The rise and fall of Andrew Chenge: Safari yake ya kisiasa ilivyohitimishwa

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
4CDBB391-DDCF-4086-BE49-C20DFF3D2BB7.jpeg

Andrew Chenge alizaliwa Tanganyika Tarehe/Mwezi/Mwaka 24/12/1947 . Kwasasa ana miaka 73. Andrew Chenge ni Mbunge wa Bariadi taangu 2005.

KAZI NA TEUZI MBALIMBALI
2005-Sasa
-mbunge Bariadi magharibi na Mwenyekiti wa Bunge

2006-2008 Aliteuliwa kuwa waziri wa Miundombinu alijiuzulu mwaka 2008 kwa kashifa ya kumiliki account Nje ya Nchi iliyokua na Kiasi cha $1,000,000 ambazo ni sawa na sh. 1billion kwa kwa wakati huo ambazo zilihusiana na kashifa ya Rada. Baadaye TAKUKURU wakachunguza na Kuja na jibu kuwa Chenge hausiki.

January 6, 2006 - October 2006
Aliteuliwa kuwa waziri wa Ushirikiano wa Africa Mashariki

2005 alichaguliwa na Wananchi wa Bariadi kuwa Mbunge

1993-1995 Rais Ali Hasan mwinyi alimteua kuwa mwanasheria mkuu wa serikali (AG)

1995-2005 Rais Benjamin Mkapa alimteua Andrew Chenge kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali wadhifa aliodumu nao kwa miaka mingine 10.

2009 - Chenge akiendesha gari Jijini Dar es Salaam alimgonga mkazi wa Dar es Salaam na Kumsababishia Kifo ambapo alipigwa fine ya Sh. 700,000/= kama adhabu.

Mwaka 2015 Wananchi wa Bariadi walimchagua tena Chenge.

2017- Andrew Chenge Pamoja na Sospeter Muhongo waliwekewa pingamizi la kutosafiri nje ya nchi bila kibali.

Andrew Chenge hadi safari yake ya Kisiasa inahitimishwa leo amekua akiandamwa na kashfa za Upiga dili kwa muda mrefu sana na ni moja kati ya watu ambao walitufikisha hapa tulipo kabla ya kuokolewa na Rais Magufuli, Ilikua iko wazi asingeweza kupenya Muhula mwingine tena.

ELIMU YAKE:
LLB (UDSM)
LLM (Harvard University)
 
Am sorry. Hivi kuna kastory kanahusu mtu na kundi lake kuchota hela benki then kuchoma benki moto ili kufuta ushahidi. Vipi hausiki huyu mzee?
 
Back
Top Bottom