Huwa nashangaa sana kwanini makocha wa Stars hawamsajili Yahya Zayd, moja ya viungo hatari sana hapa nchini, kuna Yahya Zayd, Yussu Kagoma na dogo mmoja alikuwa JKT Ruvu, akaenda Geita na ss yuko Mtibwa, nimemsahau.Hawa ni viungo zaidi ya huyo Zuzu wenu.
Nimewashauri sana Simba kama wanataka...