sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani kufunga balozi zake 2 zilizopo Urusi kwa sababu za kiusalama

    Marekani inapanga kuzifunga ofisi mbili za ubalozi mdogo nchini Urusi kwa sababu ya masuala ya usalama na ulinzi. Wizara ya mambo ya nchi za nje ya Marekani imesema ubalozi mdogo kwenye mji wa Vladivostok na mwingine kwenye mji wa Yekaterinburg ndiyo zitafungwa baada ya mashauriano na balozi wa...
  2. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Natamani 'Jamii' ingeijua sababu iliyosababisha nikafanya vile, Japo hadi leo nashindwa kuelewa kama nilikuwa sahihi au lah!

    My True story. Kisa hiki kinaanzia miaka kadhaa nyuma wakati nikiwa mwanafunzi wa mwaka wa mwisho kimasomo katika shule moja ya sekondari nchini. Nilikuwa nafanya juhudi kubwa sana katika masomo na asilimia kubwa marafiki zangu shuleni walikuwa ni wale wanafunzi ambao 'wanajitambua' na...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania James Hamblin, daktari ambaye haoni sababu ya watu kuoga mara kwa mara

    Hamblin alifanya utafiri juu ya utakasaji wa mwili ambao hivi karibuni ulichapishwa katika kitabu. Hamblin alifanya utafiri juu ya utakasaji wa ngozi ambao hivi karibuni ulichapishwa katika kitabu. Daktari bingwa wa tiba ya uzuwiaji wa magonjwa James Hamblin alifanya utafiti kuhusu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wizi wa pesa za Umma sababu ya Raia kukosa elimu husika

    Jana tarehe 14-12-2020 nilisafari kwa basi dogo maarufu kama Coaster kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma muda ukiwa umeenda kidogo kwa sababu nilikuwa na ratiba ngumu iliyopelekea kusafiri usiku. Tulisfiri kwa tabu kidogo kwa sababu coaster tuliyopanda Mbezi mwisho ilipofika Morogoro ilitufaulisha...
  5. Bee Network

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya watu kukimbilia siasa hasa nafasi ya Ubunge

    Takwimu zinaonesha kuwa mbunge analipwa mshahara wa shilingi milioni 3.8 kwa mwezi, posho ya mwezi shilingi milioni 8, posho ya kikao kimoja ni shilingi 240,000 kwa siku, posho ya kujikimu shilingi 120,000 kwa siku. Baada ya miaka mitano ya ubunge wake anapokea pensheni ya shilingi milioni 240...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiuchumi zilizopelekea bei ya Cement na Sukari kupanda ni zipi?

    Habari za leo wakuu, Sisi kama wanasiasa na viongozi wa Serikali watarajiwa naomba tujadili sababu za kiuchumi zilizo pelekea bei ya cement na sukari kupanda. Na pia tujadili possible economic solution za hili tatizo. Nawasilisha Kama kuna sababu za kiuchumi unazijua tafadhari ziandike hapa...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu CHADEMA kukosa Ubunge sio sababu ya kuichukia nchi yenu

    Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli? Mmechukia kutopata Ubunge je kwani Ubunge ni ajira? Hapana. Kwa muktadha huu ni kuwa watanzania wameridhika na CCM. Sasa mnataka nini? Mnaeneza uongo hapa Jf kuwa wawekezaji wanadhulumiwa bil of Tsh, jambo...
  8. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania "Mshtakiwa hakutakiwa kujibu chochote kwa sababu mahakama haina mamlaka ya kusikiliza kesi za aina hiyo". Sasa kwanini hawawapelekagi mahakama sahihi?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwa kipindi cha muda mrefu nimekuwa nikikutana na statement hii katika media za hapa nchini hususan linapokuja suala la serious crimes kama mauaji, ujambazi au uhujumu uchumi. "Mshtakiwa hakutakiwa...
  9. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kumbe kulazimisha kupitisha Sheria ya Kinga ya Kushtakiwa kwa Spika wa Bunge na Jaji Mkuu, sababu zake zilikuwa hizi?

    Kwenye nchi yoyote duniani, inayoweza kusema inaendesha utawala bora, ni lazima iruhusu mfumo wa mihimili 3 mikuu ya nchi, ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama kujiendesha katika kutoingiliana katika uendeshaji wa shughuli zao, katika kile kinachoitwa "checks and balance" Hali ni tofauti kubwa...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge

    Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa Wabunge kwa kuwa hawana chama kilichowapeleka Bungeni na hata wakihamia chama kingine hawawezi kupata nafasi hizo, labda mpaka uchaguzi ujao. Kauli hiyo ameitoa hii...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti, Katibu Mkuu CHADEMA kigugumizi cha nini sakata la Wabunge wa Viti Maalum?

    Mabibi na mabwana inafahamika kuwa safari kuelekea uhuru haijawahi kuwa rahisi. Wala safari ya kuelekea huko haijawahi na wala haitakuja kupungukiwa wasaliti. Kwamba pana mbunge bungeni anaendelea kujitanabaisha kuwa ni mbunge wa CHADEMA na mko kimya tu? Kwamba kuna watu yasemekana wamekiuka...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Tanzania kujitoa katika Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (African Court on Human and Peoples' Rights) ni Mahakama ya Kibara iliyoanzishwa na nchi za Afrika ili kulindaHaki za Binadamu na za mataifa barani humo. Uamuzi huo ulichukuliwa naOAU huko Burkina Faso, mnamo Juni 1998 ukapata nguvu ya kisheria tarehe...
  13. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu CIA na Mossad kuifanya Tanzania iwe tatu bora kwa upelelezi Duniani enzi za mwalimu

    Habari Wanajamvi, Enzi za mwalimu kulikuwa na Uzalendo uliotukuka. Watanzania walikuwa makini na waadilifu katika shughulu zao. Majasusi wawili kutoka Marekani na Israel CIA na Mossad walikuja nchini kupeleleza kwa kisingizio cha utalii na kuomba tour guide in advance. Walipofika tu Dar Int...
  14. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii EACOP ambayo hatupati usingizi kwa sababu kila siku tunapigiwa makelele kuihusu imepelekwa kortini

    NGOs zimeenda kortini kupinga ujenzi wa pipeline ya EACOP Uganda-Tanzania pipeline runs into legal challenges Tuesday November 24 2020 Four NGOs claim that the project is yet to conduct an environmental and social impact assessment. IN SUMMARY The NGOs are now seeking a permanent injunction...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni sababu gani zinazosababisha mimba za utotoni na kupelekea Wasichana wadogo kuwa Mama katika Umri mdogo

    Imeandikwa na: Jukwaa la Utu wa Mtoto - Children’s Dignity Forum (CDF) Source: “Sikujua Nilipataje Mimba,” Utafiti Shirikishi kuhusu Mimba za Utotoni na kuwa Mama katika Umri mdogo uliofanywa Wilayani Mpwapwa, Tanzania: (2018) Mimba za utotoni ni moja ya changamoto kubwa ya kiuchumi na kijamii...
  16. Mackanackyyy

    JamiiForums Tanzania Hali ngumu sana mtaani, unaweza kuuawa kwa sababu ya Elfu 20

    Tukiacha kundi dogo la Viongozi wa Kisiasa wa Chama kilichojimilikisha madaraka, kwa kweli hali ya maisha kwa Wananchi ni ngumu sana huku mtaani,tuache kuvunga.. Hela hakuna wakuu, Ukitoka nyumbani na sh. laki moja unarudi huna hata sh. 100...bila shaka hali hii hainikabili mimi peke yangu...
  17. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tathmini yangu juu ya Uchaguzi Mkuu 2020: Hakuna sababu nzuri ya kukataa kuteua wabunge wa Viti Maalum CHADEMA

    Tundu Lissu (Mgombea Urais wa Chadema) na Job Ndugai (Spika) Kuna mdau kanitumia kitabu cha Gene Sharp (2012), kiitwacho "From Dictatorship to Democracy: A Conceptual Framework for Liberation." Yaani, "Safari ya Kutoka Kwenye HImaya ya Kidikteta Kuelekea Kwenye HImaya ya Kidemokrasia: Mawazo...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nimegombana na Mshkaji sababu ya kunidhalilisha

    Huyu jamaa yangu chapombe na mademu sana. Mademu (siyo wanawake ,siyo mabinti, siyo wasichana) MADEMU. last week tumekaa tunapiga maji akapiga simu na kutoa maelekezo. Baada ya dk kama 40 kikaja kitoto flani kidogo dogo tu mezani kikamkumbatia na kumkiss. Mimi nilipatwa na mshtuko.kuwa haka...
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Labda sijui kutongoza sababu ya aibu nilizo nazo

    Kaka yenu nakuja tena nikiomba msaada. Unajua mazingira niliyozaliwa mimi tulizaliwa wawili tu wote wa kiume. Basi tumekua tukicheza wenyewe mpaka watu wakawa wanadhani mapacha. Mimi nmeanza shule mpaka namaliza sijawahi fanya sex. Nimeenda chuo ndo nikaanza jambo hilo tena siku za mwanzo...
  20. paul sylvester

    JamiiForums Tanzania Siasa za Ulaya mtu kusema uongo tu hiyo ni sababu tosha ya kuachishwa nafasi yake, wakati huku kwetu hicho ndicho kinachompaisha mwanasiasa

    Wakati kina Zitto, Sarungi, kina Lissu n.k wakiendelea kusambaza uongo juu ya nchi yao na hali ya kisiasa nchini, kule kwa wenzetu Ulaya, Amerika na sehemu zingine zilizostarabika na kuheshimiana, kusema uongo tu ni sababu tosha ya kuwajibishwa kisiasa na hata kutolewa katika nafasi mtu...
Back
Top Bottom