The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.
Takwimu zinaonesha kuwa mbunge analipwa mshahara wa shilingi milioni 3.8 kwa mwezi, posho ya mwezi shilingi milioni 8, posho ya kikao kimoja ni shilingi 240,000 kwa siku, posho ya kujikimu shilingi 120,000 kwa siku.
Baada ya miaka mitano ya ubunge wake anapokea pensheni ya shilingi milioni 240...
Habari za leo wakuu,
Sisi kama wanasiasa na viongozi wa Serikali watarajiwa naomba tujadili sababu za kiuchumi zilizo pelekea bei ya cement na sukari kupanda.
Na pia tujadili possible economic solution za hili tatizo.
Nawasilisha
Kama kuna sababu za kiuchumi unazijua tafadhari ziandike hapa...
Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli?
Mmechukia kutopata Ubunge je kwani Ubunge ni ajira? Hapana.
Kwa muktadha huu ni kuwa watanzania wameridhika na CCM.
Sasa mnataka nini? Mnaeneza uongo hapa Jf kuwa wawekezaji wanadhulumiwa bil of Tsh, jambo...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Kwa kipindi cha muda mrefu nimekuwa nikikutana na statement hii katika media za hapa nchini hususan linapokuja suala la serious crimes kama mauaji, ujambazi au uhujumu uchumi.
"Mshtakiwa hakutakiwa...
Kwenye nchi yoyote duniani, inayoweza kusema inaendesha utawala bora, ni lazima iruhusu mfumo wa mihimili 3 mikuu ya nchi, ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama kujiendesha katika kutoingiliana katika uendeshaji wa shughuli zao, katika kile kinachoitwa "checks and balance"
Hali ni tofauti kubwa...
Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa Wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao.
Kauli hiyo ameitoa hii...
Mabibi na mabwana inafahamika kuwa safari kuelekea uhuru haijawahi kuwa rahisi.
Wala safari ya kuelekea huko haijawahi na wala haitakuja kupungukiwa wasaliti.
Kwamba pana mbunge bungeni anaendelea kujitanabaisha kuwa ni mbunge wa CHADEMA na mko kimya tu?
Kwamba kuna watu yasemekana wamekiuka...
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu
(African Court on Human and Peoples' Rights) ni Mahakama ya Kibara iliyoanzishwa na nchi za Afrika ili kulindaHaki za Binadamu na za mataifa barani humo.
Uamuzi huo ulichukuliwa naOAU huko Burkina Faso, mnamo Juni 1998 ukapata nguvu ya kisheria tarehe...
Habari Wanajamvi,
Enzi za mwalimu kulikuwa na Uzalendo uliotukuka. Watanzania walikuwa makini na waadilifu katika shughulu zao.
Majasusi wawili kutoka Marekani na Israel CIA na Mossad walikuja nchini kupeleleza kwa kisingizio cha utalii na kuomba tour guide in advance.
Walipofika tu Dar Int...
NGOs zimeenda kortini kupinga ujenzi wa pipeline ya EACOP
Uganda-Tanzania pipeline runs into legal challenges
Tuesday November 24 2020
Four NGOs claim that the project is yet to conduct an environmental and social impact assessment.
IN SUMMARY
The NGOs are now seeking a permanent injunction...
Imeandikwa na: Jukwaa la Utu wa Mtoto - Children’s Dignity Forum (CDF)
Source: “Sikujua Nilipataje Mimba,” Utafiti Shirikishi kuhusu Mimba za Utotoni na kuwa Mama katika Umri mdogo uliofanywa Wilayani Mpwapwa, Tanzania: (2018)
Mimba za utotoni ni moja ya changamoto kubwa ya kiuchumi na kijamii...
Tukiacha kundi dogo la Viongozi wa Kisiasa wa Chama kilichojimilikisha madaraka, kwa kweli hali ya maisha kwa Wananchi ni ngumu sana huku mtaani,tuache kuvunga..
Hela hakuna wakuu, Ukitoka nyumbani na sh. laki moja unarudi huna hata sh. 100...bila shaka hali hii hainikabili mimi peke yangu...
Tundu Lissu (Mgombea Urais wa Chadema) na Job Ndugai (Spika)
Kuna mdau kanitumia kitabu cha Gene Sharp (2012), kiitwacho "From Dictatorship to Democracy: A Conceptual Framework for Liberation."
Yaani, "Safari ya Kutoka Kwenye HImaya ya Kidikteta Kuelekea Kwenye HImaya ya Kidemokrasia: Mawazo...
Huyu jamaa yangu chapombe na mademu sana. Mademu (siyo wanawake ,siyo mabinti, siyo wasichana) MADEMU. last week tumekaa tunapiga maji akapiga simu na kutoa maelekezo.
Baada ya dk kama 40 kikaja kitoto flani kidogo dogo tu mezani kikamkumbatia na kumkiss. Mimi nilipatwa na mshtuko.kuwa haka...
Kaka yenu nakuja tena nikiomba msaada. Unajua mazingira niliyozaliwa mimi tulizaliwa wawili tu wote wa kiume. Basi tumekua tukicheza wenyewe mpaka watu wakawa wanadhani mapacha.
Mimi nmeanza shule mpaka namaliza sijawahi fanya sex. Nimeenda chuo ndo nikaanza jambo hilo tena siku za mwanzo...
Wakati kina Zitto, Sarungi, kina Lissu n.k wakiendelea kusambaza uongo juu ya nchi yao na hali ya kisiasa nchini, kule kwa wenzetu Ulaya, Amerika na sehemu zingine zilizostarabika na kuheshimiana, kusema uongo tu ni sababu tosha ya kuwajibishwa kisiasa na hata kutolewa katika nafasi mtu...
Kama mnavyojua wandugu kuwa kwa sasa makao makuu rasmi imekuwa ni Dodoma, mpaka Rais yuko hapa, Waziri Mkuu na wadosi wengine wamehamia huku.
Kwahiyo gharama za vitu na bidhaa zimesogea kidogo hasa kwa upande wa wale jamaa wa kula Faru John mbuzi katoliki.
Yaani hapa nilipo naona kama ni...
Amani iwe nanyi tena wadau!
Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU.
Napenda tu kusema yafuatayo
1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...
Katika hafla ya kumwapisha Waziri Mkuu Majaliwa na Mawaziri Mpango na Kabudi, Magufuli alisema wazi kuwa hana haraka ya kuteua baraza la mawaziri. Sababu yake ilikua ni uwingi wa wabunge wa CCM ambao unampa muda mwingi wa kufikiri na kuchambua yupi anayefaa.
Leo wakati Mwinyi wakati anatangaza...
Kijiko alizaliwa mjini, kijana msafi sana kwa muonekano. Alimaliza masomo na kupata ajira, alifanikiwa kufungua na biashara ya maduka ya chakula. Kijiko hakua na shida ya pesa ya kula ingawa hakua tajiri.
Alikua kwenye mahusioani na binti mmoja mwajiriwa katika ofisi ya serikali. Binti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.