The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.
Kinywa kutoa harufu mbaya huweza kuwa kero kwako binafsi au kwa watu wanaokuzunguka.
Visababishi vya harufu mbaya kinywani ni kama vifuatavyo:-
Aina ya vyakula
Vyakula jamii ya vitunguu, tangawizi, na viungo vingi vinavyotumika kwenye chakula endapo vitameng'enywa na bakteria katika kinywa...
Bila kumung'unya maneno naanza moja kwa moja kuwaasa wananchi wa Tanzania kulinda afya zenu wenyewe , hii ni kwa sababu usalama wa maisha yako ni HAKI YA KIKATIBA , mtu mdogo kama Meya wa Manispaa yoyote ile aliyetokana na udiwani wa kata hana mamlaka yoyote ya kisheria ya kuamuru mtu yeyote...
Ugonjwa wa Alzheimers ( Ugonjwa unaharibu kumbukumbu) ndio sababu kubwa ya shida ya akili. Kati ya 60% -80% ya watu walio na shida ya akili wana #Alzheimers
Magonjwa ya upungufu wa Neva na shida za mishipa. Hali hizi huathiri mzunguko wa damu kwenye ubongo.
Majeraha kwenye ubongo...
Uhaba wa chakula ni hali ya kukosa ufikiaji wa uhakika wa chakula cha kutosha cha bei rahisi, chenye lishe.
Sababu za Uhaba wa Chakula
1. Kukosekana kwa Ardhi ya Kilimo
Chakula hupandwa au kuzalishwa kutoka ardhini. Umiliki wa ardhi huimarisha tija ya kilimo kwani inaweza kutumika...
Sitaki kuongea mengi kuhusu suala la watu wengi hapa Tanzania sasa kutamani kufanya kazi ya siasa na hasa kuwa Mbunge.
Na ukitazama vizuri utagundua kuwa hii ndo siri kubwa ya kujitokeza kwa WATIA NIA ( Wagombea Ubunge wengi katika kura za maoni za CCM mwaka jana kuvunja rekodi).
Watu wengi...
Serikali inarealize upotevu mkubwa wa mapato kwa sababu yakutumia mkono wa chuma kukusanya Kodi.
Kodi nzuri Ni ile inayokusanywa kwa mujibu wa sheria, kwa masikilizano na kwa gharama ndogo.
Leo hii nguvu inayotumiwa kukusanya Kodi ni kubwa sana, wafanya biashara wamegeuzwa wahalifu na...
Kung’ata kucha(Onychophagia)
Tabia ya Kung’ata kucha inaweza kuwa haina madhara iwapo itakuwa ya muda labda wasiwasi wa urembo wa kucha lakini tabia hii inaweza kuendelea na kulifanya tatizo la kudumu. Kung’ata kucha kulikopitiliza(Onychophagia) kunaharibu kucha na tishu zilizozizunguka
DALILI...
Hisa zikishatolewa na makampuni ya umma haziwezi kurudishwa mpaka kampuni itakapofilisika. Lakini hisa zinaweza kuhamishwa kutoka mmiliki mmoja kwenda kwa mmiliki mwingine.
Hivyo kama mtu anayemiliki hisa atahitaji kubadilisha hisa zake kuwa pesa hatoiomba kampuni kumfanyia hivyo bali atatafuta...
Falsafa wanzilishi ya Tanzania, Ujamaa, ilielewa uhusiano kati ya rangi ya ngozi, ukoloni, na ukandamizaji.
Hivyo ilikuwa na lengo la kuondoa dhana ya kudharilishwaji wa ngozi Nyeusi kwa kutokomeza sababu zinazochangia kupitia programu tofauti, mojawapo ikiwa elimu ya uzalendo .
Lengo kubwa...
1. Ndie anaeamua ulipwe kiasi gani.
2. Ndie anayebutua mkataba wako wa ajira Kama ilikuwa ya kudumu inakuwa on temporary basis.
3. Ndie anayeweza kuamua uongezwe makato au uongezewe Kodi kwenye mshahara wako.
4. Ndie anayeweza kuamua ulipwe au usilipwe mafao yako. Mfano fao la kujitoa au wale...
JKT YASITISHA MAFUNZO
DODOMA: JANUARI 19, 2021
JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza kusitisha kwa muda mafunzo ya jeshi hilo ya kujitolea kwa mwaka 2020/2021 mpaka hapo itakapotangaza tena.
Kutokana na kusitishwa kwa Mafunzo hayo JKT imewataka vijana walioripoti makambini kurejea...
Nini Chanzo Cha Pneumonia
Pneumonia husababishwa na bacteria, virusi, fangasi na vyanzo vingine. Hapa chini tutaona baadhi ya vyanzo hivi kwa undani zaidi:
Bacterial Pneumonia
Wagonjwa wengi wa pneumonia hushambuliwa na bacteria aitwaye Streptococcus pneumoniae. Watu wanaougua kwa muda mrefu...
Pneumonia Ni Nini?
Pneumonia ni ugonjwa unaoshambulia vifuko vya hewa kwenye pafu moja au yote mawili. Vifuko hivi huweza kujaa maji au usaha na kusababibisha kikohozi kinachotoa uchafu unaotoka kwenye mapafu, homa na kupata shida katika kupumua. Vijidudu wa aina nyingi wanaweza kuhusika katika...
Mabinti wengi siku hizi wana michoro ya tattoo kwenye miili yao, inaonekana kama ni mtindo, mabinti siku hizi wamezibukia kwenye michoro ya tattoo.
Je ni nini tatizo, malezi mabaya ya watoto, uhuru uliopitiliza ama ni kuanguka kwa maadili kwenye jamii kwa wakati huu.
Natambua kweli ile tunaita...
Tatizo la uhaba wa madarasa limekuwepo kwa muda mrefu na lilianza kushamiri hasa miaka ya tisini.
Ukweli ni kuwa sababu kubwa ni ongezeko la idadi ya watoto wanaotakiwa kujiunga na elimu ya msingi na sekondari kwa ujumla.
Kuleta visingizio kuwa eti awamu ya tano kuanza kutoa elimu bure ndio...
Wanabodi, Heri ya mwaka mpya wa 2021!
Nimekaa kwa muda nikitafakali, kujiuliza na kutafuta majawabu kuhusu mienendo ya viongozi kuwachapa bakora wananchi kufuatia tuhuma mbalimbali dhidi ya wachapwaji.
Huenda viongozi hao wana sababu za msingi au hawana - wengine huwachapa bakora wakosaji kwa...
Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudu tena, wakishakuja mara moja wengi wao huwa hawarudi tena.
Maana yake ni kuwa sisi...
Kenya ilikua imesitisha kukamilisha kipande kidogo kilichokua kimesalia cha kuunga hadi Uganda baada ya hao Waganda kutoonyesha "seriousness" kwenye hili la SGR, ila sasa wao wamesaka mkopo wenyewe na tayari wameanza mipango na mikakati ya ujenzi, kwa vile tulikua tumekamilisha asilimia kubwa...
"Polisi wameua watu wawili Liwale kwa sababu ya uchaguzi haukuwa huru na haki sasa CCM kama hamtaki vyama vyingi mtuambie".-Prof. Lipumba.
#UzinduziWaKongamanoLaKudaiTumeHuruNaKatibaMpya
#OfisiKuuYaChamaBuguruni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.