safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya anatuonya, safari ya pili inaanza na bundi

    Mshana Jr tunaomba utaalamu wako hapa.
  2. The Transporter

    JamiiForums Tanzania Nilisafiri kwa pikipiki Dar mpaka Tabora

    Nakumbuka mwaka 2015 Mwezi 9 baada ya kujichanga changa kidogo nikawa nimesave pesa kiasi nikasema hizi hizi Boxer BM 150 wakati huo ndio zimeanza kushika kasi nikaenda niaenda kuinunua pale mitaa ya Tazara. Kwa mjini hapa matumizi yake nilikiwa naogopa kidogo maana wakati huo kulikuwa na...
  3. Sunbae

    JamiiForums Tanzania Muulize swali Banana Zoro akiwa LIVE kwenye Safari Lager Kizibo Pesa Challenge

    Msanii mkali wa miondoko ya RnB nchini, Banana Zoro anaongea na Babuu wa Kitaa muda huu kupitia Safari Lager Kizibo Challenge. Mfuatilie hapa.
  4. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Marekani inataka kujiondoa kuwa Mwanachama kuficha idadi ya wagonjwa wa Corona na vifo kusitisha mchango wake WHO ni mwanzo wa Safari

    Kwa mnaofuatilia siasa za Marekani huwa hayuko tayari. Kukubali kushindwa anapopata aibu hutafuta wa kumsingizia ili yy aendelee kuilinda heshima take kwa propaganda Mmarekani amesema atafikia kilele cha maambukizi wiki hii huku akijua wazi mdudu huyu haonekani na hatabiriki kwa hiyo mmarekanii...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Anga la Tanzania lafungwa kwa safari zote za abiria za kimataifa

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga imefuta safari zote za ndege za abiria za kimataifa tangu jana. Ndege za mizigo tu ndio zitaruhusiwa kuingia kwa masharti kuwa wafanyakazi wa ndege hizo watawekwa quarantine kwa gharama zao. At last, wanasiasa wamesikiliza ushauri wetu juu ya Corona pandemic.
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Safari ya Mwisho ya Mwanahabari Nguli wa Siasa, Marin Hassan Marine, Alianzisha Jambo TZ na Ameacha Alama ya TBC Aridhio

    Wanabodi, Wale wenye nafasi, unganeni nami kupitia TBC Live kuangazia Safari ya Mwisho ya Mwanahabari Nguli wa Siasa nchini Tanzania, Mtangazaji wa TBC, Marin Hassan Marine, aliyefariki jana asubuhi kwenye hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam. Marin Hassan Marine ndiye aliyeanzisha...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ameponzwa na safari za dada kuiweka ndoa yake sawa ameolewa na mganga wa kienyeji

    Yametokea huku kwetu Nanjilinji. Salome alitolewa posa na kijana kutoka DSM. Tulifahamishwa mchumba wa Salome wakati tunashonewa sare za wasindikizaji harusi. Baada yaharusi Salome alindoka kwenda DSMna mume wake. Haikuchukua muda alimtumia nauli mdogo wake Esther amfuate huko DSM. Baada ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya corona kushika kasi na kuathiri ujio wa ndege kutoa nje ya nchi,mashirika ya ndege yanayoendelea na safari za humu nchini hayajaathirika?

    Habari wakuu, Katika hali ya kawaida,ni wazi kuna uhusiano wa kibiashara kati ya ndege zinazotoka nje na zile zinazofanya safari zake za humu nchini. Kwa mfano,abiria wakitua hapa nchini kupitia JNIA wakitokea nje ya nchi,baaadhi yao watatumia ndege zinazofanya safari za humu nchini kuelekea...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kuanzia tarehe 28/3/2020 hakuna ndege itakayotua Dar kwa sababu mashirika mengi ya ndege yamesimamisha safari

    Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amesema kuanzia tarehe 28/3/2020 hakuna ndege itakayotua katika uwanja wa ndege wa JNIA kwa kuwa mashirika ya ndege ya kimataifa yamesimamisha safari. Makonda ameyataja mashiirika hayo kuwa ni pamoja na KLM, Emirates , SAA , KQ, Ethiopian Airlines na Qatar...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yawataka watalii waliopanga kuja nchini kuahirisha safari hadi hapo Corona itakapodhibitiwa

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh Kanyasu amewataka watalii waliopanga kutembelea Tanzania kuahirisha safari zao hadi pale ugonjwa wa Corona utakapokuwa umedhibitiwa. Mh Kanyasu amewataka watalii hao kutofuta safari zao bali waahirishe kupisha hili janga linaloisumbua Dunia kwa sasa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yasimamisha safari za ndege za Kimataifa

    Serikali ya mapinduzi Zanzibar imesimamisha safari zote za ndege kutoka nje ya nchi zikiwemo zinazoleta watalii. Serikali imechukua uamuzi wa kuzuia ndege za watalii ili kulinda maisha ya watu wake japokuwa uamuzi huo una athari kubwa kiuchumi. Waziri wa utalii mh Kombo amesema wageni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kuzuia CORONA Tanzania Ni kuzuia watu kuingia na kutoka nchini

    Ethiopia waligoma kuzuia safari China, Kuna cases 104 mwafrica 1 amekufa, Congo pia. Marekani wameshazuia, sisi haya mambo ya urafiki tuacheni, naiomba serikali nipo chini ya miguu yake wazuie safari zote, huu ugonjwa Ni mbaya. Corona ikija kutuua au kuua ndugu zetu CCM haitapona, nasema...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Corona: Zanzibar yasitisha safari zote za ndege kutoka Italy

    Serikali ya mapinduzi Zanzibar imesitisha safari zote za ndege kutoka Zanzibar na sherehe zote zinazohusisha wageni kutoka nje. Waziri wa Afya Zanzibar Mh. Hamad Rashid amesema wamechukua hatua hizo ili kukabiliana na hatari ya Corona iliyoko huko duniani. Source Star tv!
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Shirika la Ethiopian Airlines lagoma kusitisha safari za China. Lasema kuitenga China sio suluhisho

    Kwa mara nyingine tena shirika la ndege la Ethiopia limekataa kusitisha safari zake za ndege kwenda nchini China, licha ya kuwepo kwa shinkizo la kulitaka kufanya hivyo kutokana na mlipuko wa virusi vya corona. Mkurugenzi wa shirika hilo Tewolde Gebremariam amesema kuwa, kusitisha safari za...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini. Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao. Hii hali...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Safari zote za Hijja zapigwa marufuku kwa muda Saudi Arabia

    Serikali ya Saudi Arabia imezuia wageni wote wanaoingia nchini humo kwa safari za kidini, ikiwemo wanaotembelea miji mitakatifu katika dini ya Kiislamu - Makka na Madina. Mamilioni ya watu huingia Saudia mwaka mzima kufanya ibada ya Umra, na wengi zaidi huingia kwa pamoja kufanya ibada ya Hija...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Vikunai - Stesheni na Temeke - Vikunai kukatisha safari

    Mimi / sisi m /wakaazi wa eneo la VIKUNAI, MANISPAA YA TEMEKE, jirani na mradi wa NSSF KIJICHI, kwa mujibu wa taratibu za usafiri na usafirishaji, tunazo gari za RUTI tofauti kuna za TEMEKE - VIKUNAI kupitia KIJICHI na zingine ni za VIKUNAI - STESHENI kupitia Mbagala Zakhiem. Naanza na hizi za...
  18. othiambo

    JamiiForums Tanzania Hivi vitambulisho vya Askari/ Wanajeshi vina kazi gani kwa raia?

    Hali zenu waungwana. Hili swali huwa najiuliza sana na sipati majibu, hivi hawa watu vitambulisho hivi vimekua ndio kimbilio na nguzo ya utemi kwa wananchi? Sababu ya swali langu ni jana kipindi narudi nyumbani kufika kituoni magari hakuna; ghafla ikaja daladala ikitangaza nauli 500 katikati...
  19. budebajr

    JamiiForums Tanzania Uwakala wa soko la utalii na usafiri wa ndege (Travel & tours)

    Tujuzane machache soko la utalii tunalionaje, kuanzia miaka ya nyuma na hivi sasa hususani ukuaji, maeneo yanayokua, changamoto, muamko wa wazawa (Watanzania) na hata ongezeko la watalii kutoka nje ya nchi.
  20. Mla Bata

    JamiiForums Tanzania Kuanzishwa kwa Jukwaa la Safari

    Wasalam, Kumekuwa na wimbi kubwa la wadau hapa JF kutaka kujua taarifa mbalimbali za jinsi watakavyoweza kutoka nje ya mipaka ya nchi hii aidha afrika ama nje ya bara hili, Wapo wenye lengo la kutoka kimasomo, kutafuta kazi, kuzamia n.k. Wadau mbalimbali wamekuwa wakija na nyuzi mbali mbali...
Back
Top Bottom