The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.
Kijiko alizaliwa mjini, kijana msafi sana kwa muonekano. Alimaliza masomo na kupata ajira, alifanikiwa kufungua na biashara ya maduka ya chakula. Kijiko hakua na shida ya pesa ya kula ingawa hakua tajiri.
Alikua kwenye mahusioani na binti mmoja mwajiriwa katika ofisi ya serikali. Binti...
Za mida?
Nimekua nikifikiria mno juu ya ili swala bila mafanikio
Japo ni wazi kila mzizi wa jini uko connected mpaka kwenye ubongo naisi imnazifahamu nerves vyema?
Basi kila jino mdomoni mwako liko connected na ubongo lakini turejee kwenye kichwa cha uzi kilivyo sema apo juu
Kwa wale...
Leo mbunge pekee wa kuchaguliwa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia jimbo la Nkasi Kaskazini amefanya mahojiano na mwandishi wa idhaa ya Kiswahili ya DW, Deo Makomba na mazungumzo yao yalikuwa kama ifuatavyo.
MWANDISHI: Unajisikia vipi hasa kuwa mmoja wa wabunge...
Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
Mapenzi ni hasara tupu...
Za mida...
Nimekua niko namawazo sana hii siku sijui labda ni kwa sababu sijaona sms ya nimpendae ikiji display.....
But namaswali machache...
Ivi kwa nini wanaume wengi huwa tuko tiari kuwa spare tier sana
Nikimaanisha kuwa vijana wengi tuko tiyari kuwa na mke wa...
Inakuwaje wanajamvi!
Kuna tetesi huenda mwamba Strongman Vladimir Putin Rais wa Urusi akastaafu Urais mapema 2021.
Inasadikika Putin 68, ameanza kuonyesha dalili za Parkinson na kuleta wasiwasi Kremlin na kusababisha sheria za haraka haraka zitungwe awe na kinga ya maisha.
Aidha mpenzi...
*HOFU YA NGONO ( GENOPHOBIA)
Hofu ya ngono pia huitwa "genophobia" au "erotophobia." Hii ni zaidi ya kutopenda tu au chuki. Ni hali ambayo inaweza kusababisha hofu kali au hofu wakati ujamaa wa kijinsia unajaribiwa. Kwa watu wengine, hata kufikiria juu yake kunaweza kusababisha hisia hizi...
Mwanadamu asili yake ni udongo.
Kuna connection kubwa sana kati ya udongo na mwanadamu. Hata neno Adam ambalo limeleta neno mwanadamu linatokana na neno "Adamah" la Kiebrania ambalo humaanisha udongo.
Katika kutuumba Mungu aliweka vitu katika viganja vya miguu na mikono ambayo vikikutana na...
Wengi tumekuwa tukidiscuss kwa nini wanaume wengi huwa tunakufa mapema katika ndoa kuliko mababu zetu.
Sababu moja kubwa ambayo tunaisahau ni kuwa kiasili mtu mwenye umri mkubwa sana ndio huwahi kufa kwa asilimia kubwa na hii ndio ilivyo kitamaduni tulivyozoea.
Sasa tukija kwenye mas'ala ya...
Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi .
Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa kesi za uongo zisizo na dhamana za Mauaji , Uhujumu uchumi , Ugaidi , Unyang'anyi na kukutwa na vifaa...
Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema mh Tundu Lissu amewasili salama salimini nchini Ubelgiji.
Tundu Lissu amesema ameamua kwenda kuishi Ubelgiji na siyo sehemu nyingine kwa sababu ameshakaa nchini humo kwa miaka mitatu na kwamba ana hati ya ukaazi ya nchi hiyo.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia...
Iwe ni mtu au taasisi makini lazima inapofanya makosa ijitathimini na kujua ilikosea wapi ili iweze kujirekebisha na kutofanya makosa tena.
Ccm kama chama makini kilifanya tathimini na kutambua kuwa kura za maoni huwa ni chanzo cha kushindwa na wapinzani ndio maana safari hii walikuwa makini...
Kila mwaka watoto takribani milioni 15 huzaliwa kabla ya miezi tisa yaani njiti na idadi hii imekuwa ikiongezeka siku hadi siku. Ni moja kati ya sababu inayochangia kwa wingi vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano duniani.
Shirika la Afya Duniani (WHO) lilikadiria takribani watoto milioni...
Prof. Adelardus Lubango Kilangi amekuwa mtu wa kwanza kuteuliwa na Rais John Magufuli kwa kipindi cha muhula wa pili wa Uongozi wa Rias Magufuli.
Prof. Kilangi ameteuliwa na kuapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ambapo amesema hii imeonesha Rais ana imani naye kwa hivyo ameahidi...
KWANINI CCM WAMESHINDA, NA WAPI WAPINZANI WAMEJIKWAA.
TATHIMINI INALETWA NA DON NALIMISON.
1. KWANINI CCM WAMESHINDA?
Tuangalie pande mbili Chanya na Hasi.
Tuanze na MATOKEO Chanya:
CCM ndio Chama kinachoshika Dola na hata Uchaguzi umefanyika TUME ya Uchaguzi ikiwa chini ya Dola ya CCM...
Tanzania ni nchi inayoamini katika Demokrasia. Demokrasia ni mfumo unaoambatana na Uhuru wa kusema, Uhuru huo wa kusema umewekewa mipaka na sheria pamoja na katiba na hakuna mtu mwingine mwenye mamlaka ya kumhukumu aliyesema kwamba ametenda kosa bali nafasi ya kuhukumu imeachwa mahakama.
Upande...
Ukweli ni kwamba wanawake wengi walioolewa huchepuka, na tafiti zinaonyesha 97 % ya wanawake waliopo kwenye mahusiano wamewahi kuchepuka.
Sasa Leo nakuletea sababu za wake za watu kuchepuka
1: Kazi
Wanawake wengi huingia katika tamaa ni kutokana utengano uliopo kati ya mume na mke...
Kwanza natoa pale kwa upinzani hasa CHADEMA kuwa uchaguzi huu sio kama 2015 ambapo kila mtanzania alikuwa amechoshwa na CCM.
Na kila raia alikua tayari kwa lolote ikisubiriwa kauli tu kwamba sasa tuingie barabarani tukichafue.
1. Baada ya Magufuli kuingia 2015 akafuta kazi migambo wote. Hapa...
Huwa najiuliza hizi ziara za kushtukiza lengo lake huwa ni kugundua nini? Unaweza shtukiza shambani kujua kama uliowapa kazi ya kulima wanalima au wamelala chini ya vivuli.
Kinyume na hapo dunia ya leo haina wavivu wa namna hiyo au wafujaji wa namna hiyo, ina watu ambao wapo kazini lakini si...
1. Vyama vingi kama sio vyote vya upinzani havina mizizi ngazi za chini badala yake vina majina makubwa ya viongozi pale juu wanaofanya propaganda kubwa.
2. Hakuna tafiti za kina zinazofanyika tokea chaguzi moja mpaka chaguzi nyingine nini hasa sababu ya kushindwa jambo linalopelekea kubakia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.