Uchaguzi 2020 Mimi ni mwana CCM ila safari hii, kura yangu tu naihamisha

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,934
3,805
Nitabakia CCM ila mwaka huu naamua kufanya maamuzi magumu. Kura yangu nitaipeleka kwa mtu mwengine, mbunge mwengine, simupi mugombea yeyote wa CCM, yaani ni maamuzi ambayo ninataka kuona kama tukishindwa itakuwaje, hao watakao shika uongozi watatufanyia nini, kama ni moto au pepo.

Nione viongozi wetu watakiendeleza chama chetu CCM au watatimkia kusikojulikana na kutuwacha wanachama wao gizani.

Uchaguzi huu kura yangu chama changu cha CCM hakitaiona kuanzia Rais hadi balozi wa nyumba kumikumi,naihamisha na kuiwekeza chama kingine. Ni majaribio ambayo kama mwananchi nina haki na zaidi napenda nione tutakaposhindwa sisi CCM itakuwaje chama kitakufa? Maswali ni mengi kuliko majawabu.

Na zaidi kura ni siri yangu na Mungu wangu, kwenye sanduku hakuna mjumbe wala tarishi ni mimi na sanduku na anaeshuhudia ni Mungu, siogopi kitu kuipeleka kura yangu popote pale ila sio CCM, ili nipate kujua hawa viongozi wetu tutakaposhindwa wataendelea kuwa nasi, au wanatutumia tu kwa wao kushibisha matumbo yao na kutufanya sisi kama ngazi, nahitaji kulijua hili na ili kulijua kwa undani ni kwa mwaka huu kuikosesha kura chama changu.

Shime wana CCM, hamna haja ya kurudisha kadi wala kuhama chama, mwaka huu tu fanya maamuzi magumu kuikosesha CCM chama chetu kura, ili tukwapime hawa viongozi wetu.
 
Mungu tujaalie CCM ishindwe Uchaguzi, ili tuone kama hawa viongozi na mwenyekiti wetu watakuwa nasi ,kama watakuwa na kubakia na sisi basi hamna shida miaka mitano sio mingi, wamepita Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, haitokuwa shida kuwarudisha madarakani.
 
Nitabakia CCM ila mwaka huu naamua kufanya maamuzi magumu. Kura yangu nitaipeleka kwa mtu mwengine, mbunge mwengine, simupi mugombea yeyote wa CCM, yaani ni maamuzi ambayo ninataka kuona kama tukishindwa itakuwaje, hao watakao shika uongozi watatufanyia nini, kama ni moto au pepo.

Nione viongozi wetu watakiendeleza chama chetu CCM au watatimkia kusikojulikana na kutuwacha wanachama wao gizani.

Uchaguzi huu kura yangu chama changu cha CCM hakitaiona kuanzia Rais hadi balozi wa nyumba kumikumi,naihamisha na kuiwekeza chama kingine. Ni majaribio ambayo kama mwananchi nina haki na zaidi napenda nione tutakaposhindwa sisi CCM itakuwaje chama kitakufa? Maswali ni mengi kuliko majawabu.

Na zaidi kura ni siri yangu na Mungu wangu, kwenye sanduku hakuna mjumbe wala tarishi ni mimi na sanduku na anaeshuhudia ni Mungu, siogopi kitu kuipeleka kura yangu popote pale ila sio CCM, ili nipate kujua hawa viongozi wetu tutakaposhindwa wataendelea kuwa nasi, au wanatutumia tu kwa wao kushibisha matumbo yao na kutufanya sisi kama ngazi, nahitaji kulijua hili na ili kulijua kwa undani ni kwa mwaka huu kuikosesha kura chama changu.

Shime wana CCM, hamna haja ya kurudisha kadi wala kuhama chama, mwaka huu tu fanya maamuzi magumu kuikosesha CCM chama chetu kura, ili tukwapime hawa viongozi wetu.
Sio wewe tu shawishi kuanzia mumeo mpaka beki tatu wenu kama mnae.
JIBU = Mtapigwa tu tena mpaka mtakataana.
 
Ni uamuzri mzuri na wa kupendeza kwa kila mwenye nia njema na Nchi hii
 
Good thinking ila kumbuka kunawengine CCM ndiyo baba na mama wafia chama 'die hard'
 
Yani una mawazo kama yangu na mimi kama mwana chadema nitafanya hivyohivyo, simpi mgombea yeyote wa chadema nawapa ccm
 
Kama unalipenda taifa letu kwa dhati huwezi kuipa kura ccm uchaguzi Wa Mwaka huu, ccm wanatumia vyombo vya dola kuligawa taiga letu
 
Nitabakia CCM ila mwaka huu naamua kufanya maamuzi magumu. Kura yangu nitaipeleka kwa mtu mwengine, mbunge mwengine, simupi mugombea yeyote wa CCM, yaani ni maamuzi ambayo ninataka kuona kama tukishindwa itakuwaje, hao watakao shika uongozi watatufanyia nini, kama ni moto au pepo.

Nione viongozi wetu watakiendeleza chama chetu CCM au watatimkia kusikojulikana na kutuwacha wanachama wao gizani.

Uchaguzi huu kura yangu chama changu cha CCM hakitaiona kuanzia Rais hadi balozi wa nyumba kumikumi,naihamisha na kuiwekeza chama kingine. Ni majaribio ambayo kama mwananchi nina haki na zaidi napenda nione tutakaposhindwa sisi CCM itakuwaje chama kitakufa? Maswali ni mengi kuliko majawabu.

Na zaidi kura ni siri yangu na Mungu wangu, kwenye sanduku hakuna mjumbe wala tarishi ni mimi na sanduku na anaeshuhudia ni Mungu, siogopi kitu kuipeleka kura yangu popote pale ila sio CCM, ili nipate kujua hawa viongozi wetu tutakaposhindwa wataendelea kuwa nasi, au wanatutumia tu kwa wao kushibisha matumbo yao na kutufanya sisi kama ngazi, nahitaji kulijua hili na ili kulijua kwa undani ni kwa mwaka huu kuikosesha kura chama changu.

Shime wana CCM, hamna haja ya kurudisha kadi wala kuhama chama, mwaka huu tu fanya maamuzi magumu kuikosesha CCM chama chetu kura, ili tukwapime hawa viongozi wetu.
Hongera sana Shocker kwa busara hizi ambazo watz wote wenye mapenzi mema na nchi hii wanapaswa kufanya.
 
Kura ni haki yako na ni siri yako! Haya maneno ni ya kuwapa upinzani imani na matumaini hewa!
 
Back
Top Bottom