Pacome Zouzou ni legelege sana, amevunjika kwa sababu amekutana na chuma cha pua Yahya Zayd

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
439
1,756
Huwa nashangaa sana kwanini makocha wa Stars hawamsajili Yahya Zayd, moja ya viungo hatari sana hapa nchini, kuna Yahya Zayd, Yussu Kagoma na dogo mmoja alikuwa JKT Ruvu, akaenda Geita na ss yuko Mtibwa, nimemsahau.Hawa ni viungo zaidi ya huyo Zuzu wenu.

Nimewashauri sana Simba kama wanataka kiungo wa chini basi ni Yahya Zayd na sio Sospeter Bajana, Yahya Zayd anajua boli, anajua kukaba, mwembamba lakini shughuli yake nzito.

Wewe Pacome Zuzu na ubishoo wako unaremba remba mbele ya Zayd, thubutu, Zayd ni zaidi ya Himid Mao.Zayd namkubali sana huyu dogo na mara kadhaa nimewashauri viongozi wa Simba hao akina Babacar Sar mnaowalipa mamilioni ya fedha cjui Sadio Kanoute achaneni nao, Yahya Zaidiiiii yule pale, fundi wa chini.

Yahya namfananisha na Seleman Matola yuleee, ama kiungo wa zamani wa Coastal Union Ally Maumba maarufu kama Over the top, au Mao Mkami Ball Dancer au yule kiungo aliyeniuma sana alipoikimbia Simba akaenda Yanga, Method Mogella 'Fundi' kwa sasa marehemu.

Yahya Zaidiiii mungu akufanyie wepesi, ulikuwa kwenye majeraha, uliwahi kwenda nje kucheza soka uliporudi hukukaa vzr lakn ss hv uko vyema, vunja hao wajinga wajinga wa kigeni, naomba ukikutana na Simba wavunje pia Babacar Sarr, Freddy, Pa Omary Jobe, Sadio Kanoute ila usimvunje Chama tafadhali, tutagombana.Ebo.
 
Ulishawahi vunjika? Nadhani humjui aliyevunjika
 
Yahya ata kwenda kucheza EGYPT haikuwa bahati mbaya kijana ana kipaji kikubwa sana anatumia akili nyingi sana
 
20240318_094807.jpg

Cc Jadda na Kalpana njoeni tucheke huku,😁🤣😂
 
Huwa nashangaa sana kwanini makocha wa Stars hawamsajili Yahya Zayd, moja ya viungo hatari sana hapa nchini, kuna Yahya Zayd, Yussu Kagoma na dogo mmoja alikuwa JKT Ruvu, akaenda Geita na ss yuko Mtibwa, nimemsahau.Hawa ni viungo zaidi ya huyo Zuzu wenu.

Nimewashauri sana Simba kama wanataka kiungo wa chini basi ni Yahya Zayd na sio Sospeter Bajana, Yahya Zayd anajua boli, anajua kukaba, mwembamba lakini shughuli yake nzito.

Wewe Pacome Zuzu na ubishoo wako unaremba remba mbele ya Zayd, thubutu, Zayd ni zaidi ya Himid Mao.Zayd namkubali sana huyu dogo na mara kadhaa nimewashauri viongozi wa Simba hao akina Babacar Sar mnaowalipa mamilioni ya fedha cjui Sadio Kanoute achaneni nao, Yahya Zaidiiiii yule pale, fundi wa chini.

Yahya namfananisha na Seleman Matola yuleee, ama kiungo wa zamani wa Coastal Union Ally Maumba maarufu kama Over the top, au Mao Mkami Ball Dancer au yule kiungo aliyeniuma sana alipoikimbia Simba akaenda Yanga, Method Mogella 'Fundi' kwa sasa marehemu.

Yahya Zaidiiii mungu akufanyie wepesi, ulikuwa kwenye majeraha, uliwahi kwenda nje kucheza soka uliporudi hukukaa vzr lakn ss hv uko vyema, vunja hao wajinga wajinga wa kigeni, naomba ukikutana na Simba wavunje pia Babacar Sarr, Freddy, Pa Omary Jobe, Sadio Kanoute ila usimvunje Chama tafadhali, tutagombana.Ebo.
Yahya Zaid aka Yaya Toure ni striker hasa namba kumi anajua sana kufunga mabao...miaka 8 iliyopita yeye na Idd Naldo aka ronaldo...walikuwa wakicheza kwenye timu yetu ya ndondo ya mtaani.

Naldo naona majeraha yamechangia kumridisha nyuma ila walikuwa ni wachezaji hatari sana....tumebeba sana makombe ya ndondo kutokana na mchango wao.
 
Jana kawahenyesha wanayanga uwanjani sio poa yule dogo Bin Zeyd akiwa na kipre😆
 
Pacome inaonekana anawauma sana, Jana katoka mapema kwasababu ya majeruhi ni kama hata game hazacheza ila naona nyuzi zote ni kuhusu pacome tu
 
Huwa nashangaa sana kwanini makocha wa Stars hawamsajili Yahya Zayd, moja ya viungo hatari sana hapa nchini, kuna Yahya Zayd, Yussu Kagoma na dogo mmoja alikuwa JKT Ruvu, akaenda Geita na ss yuko Mtibwa, nimemsahau.Hawa ni viungo zaidi ya huyo Zuzu wenu.

Nimewashauri sana Simba kama wanataka kiungo wa chini basi ni Yahya Zayd na sio Sospeter Bajana, Yahya Zayd anajua boli, anajua kukaba, mwembamba lakini shughuli yake nzito.

Wewe Pacome Zuzu na ubishoo wako unaremba remba mbele ya Zayd, thubutu, Zayd ni zaidi ya Himid Mao.Zayd namkubali sana huyu dogo na mara kadhaa nimewashauri viongozi wa Simba hao akina Babacar Sar mnaowalipa mamilioni ya fedha cjui Sadio Kanoute achaneni nao, Yahya Zaidiiiii yule pale, fundi wa chini.

Yahya namfananisha na Seleman Matola yuleee, ama kiungo wa zamani wa Coastal Union Ally Maumba maarufu kama Over the top, au Mao Mkami Ball Dancer au yule kiungo aliyeniuma sana alipoikimbia Simba akaenda Yanga, Method Mogella 'Fundi' kwa sasa marehemu.

Yahya Zaidiiii mungu akufanyie wepesi, ulikuwa kwenye majeraha, uliwahi kwenda nje kucheza soka uliporudi hukukaa vzr lakn ss hv uko vyema, vunja hao wajinga wajinga wa kigeni, naomba ukikutana na Simba wavunje pia Babacar Sarr, Freddy, Pa Omary Jobe, Sadio Kanoute ila usimvunje Chama tafadhali, tutagombana.Ebo.
Tukikwambia huna akili unakasirika. Hapa umetumia nini kufikiri kama siyo uji?
 
Mzee wa kuharisha.
 
Kuna mkakati wa kuumiza wachezaji wa Yanga
1. Okrah
2. Aucho
3. Pakome
4. Yao
Naishauri Yanga na wao waanze na
1. Chama
 
Huwa nashangaa sana kwanini makocha wa Stars hawamsajili Yahya Zayd, moja ya viungo hatari sana hapa nchini, kuna Yahya Zayd, Yussu Kagoma na dogo mmoja alikuwa JKT Ruvu, akaenda Geita na ss yuko Mtibwa, nimemsahau.Hawa ni viungo zaidi ya huyo Zuzu wenu.

Nimewashauri sana Simba kama wanataka kiungo wa chini basi ni Yahya Zayd na sio Sospeter Bajana, Yahya Zayd anajua boli, anajua kukaba, mwembamba lakini shughuli yake nzito.

Wewe Pacome Zuzu na ubishoo wako unaremba remba mbele ya Zayd, thubutu, Zayd ni zaidi ya Himid Mao.Zayd namkubali sana huyu dogo na mara kadhaa nimewashauri viongozi wa Simba hao akina Babacar Sar mnaowalipa mamilioni ya fedha cjui Sadio Kanoute achaneni nao, Yahya Zaidiiiii yule pale, fundi wa chini.

Yahya namfananisha na Seleman Matola yuleee, ama kiungo wa zamani wa Coastal Union Ally Maumba maarufu kama Over the top, au Mao Mkami Ball Dancer au yule kiungo aliyeniuma sana alipoikimbia Simba akaenda Yanga, Method Mogella 'Fundi' kwa sasa marehemu.

Yahya Zaidiiii mungu akufanyie wepesi, ulikuwa kwenye majeraha, uliwahi kwenda nje kucheza soka uliporudi hukukaa vzr lakn ss hv uko vyema, vunja hao wajinga wajinga wa kigeni, naomba ukikutana na Simba wavunje pia Babacar Sarr, Freddy, Pa Omary Jobe, Sadio Kanoute ila usimvunje Chama tafadhali, tutagombana.Ebo.
Aliyekwambia Taifa Stars wanasajiri Wachezaji ni nani...!?

Najiuliza kuhusu uelewa wako wa mambo ya Mpira.
 
Heading an content tofsuti

Kavunjika nini?

ILA we jamaa ungekua demu tungekoma

Ni full lopolopo… kwa kila ID unayotumia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom