Mbona Naona safari hii kama Disney kakwama flani hivi

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Habari zenu,

Nipo nimecheck hapa trela la Mulan toka kwa Mtayarishaji na Muongozaji Walt Disney ila sijaona movie nyenyewe kabisa lakini trela Naona kabisa kuna kitu kimemiss mule Disney hajaweka sijajua kama nikiangalia Movie nyenyewe nzima labda nitakiona, na kitu chenyewe ni hiki ni yule Dragon mdogo mwekundu mwenye maneno mengi sana.

Sijamuona ata basi hayupo pia maana kwenye Cartoon ya mulan yumo ila hii Ya real hayupo, Disney huwa Namkubali toka Pirates of Carribbean, Beauty and the Beast, Cinderella, haloo hizo kazitendea hako vilivyo ila pia hii ya Mulan ipo nzuri nitajaribu niicheck nione.
 
Mulan inatoka september 4 release ya united states hio ya us tu bdo hajairelease kuonekana nje ya cinema's mpaka zitoke zote
Ss utaelewaje kwa kutumia trailer?!
 
Mulan inatoka september 4 release ya united states hio ya us tu bdo hajairelease kuonekana nje ya cinema's mpaka zitoke zote
Ss utaelewaje kwa kutumia trailer?!

si mbali mwezi ujao tu, naitamani
 
Mulan inatoka september 4 release ya united states hio ya us tu bdo hajairelease kuonekana nje ya cinema's mpaka zitoke zote
Ss utaelewaje kwa kutumia trailer?!
Sijaelewa hapo kwaiyo hii mulan ni ipi na inayotoka baadaye ni ipi tena
 
Back
Top Bottom