safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Nini kimewarejeshea Profesa Baregu na Safari imani dhidi ya CHADEMA?

    Profesa Baregu na Safari walipotea hewani kwa muda Sasa lakini ghafla baada ya Chadema kuwatimua Wabunge 19 wasomi Hawa wanaonekana kupata nguvu nakuanza kuonyesha imani kubwa kwa Chadema. Si Hawa tu Bali wasomi wengi wamejitokeza kwenye mitandao kuishabikia Chadema, Je, hii ni ishara kwamba...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa safari hii hawana safari zakushtukiza maeneo yao ya kazi?

    2015 muda Kama huu Kigwangala alikuwa tayari ameshasimama getini kushughulika na watoro na wachelewaji maofisini. Dakika Kama hizi tayari watu wameshafungasha virago kwa fitina za mkuu wa mkoa wa Dar. Dakika hizi viongozi waandamizi washautwa mafisadi wanapambana na maelezo polisi na takukuru...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Prof. Safari: Kuna haja ya kufungua kesi kuhoji uhalali wa Wabunge 19 wa Viti Maalum CHADEMA

    Wakili wa kujitegemea, Profesa Abdallah Safari ameishauri CHADEMA kwenda mahakamani kuomba tafsiri ya uhalali wa ubunge wa makada 19 wa chama hicho walioadhibiwa baada ya kwenda kuapa kuwa wabunge wa viti maalum na kutotokea mbele ya Kamati Kuu kujieleza. Wanachama hao, ambao ni pamoja na...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity: Safari – Tour Operator General Manager

    First Class Africa (FCA) is the premier provider of African experience. At First Class Africa, we are a vibrant team who imagine and do things differently. We have re-imagined the African tourism and hospitality delivery model and are now seeking a highly regarded hands on General Manager to...
  5. Surya

    JamiiForums Tanzania Safari ya mahusiano (mapenzi)

    Nisizunguke sana, acha niende kwenye mada.. Hii story niya kweli kumuhusu binti mmoja nilie mtongoza. Kawaida yangu huwa story zangu niza back story nani mambo ya kweli. Napenda sana drama ndio maana huwa nakua na msukumo sana wa kuja kuandika hapa JF. Matukio yalikua hivi.. kuna kipindi...
  6. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TANGAZO: Ongezeko la Safari za Treni Dar es Salaam - Arusha kuanzia Desemba 2, 2020

  7. B

    JamiiForums Tanzania Bila kuamka na kukataa ghiliba hizi tungali na safari ndefu

    Mabibi na mabwana haihitaji elimu ya kiwango cha PhD kutambua sakata la Wabunge wa Viti Maalum limegubikwa na jinai ya wazi. Haihitaji elimu kama hiyo kutambua kuwa ni nani aliye nyuma ya jinai hii. Kwamba tume haina mifumo yoyote ya kujiridhisha na uhalali wa mawasiliano yake rasmi na vyama...
  8. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KCB inapanga kununua Benki moja Tanzania na nyingine Rwanda

    Kenya ndio baba la Afrika Mashariki na Kati. Equity bank imenunua benki mbili DR congo. KCB ipo South Sudan na Ethiopia. KCB ipo Uganda na Tanzania. I&M inapanga kununua benki Uganda. Sasa KCB inapanga kununua benki Rwanda na Tanzania. Hakuna nchi hapa Afrika Mashariki ambayo hatujanunua benki...
  9. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KQ imeanza safari ya kusafirisha cargo kutoka Mombasa hadi UAE

    Wakati jirani zetu wanaomba KQ ikufe, KQ inazidi kutafua biashara mpya kila siku. Mtangoja sana. Kenya Airways begins direct cargo flights from Mombasa to UAE By Citizen Reporter For Citizen Digital Published on: November 26, 2020 12:20 (EAT) The official launch of the Kenya Airways maiden...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kwenye demokrasia tanzania tuna safari ndefu sana!

    Mwalimu wangu wa Sayansi ya Siasa na Utawala Prof .Horace Camble alikuwa anatumbia kuwa ili DEMOKRASIA imee Ni lazima kuwe na Civic competence' yaani misingi ya DEMOKRASIA inafaa tu pale ambapo wa raia wa jamii huisika wanjitambua! Kinachoendelea hapa nchini kinashihirisha hhaya! Ukweli Ni...
  11. Mbasembase1970

    JamiiForums Tanzania On safari in Tanzania, the country that tackled Covid with lemon, ginger and prayer

    By Sarah Marshall 20 November 2020 'I witnessed scenes I’d long forgotten: crowded market stalls; bars spilling with noisy revellers; friends greeting each other with hugs' Early in the pandemic, President John Magufuli made the controversial decision to ignore lockdowns, leading the country...
  12. Heisenberg

    JamiiForums Tanzania Story: Safari ya kutafuta mali za Mjerumani katika msitu wa Nyumbanitu - Njombe

    DISCLAIMER: Nianze kwa kusema hii story sio ya kwangu, ni ya member Mbwichichi ambae amesimulia hii story ndani ya story 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/tukio-la-kusisimua-nililolishuhudia-kwa-macho-yangu-katika-msitu-wa-nairoto.1808580/ Hivyo nimeona nisaidie kuweka hapa iwe...
  13. Nyandajr10

    JamiiForums Tanzania Hanspope amezidi kutuonyesha safari ndefu tuliyonayo

    Na Brayan Nyanda Baada ya mechi ya watani wa jadi iliyochezwa jana kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa na kumalizika kwa sare ya goli 1-1 Aliibuka mmoja wa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi ya simba na mwenyekit wa zamani wa kamati ya usajili Simba Zachariah Hanspope na kuwatuhumu baadhi ya wachezaji...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kurejea Bara ni leo. Asante Wazanzibar kwa ukarimu wenu hakika nyie ni watu wa Iman

    Ugeni wangu wa Zanzibar ulifana sana! Nimeshuhudia mengi na kujifunza mengi sana; Nimejifunza wazanzibari wengi wanaishi kijamaa sana! Wazanzibari Wana utaratibu wa kufuatilia wageni kimyakimya kwa kila mgeni anaeonekana mtaani ili kujiridhisha alipofikia na kujua ni mgeni wa nani; Hivyo ni...
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Shirika la Ndege la ATCL laanza safari zake za ndege kwenda Entebbe, Harare na Lusaka

    Baada ya nchi za Zimbabwe, Uganda na Zambia kufungua anga zao zilizofungwa sababu ya Corona Shirika la Ndege la ATCL laanza safari zake za ndege kwenda Entebbe, Harare na Lusaka Karibuni tupae na Ndege alizotununulia Dkt. Magufuli
  16. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

    “Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe. “Miaka...
  17. I

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ule mtaji wa 'vijana hawapigi kura' safari hii haupo

    CCM wamekuwa wakitumia kasoro ndogondogo miongoni mwa wapiga kura kama mtaji wa kisiasa. Kwa miaka na chaguzi kadha, imekuwa ikiaminika kuwa vyama vya upinzani vinapendwa na kujaza vijana katika mikutano yao lakini vijana hawa hawapigi kura pale muda wa kufanya hivyo unapowadia. Dhana hii...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Meli mpya kwa ajili ya Ukerewe yakamilika kama ilani ya CCM ilivyotaka, imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Octoba 2020

    CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE kupata ajali. Leo imekamilika kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300. Tatizo la usafiri Ukerewe kuwa historia. Kama ilani ya...
  19. MwanaSiasa Mkongwe

    JamiiForums Tanzania Safari ya Sudani Kusini

    Safari Yangu Nchini Sudani Kusini ------------------------ Nchini Sudan Kusini, Mifugo Ni Mingi Kuliko Wanandamu. ------------------------ Nchi ya Sudani Kusini ni moja ya nchi inayopatikana hapa barani Afrika. Ukiwa hapa barani Afrika nchi ya Sudan Kusini inapatikana upande wa Afrika...
Back
Top Bottom