Dah! Airtel na halotel, mmeua hahahaha!

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,208
1,755
Kwa hiyo mnafikiri watapata GPA kubwa ama uzalishaji utaongezeka sio?

Kitu mnashindwa kutambua ni kuwa wengi tunanata. NA DATA TU, HAYO MENGINE NI ADDITIONAL TU, MAANA KUNA VIFURUSHI VYA DAKIKA NA SMS MTU ATAJIUNGA HATA HIVYO HUWA HATUMALIZI HAYO MADAKIKA NA SMS HIVYO HAKUNA UMUHIMU WA KUPUNGUZA DATA KILA WAKATI.

AMEN

Screenshot_20210224-000215.png
Screenshot_20210224-000111.png
 
Screenshot ya juu ni mtandao gani? Au ndio vile unapewa MBs kibao, speed network utajua mwenyewe pakuipata
Hapo mkuu kwangu speed kwa mitandao yote iko vizuri mno shida ni kupunguziwa saizi ya bando.

Ya juu ni halotel usiku pack hiyo ilikuwa ni 10gb six hrs sasa ni 5gb six hrs

Wakati ya chini ni Airtel mwanzoni tulipewa 500mb kwa jero na 1gb kwa buku sasa leo kimenuka.
 
We jiunge tu hivo vifurushi vya usiku, endelea tu kuwadanganya na wenzako... Ikifika saa 5 na nusu usiku tunazima data, amri raia wote mkalale na kujiandaa kwa ujenzi wa taifa na kupambana Corona asubuhi.
Wakati umelala mimi niko shift ya usiku
 
Hao Airtel baada Ya kubadili vifurushi , naona sijui wamepunguza na speed Ya internet , maana kwangu ina speed Ya kinyonga
Yaani naona kama kinyonga anajitahidi yaani naona spidi ya konokono. Au labda wanazima internet au wanaminya spidi makusudi.
 
Hapo mkuu kwangu speed kwa mitandao yote iko vizuri mno shida ni kupunguziwa saizi ya bando.

Ya juu ni halotel usiku pack hiyo ilikuwa ni 10gb six hrs sasa ni 5gb six hrs

Wakati ya chini ni Airtel mwanzoni tulipewa 500mb kwa jero na 1gb kwa buku sasa leo kimenuka.
Wote wahuni tu, wauaji . Halotel wana line za Royal, ........ 10,000 Tsh wanakupa GB 12, minutes 1000 mitandao yote na SMS 500 KWA MWEZI. Sidhani kama itaendela maana nadhani wanafanya hivyo kuvutia watu, then wafanya upuuzi wao
 
Nipe shule hapa
StarLink ni satellite internet iliyoanzishwa na company ya spaceX huko marekani. Lengo lao ni kuleta high speed and low latency (ping) satellite internet kwa bei rahisi. Satellite internet ya sasa haina speed kubwa na coverage kubwa. SpaceX wamerusha satellite 1145 hadi sasa zinazozunguka kwenye low earth orbit na bado wanaziongeza. Speed ya internet yake kwa sasa ni around 150 - 250Mbps (Download).

Kingine pia ni kwamba dish lao lina auto adjustment, hvyo wewe unaweka tu nje (au juu ya paa la nyumba) yenyewe inatafuta satellite za karibu na kuconnect (hakuna maswala ya kutafta fundi wa madish aanze kutafuta satellite na mavifaa yake).

Bei ya equipment (dish, router yake na accessories nyingine) ni $500 (1,160,000) na utakua unalipa $99 (230,000) kwa mwezi for unlimited. Ambayo ni bei sawa tu na satellite internet providers wa hapa bongo wanaokupa 5 - 20Mbps.

Sijajua kama satellite zao zipo reachable hapa bongo ila South Africa tayari zipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kutoa maelezo haya. Ilikuwa nije kuandika umenisaidia
 
Hivi kwanini issue ya vifushi inakuwa kama hisani? Hivi si tunanunua kama tunavyonunua bidhaa nyingine?
 
Back
Top Bottom