukosa abiria wa kutosha, uwanja wameachiwa wote maana hamna ndege za KQ zinazoruka hiyo ruti, dunia hii ukiendeshwa na chuki utaishia kuteseka mwenyewe badala ya wahanga wa chuki zako.
=====
The Tanzania-based Air Precision has...
MY TAKE: Lazima baba wa familia ya EA ajulikane na heshima iwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
____________
Shirika la Ndege la Precision Air limetangaza kusitisha kurejeshwa kwa safari zake za Nairobi nchini Kenya kutokana na uhitaji mdogo. Taarifa iliyotolewa na Shirika hilo imesema...
Mgombea urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amefurahishwa sana na uteuzi wa wagombea Ubunge wa CCM na kuwapa pole wote waliokatwa kwa sababu walikuwa karibu naye.
Membe amewakaribisha wale waliokatwa kujiunga na ACT-Wazalendo ili safari iendelee.
Ameandika katika akaunti yake ya...
Andrew Chenge alizaliwa Tanganyika Tarehe/Mwezi/Mwaka 24/12/1947 . Kwasasa ana miaka 73. Andrew Chenge ni Mbunge wa Bariadi taangu 2005.
KAZI NA TEUZI MBALIMBALI
2005-Sasa -mbunge Bariadi magharibi na Mwenyekiti wa Bunge
2006-2008 Aliteuliwa kuwa waziri wa Miundombinu alijiuzulu mwaka 2008 kwa...
Habari zenu,
Nipo nimecheck hapa trela la Mulan toka kwa Mtayarishaji na Muongozaji Walt Disney ila sijaona movie nyenyewe kabisa lakini trela Naona kabisa kuna kitu kimemiss mule Disney hajaweka sijajua kama nikiangalia Movie nyenyewe nzima labda nitakiona, na kitu chenyewe ni hiki ni yule...
Nitabakia CCM ila mwaka huu naamua kufanya maamuzi magumu. Kura yangu nitaipeleka kwa mtu mwengine, mbunge mwengine, simupi mugombea yeyote wa CCM, yaani ni maamuzi ambayo ninataka kuona kama tukishindwa itakuwaje, hao watakao shika uongozi watatufanyia nini, kama ni moto au pepo.
Nione...
Waziri wa ujenzi mh Kamwele amewaondoa madarakani mameneja wa Tanroads wa mikoa ya Lindi na Pwani kufuatia kushindwa kuifanyia matengenezo barabara ya Dar hadi Mtwara.
Maamuzi hayo ya mh Kamwelwe yanafuatia maagizo yaliyotolewa jana na Rais Magufuli ya kutaka hatua zichukuliwe kutikana na ubovu...
Kila ifikapo sikukuu ya Eid, iwe Eid ya kuchinja (Udhu-hiya) au Eid ya baada ya Ramadhani (Eidil - Fitir). BAKWATA hualika viongozi wa Serikali kuja kwenye baraza la Eid, cha ajabu zaidi sio kwa kiongozi mualikwa wala Mashekhe mada kubwa huwa ni kuzungumzia AMANI.
Sasa najiuliza waisilamu ndio...
Rais JPM anajitahidi kufufua shirika letu la ndege lakini namna linavyojiendesha ni tatizo. Tusipopiga kelele litakufa tena na juhudi za kulifufua zitakuwa zimehujumiwa.
Muhula wa masomo China umemalizika. Wanafunzi waliohitimu wanarudi makwao. Nchi nyingi zinachukua wanafunzi wake kwa ndege...
Kutokana na kupanda kwa nauli za ndege kulikotokana na janga la Corona, ubalozi wa Tanzania nchini China kwa kushirikiana na Shirikisho la Watanzania waishio nchini humo (TASAFIC) wamefanikiwa kuandaa usafiri kwa wanafunzi na Watanzania wengine waliokuwa China kupitia Shirika la Ndege la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.