Safari yangu Dar - Kahama nayokumbana nayo

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,317
11,411
Wana JamiiForums. Leo nmeondoka Dar asubuhi saa 12:00 nikitoka home Tabata Segerea. Nipo peke yangu gari ninayotumia ni Harrier Old Model CC 3000 Six Cylinder.

So far gari inafunguka vizuri sana na ni nzito inatulia barabarani muda huu nimepita Bwawani.

Nimeendesha kwa mwendo wa Chama na Serikali lakini umenishinda kabisa.wa sehemu nyingine eti unapiga 50 mara sijui hakuna ku over take wale wanaondesha mwendo wa 2G au 3G. Mwendo wa kinyonga.

Kiukweli nimeshindwa hasa baada ya kuna haya ma VX yananipangua tu eti sababu yana namba za Serikali. Nimeona inawezekana mimi nisifike basi nami nmeanza kuyaungia tela tunaenda sambamba bampa to bampa.

Mpaka sasa sijapata bahati ya kukamatwa na traffic ila kuna mmoja alijaribu Chalinze mi nikanyoosha tu mguu huku nimewasha full na hazard.

Nanyoosha mguu mpaka 170 lengo ni kumaliza kile kimzunguko maana hizi gari tunakaa nazo sana Dar mpaka unaweza jikuta kile kigauge cha kusomea speed kinapata kutu maana kinaishia 100 mpaka 120 kwa safari za Dar.

Nitawapa feedback nikifika Morogoro. Kama kuna mtoto mzuri Morogoro anambie angalau nisuuze macho.

Naendelea na safari ila niseme kuendesha gari kwa mwendo elekezi ni ngumu sana.

UPDATES CHINI

Nimefika kahama 05:45
 
Morogoro - Dom uwe mwangalifu aisee, kile kipande sio cha kunyoosha goti kihivyo
 
Mkuu nami jana nikitoka msibani Kilimanjaro nikiwa na LAV 4 jamaa akaniambia tangulia, kweli nilifanya hivyo na kati ya Moshi na njia panda nilisimamishwa na traffic sehemu tatu bila sababu ya maana na kitu hicho kiliendelea mpaka na fika usawa wa Makuyuni ndipo jamaa yangu akanipita kwa speed yao pendwa ya VX na akaniambia nimfuate nyuma

Nashukuru nilitembea mwendo wake mpaka nilipofika Dar na kila niliposimamishwa na traffic niliwajibu tupo safari moja na lile VX mbele yangu na sikupata mkeka wala jamvi njia nzima kisa VX namba za kiraia tu sio lazima ziwe STL au STK
 
'SPEED KILLS,KILL YOUR SPEED.'
JamiiForums155948234.jpg
JamiiForums1395835561.jpg
 
Kuna haja ya kununua V8 haya magari yana heshima yake njiani. Nataka nitafute bendera ya chama au sticker nizibandike

Mkuu nami jana nikitoka msibani Kilimanjaro nikiwa na LAV 4 jamaa akaniambia tangulia, kweli nilifanya hivyo na kati ya Moshi na njia panda nilisimamishwa na traffic sehemu tatu bila sababu ya maana na kitu hicho kiliendelea mpaka na fika usawa wa Makuyuni ndipo jamaa yangu akanipita kwa speed yao pendwa ya VX na akaniambia nimfuate nyuma

Nashukuru nilitembea mwendo wake mpaka nilipofika Dar na kila niliposimamishwa na traffic niliwajibu tupo safari moja na lile VX mbele yangu na sikupata mkeka wala jamvi njia nzima kisa VX namba za kiraia tu sio lazima ziwe STL au STK
 
Mkuu nami jana nikitoka msibani Kilimanjaro nikiwa na LAV 4 jamaa akaniambia tangulia, kweli nilifanya hivyo na kati ya Moshi na njia panda nilisimamishwa na traffic sehemu tatu bila sababu ya maana na kitu hicho kiliendelea mpaka na fika usawa wa Makuyuni ndipo jamaa yangu akanipita kwa speed yao pendwa ya VX na akaniambia nimfuate nyuma

Nashukuru nilitembea mwendo wake mpaka nilipofika Dar na kila niliposimamishwa na traffic niliwajibu tupo safari moja na lile VX mbele yangu na sikupata mkeka wala jamvi njia nzima kisa VX namba za kiraia tu sio lazima ziwe STL au STK
LAV 4?? Huna cha miguu minne kaa utulie tu.
 
Wana JamiiForums. Leo nmeondoka Dar asubuhi saa 12:00 nikitoka home Tabata Segerea. Nipo peke yangu gari ninayotumia ni Harrier Old Model CC 3000 Six Cylinder.

So far gari inafunguka vizuri sana na ni nzito inatulia barabarani muda huu nimepita Bwawani.

Nimeendesha kwa mwendo wa Chama na Serikali lakini umenishinda kabisa.wa sehemu nyingine eti unapiga 50 mara sijui hakuna ku over take wale wanaondesha mwendo wa 2G au 3G. Mwendo wa kinyonga.

Kiukweli nimeshindwa hasa baada ya kuna haya ma VX yananipangua tu eti sababu yana namba za Serikali. Nimeona inawezekana mimi nisifike basi nami nmeanza kuyaungia tela tunaenda sambamba bampa to bampa.

Mpaka sasa sijapata bahati ya kukamatwa na traffic ila kuna mmoja alijaribu Chalinze mi nikanyoosha tu mguu huku nimewasha full na hazard.

Nanyoosha mguu mpaka 170 lengo ni kumaliza kile kimzunguko maana hizi gari tunakaa nazo sana Dar mpaka unaweza jikuta kile kigauge cha kusomea speed kinapata kutu maana kinaishia 100 mpaka 120 kwa safari za Dar.

Nitawapa feedback nikifika Morogoro. Kama kuna mtoto mzuri Morogoro anambie angalau nisuuze macho.

Naendelea na safari ila niseme kuendesha gari kwa mwendo elekezi ni ngumu sana.

UPDATES CHINI
Umeweza kuandika huku unaendesha mkuu
 
Back
Top Bottom