Kwanini naipenda Jamii Forums? Sabau kuu ni hii...

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,341
51,904
KWA NINI NAIPENDA JAMII FORUM? SABABU KUU NI HII.

Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli

JamiiForums ni moja ya mtandao mkubwa hapa Tanzania ambao ninaupenda na haiwezi kupita siku bila kuingia kama nitakuwa mzima. Nilianza kuingia JF mwaka 2011 kutokana na upenzi wa kusoma Makala ndefu zenye tija. Mimi sio mpenzi wa video na picha. Ndio maana ni ngumu sana kunikuta Active Instagram au Facebook ingawaje huko pia naingiaga.

Mbali na upenzi wa kusoma maandishi ambapo ndio ilikuwa sababu kuu ya kuingia humu mara kwa mara. Lakini ipo sababu nyingine ambayo mpaka leo ndio inanidumisha kukaa humu. Sababu hiyo ndio msingi mkuu wa Robert Heriel, Mtibeli halisi kuipenda JF.

Sababu hiyo ni kuwa JF ndio Mtandao pekee ambao hautumii Anonymous user au Character au tuseme ndio Mtandao pekee hapa Tanzania ambao unatumia Watu wanaojulikana kuliko wasiojulikana.

Nampongeza Maxence Melo Kwa Kupata hii Idea ya kuanzisha mtandao wa Wanaojulikana ingawaje katika umbile la nje inaonekana kama watumiaji ni Anonymous users. Idea hii inadhihirisha kuwa Mr Maxence Melo anaakili kubwa.
Hii imetusaidia na kurahisisha sisi Watibeli kujua zaidi binadamu hasa katika nyanja ya Kisaikolojia na Sosholojia.

Taikon kama Mastermind, mwanasaikolojia na Mwanasosholojia ninakiri kuwa JF imeniongezea zaidi maarifa katika kuwajua Watu.

Taikon ninajua kuwa Huwezi ukamjua mtu akiwa dhahiri. Mtu yeyote unayemuona dhahiri huyo ni Anonymous, NI mtu usiyemjua. Lakini mtu utamjua pale atakapokuwa amejificha. Pale atakapofikiri na kujihakikishia haumwoni.

JF ninaipenda kwa sababu ninapochat na mtu ninauhûru wa kujua ninayechat naye yupo Huru. Yupo dhahiri na sio mtu asiyejulikana. Najua kuwa mtu huyu ingawaje akiwa mtaani anajipa uhusika mwingine (bandia) kuwa hawezi labda kufanya mambo fulani fulani kama kutukana na kutoa lugha chafu lakini ukija kwenye uhalisia wake unagundua kuwa ni mtukanaji mzuri sana..

JF ndio Mtandao pekee ambao wahusika wengi wao huwa katika uhalisia wao tofauti na wakiwa mazingira halisi.

Ninapokuwa JF ninajiamini kwa sababu Users ninaowasiliana nao wengi wao huonyesha their real Characters. Na Sisi kwenye Utibeli, UKWELI ni moja ya nguzo zetu muhimu sana.

Kijasusi, JF ni mtandao mzuri wa majasusi kujifunzia tabia za Watu. Ni mtàndao ambao wanafunzi wa mambo ya upelelezi na kijasusi huweza kuutumia kama Field yao.
Huwezi mpeleleza na kumjua mtu ambaye yupo dhahiri machoni pako naye anakuona dhahiri. Atakupa majibu ya uongo, atakuwa Anonymous. Lakini akiwa kajificha wakati wewe unamuona ndio unaweza kumpeleleza na kumjua kwa undani zaidi.

Kijamii, unapoishi na rafiki zako au ndugu, jamaa na majirani. Uhusika wao huwa Anonymous mkiwa wote. Lakini utakapowapa mgongo basi ndio huonyesha wao ni kina nani.

Yale ambayo hawakutaka uyasikie watasema, matendo ambayo wanataka kukufanyia watayafanya kwa kujificha na huo ndio uhalisia wao kuliko yale matendo ambayo huyafanya mkiwa Live.

Kijasusi, hapo ndipo wazo la kutumia Code Name lilipo. Code name hukusaidia kukuonyesha upande wako mwingine halisi ambao katika ulimwengu wa kawaida usingeweza kufanya.

Code name hukupa Uhuru kwako binafsi na kukupa uhuru kuwachunguza wale unaoenda kuwafanyia upelelezi.

Mtu aliyejificha huonyesha uhalisia wake kuliko yule aliyewazi. Na huo ndio msingi mkuu wa mtandao wa JF. Yaani kuwajua Watu na kuijua Jamii.
Huwezi kuwajua Watu barabarani wakiwa wamevaa nguo na wakiwa wanazungumza Live. Hao wote ni Anonymous. Watu usiowajua.
Watu utawajua pale wanapokuwa wanahisi hawaonekani. Ambapo ndio hujionyesha wao ni kina nani hasa.

Binadamu wengi husema kauli " Utanitambua vizuri" hujanijua" utanijua mimi ni nani"
Kauli hizo zinamaana kubwa zaidi.

Mahakamani, pia hujua kabisa Watu wote wanaonekana ni Anonymous. Watu wasiojulikana ingawaje kwa nje tunawaona tuu. Lakini wahusika halisi wamejificha.

Ndio maana uchunguzi na ushahidi kimahakama ni muhimu.

Mambo yaliyofanyika ufichoni ndio hubeba kwa asilimia kubwa uhalisia wa mhusika.

Unapomwona Member wa JF anatukana, au kufanya reactions zózote zile ziwe nzuri au mbaya. Hasa reactions hizo zikawa zinajirudia rudia mara kwa mara. Basi elewa hiyo ndio Character yake. Yaani huyo ndiye mwenyewe haswa.
Ingawaje akiwa nje hawezi kufanya hayo.

Mitandao mingine mtu ataogopa wazazi wake, ndugu zake, Rafiki zake, mkewe au mumewe na jamii. Hivyo mara nyingi atafake(atakuwa Anonymous) Yaani wasiyemfahamu. Lakini akija JF atajidhihirisha.

Nahitimisha kwa kusema hizo ID ambazo wengi huziita bandia ndio ID halisi kwa kiasi kikubwa. Yaani vile unavyowaona Watu walivyohumu elewa kuwa kwa asilimia 90% ndivyo wako hivyohivyo.

Mtu hawezi aka-fake wakati anajua haumwoni na humjui. Mtu ata-fake pale ambapo anajua kabisa kuna Watu wanamwona na wanamjua. Hiyo ipo Kisaikolojia.

Acha Nipumzike sasa.
Ni yule Mtibeli kutoka nyota ya Tibeli. Mastermind, Kuhani katika Hekalu Jeusi.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Well said mkuu!!

Kweli kabisa,nilivyo jf ndio Mimi halisi!!

Kama ni mzalendo,mchumia tumbo,jinga au kivyovyote vile ndivyo nilivyo!!!

Hapa tunajulikana sana kwa kina !hata wale jamaa wakitaka wanakupata TU,ni vile hatuhatarishi usalama wa jamhururi ndio maana wanatuacha tupumulie humu ndani!!

Kuna baadhi ya mambo nimewahi andika humu yakafanyiwa kazi,nilishangaa sana aiseh!mengi tu!!

Namshukuru mungu nimehusika kubadilisha eneo ninalofanyia kazi kwa kiwango kikubwa sana!

Kuna vitu nikiviona nasema !"kile niliandika jf kikafanyika "najivunia uandishi wangu!!!

Nipo nimekaa hapa,nilipokaa nimatokeo ya maandishi yangu,bila kuandika kungekua pagala la wanyama wadogo wadogo!

Mungu ibariki Tanzania,wabariki jf members,mbariki maxence melon!!
 
Mzee wa kuandika essay
 
Barikiwa Sana Mkuu
 
Naomba tafsiri ya maneno haya;
1. Mtibeli
2. Taikon
 
Back
Top Bottom