sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkaruka

    Sababu kubwa 2 kwanini Miziki wa Tanzania kwa sasa ni Fake, Mgumu na Mbovu

    Watu wengi sina hakika kama wanaliona hili ila Muziki wa Bongo fleva kwa kifupi umeingiliwa, umechakachuliwa na too bad ni kama unakufa. Nadhani wanaopenda muziki kama mimi wanapata tabu tu na hawana la kufanya. Na katika hili Clouds media ( Hususani marehemu Ruge ) hawezi kuepuka lawama...
  2. Replica

    Zanzibar: TAMWA yasikitishwa na kitendo cha udhalilishaji cha kuwachoma sindano watoto bila ya sababu

    Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA, ZNZ) kinasikitishwa na kitendo cha udhalilishaji ambacho kimezuka hivi karibuni cha kuwachoma sindano watoto bila ya sababu. Wakati nchi inaendeleza juhudi za kupambana kupinga vitendo vya udhalilishaji wa kubakwa, kulawiti...
  3. E

    GE2020 Sababu zinazofanya Magufuli apendwe na Watanzania wengi

    Habari ndugu zangu wana JamiiForums. Katika uzi huu nitaelezea sababu zinazofanya Magufuli apendwe na watanzania wengi zaidi. Mimi mwenyewe binafsi najikuta sana navutiwa na mwanasiasa mchapakazi Dkt Magufuli kama ilivyo kwa watanzania wengine hili hata wanasiasa wa vyama upinzani wanalijua na...
  4. Infantry Soldier

    Kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo lakini akakupa ushauri wenye thamani kuliko pesa uliomuomba

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Hivi mnajua, kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo, lakini akakupa ushauri wa maana wenye thamani mara 3 zaidi ya pesa uliomuomba? This is my true story ========= Siku moja nikiwa chuo kikuu...
  5. YEHODAYA

    GE2020 Sababu ya Vyama vya Upinzani kutomuunga mkono Lissu, CHADEMA walivunja makubaliano ya kugawana Ruzuku kuvipa Vyama vyote vya UKAWA

    2015 kuliundwa UKAWA na vyama vilivyounda UKAWA vikakubali kutoweka mgombea Uraisi vimuunge mkono mgombea mmoja tu wa CHADEMA, Lowasa na CUF ilimtoa Duni Haji ajiunge CHADEMA kama mgombea mwenza kumpa nguvu zaidi ya kura Lowassa za Zanzibar na za waislamu. Vyote vikakubaliana kuwa kwa kuwa...
  6. Cannabis

    Kenya: Familia yalazimika kutumia trekta kusafirisha maiti sababu ya barabara mbovu

    Familia ya Kirui ililazimika kutumia trekta kuusafirisha mwili wa mpendwa wao kutoka hifadhi ya maiti kutokana na hali mbovu ya barabara iliyosababishwa na mvua kubwa. Mwili huo ulikuwa unasafirishwa hadi kijiji cha Kapsita kwa ajili ya mazishi jinsi Citizen TV ilivyoripoti Ijumaa, Septemba 11...
  7. J

    GE2020 Dkt. Bashiru: CCM haiwezi kulisemea suala la Mbunge kupita bila kupingwa kwa sababu ni jambo la Kikatiba

    Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally amesema suala la mgombea kupitishwa bila kupingwa ni la Kikatiba na kwa maana hiyo CCM ni mnufaika au muathirika tu wa kanuni hiyo pale inapotumika. Naye Askofu Bagonza amesema ni dharau na mateso makubwa kuwaongoza watu ambao hawajakuchagua. Maendeleo...
  8. Sam Gidori

    Sudan Kusini kufungua shule kuanzia leo, mimba kwa wanafunzi zaongezeka

    Baada ya miezi 6 ya kukaa majumbani, wanafunzi nchini Sudan Kusini wanarejea darasani kuanzia Jumatatu, Waziri wa Habari wa nchi hiyo amesema. Hatua hiyo ya Sudan Kusini inafuatia uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuondoa katazo lililowekwa mwezi Machi na Rais Salva Kiir la kufunga shughuli zote za...
  9. kagoshima

    Kuna biashara zimedoda kwa sababu ya ugomvi wetu na nchi jirani, hasa Kenya

    Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari. Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya...
  10. Miss Zomboko

    Ruto: Wakenya hawatapigana tena sababu ya siasa, wajinga hawapo tena

    Naibu rais William Ruto amesema kwamba Kenya haitashuhudia machafuko tena kwa sababu ya siasa kama ilivyokuwa mwaka 2007. Akihutumbia mkutano wa hadhara mjini Kisii siku ya Alhamisi, Ruto alisema kwamba baadhi ya wanasiasa walikuwa wakitumia vitisho kudai kwamba huenda kukazuka machafuko mwaka...
  11. Samia atosha tukutane2030

    Ushauri: Usipende kuweka namba yako ya simu mitandaoni bila sababu. Ni rahisi kumdukua mtu ukiijua namba yake ya simu

    Napenda kuwapa ushauri wana JF wenzangu. Mjitahidi kulinda privacy zenu huko Facebook, Instagram, Twitter n.k. Kuna watu wakiipata tu namba yako wanakudukua kiulaini. Nimewahi kufanya research na kugundua ni rahisi sana kumdukua mtu kwenye mtandao wa kijamii ikiwa tu utaijua namba ya simu...
  12. K

    GE2020 Sababu za kushindwa upinzani Uchaguzi Mkuu 2020

    Ni dhahiri shahiri kwamba kutokana na mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 zinazoendelea Upinzani unakwenda kuendeleza kushindwa vibaya kwa mara nyingine. Sababu za kushindwa vibaya uchaguzi huu katika ngazi zote (Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani) ni nyingi ila mimi nitagusia chache...
  13. J

    GE2020 Mzee Kikwete: Watu wanasema Mama Salma kaachwa ndio sababu anahangaikia Ubunge, nasema wapuuzeni

    Akiwa katika mkutano ulioongozwa na Makamu wa Rais mama Samia Suluhu huko Mchinga Lindi, Rais mstaafu ameongea kiutani kuwa "Watu walikuwa wanasema mama huyu [Salma Kikwete] kaachwa ndiyo maana anahangaikia Ubunge. Nyie shemeji zangu mnataka kuninyang'anya mke? Mie sijamuacha." Maendeleo...
  14. B

    GE2020 Sababu kuntu 5 za kwanini Rais Magufuli atashinda tena Uchaguzi huu

    Na Bwanku M Bwanku Dirisha la kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani limefunguliwa na tayali vyama mbalimbali vya siasa vimeanza kazi ya kupita maeneo mbalimbali ya wananchi kunadi sera na mipango yao ili wachaguliwe Oktoba 28 Kuelekea uchaguzi huu yako mambo ya...
  15. Fantastic Beast

    GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020. Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama ifuatavyo: 1. Imekubali rufaa 15 na kuwarejesha wagombea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi. 2. Imekataa...
  16. Sadock Kabuko

    GE2020 Sababu kwanini CCM itashinda kwa kishindo

    Wakuu Heshima Kwenu. Kwa hali ya siasa na kampeni zinavyoendelea ni wazi kabisa CCM itashinda kwa kishindo, kwa CCM mpya chini ya Dkt Magufuli CCM imesukwa vya kutosha iko imara na kwa uchaguzi huu CCM itashinda kwa kishindo zipo sababu kadhaa zitakazopelekea CCM kushinda kwa kishindo...
  17. Lord Denning

    Hii ndo sababu Mahakama kuonekana kichaka cha Wanasiasa hasa CCM

    Amani iwe nanyi wana Tanzania! Moderators naomba msiunganishe wala kufuta huu uzi! Maana ni wa kipekee Leo nimemsikia Jaji Mkuu akiongea na majaji na mahakimu huko Morogoro. Kilichonishangaza ni maneno aliyosema Eti wajaji na Mahakimu hasa kwenye kutoa haki wawe makini ili mahakama isionekane...
  18. sky soldier

    Je, kuna sababu gani ndugu wa mume kuchukia anaposaidia ndugu wa mke wake?

    Nadhani sio peke yangu nimeshuhudia hivi vitu maana vishazoeleka sasa. Hii hali hutokea sana pale Kaka anapokua na pesa nyingi na kuoa au anapoanza kuzikamata baada ya kuoa. Unakuta ndugu, kaka, dada na wadogo zake mwanaume wa aina hii huanza kuleta upinzani pale wanapoona ndugu au familia ya...
  19. Return Of Undertaker

    GE2020 Tume ya uchaguzi na CCM wainajisi katiba, Deo Mwanyika hastahili kuteuliwa wala kugombea ubunge kwa sababu ya kesi ya kukwepa kodi

    Tuweke rekodi sawa, Deo Mwanyika alihukumiwa kwa kukwepa kodi. Michango ya NSSF ya Deogratius Mwanyika, aliyekuwa Rais wa migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, imelazimika kulipa sehemu ya fidia ya makubaliano maalum kwa Serikali baada ya kukiri kufanya makosa. Fedha kiasi...
  20. Dam55

    Wazo huru: Hii ndio sababu ya CHADEMA kuchangisha michango ya mfuko wa Kampeni (nyuma ya panzia)

    Kwanza naomba nitangulize kuomba radhi wale wote ambao nitawakwaza kwa wazo langu hili, Ila naomba tu ileleweke kuwa nimetumia tu haki yangu ya kikatiba kutoa maoni. Kwa kifupi sana ni kwamba kilichopo nyuma ya hii changia changia inayo endeshwa na CHADEMA kutunisha mfuko wa kampeni ina kitu...
Back
Top Bottom