Sababu ya Waziri Bashe kukataa msaada wa mchele wa Wamarekani: Je, ni uwepo wa virutubisho, kutokuwa na utapiamlo nchini au hatuna shida ya mchele?

the power

Member
Oct 18, 2012
85
105
Nimefuatilia kwa makini clip ya Mh Bashe kuhusu suala hili. Kweli speech yake imeniacha na maswali mengi. Listerning between his wording (alivyo-paraphrase) na tone ya speech yake utajiuliza je ni ubabe? je ni overconfidence? je ni kweli tunajitosheleza? ni kiburi, je ni kweli hatuna shida?, je ni kweli hatuna utapiamlo?, je ni kweli hatuhitaji huo msaada?, au ni kweli tunahitaji huo msaada ila for sustainability reasons na kwa ajili ya medical precaution tungependa tupewe kwa namna nyingine? Hakika ni maswali yasiyo na majibu.

Kuna mtaalamu mmoja wa Theologia wa Marekani( ni padre na professor) alishawahi kusema unaweza ukawa na hoja, ila lugha uliyotumia ikaondoa mantiki nzima ya hoja yako ya msingi, pia unaweza ukawa na hoja pia na ukaweza kutumia lugha nzuri ila tone ya utoaji wa hoja hiyo ikaondoa au chafua hoja yako na mantiki kabisa. Na hilo ndilo nililoliona kwa Mh Bashe, mpangilio wa sentensi (alivyo- paraphrase hoja) na tone ya speech yake vinaleta taswira tofauti na kuondoa hoja yake ya msingi.

Watu wa kanda ya ziwa (Kagera) wanamsemo wa hatari kabisa, msemo wa kiburi mbuzi eti " Kamwe siwezi kuramba Mbwa miguu" eti " Tindamba e-mbwa magulu". Maana yake nini? hata nikiwa na shida, nikiwa na njaa, siwezi kunyenyekea ili nipate msaada ili nijikwamue. kwamba ni bora nife kuliko kunyenyekea kwa binadamu mwenye damu kama mimi. Hakika nakuhakikishia, wengi walioweza kufanikiwa kwenye maisha kuna kipindi ilibidi wawe wanyenyekevu, kiburi, majivuno , majigambo havijawahi kumuacha mtu salama.

Turudi kwenye hoja ya msingi sasa, je ni kweli hatuna utapiamlo mashuleni? je ni kweli wanafunzi hawashindi njaa mashuleni na majumbani? je sisi wazazi hatushindi njaa na kuby-pass baadhi ya milo mbali ya kuwa na mchele tele, unga kibao, maharagwe ya kumwaga masokoni na kwenye masupermarket ya kisasa kabisa kama ulaya vile. Wazungu walisema "The end justify the means". lakini watu wa program management wakaongezea " Thinking from the ends-results is key for sustainable changes and reaching the intended goal" . Sasa kuwepo kwa mpunga wa kumwaga, kuwepo kwa mchele wa kutosha, maharage ya kutosha, mahindi na udaga wa kutosha, mbogamboga za kumwaga madukani, mashambani , kwenye stoo za vyakula, masokoni ,kwenye masupermarket haimaanisha wananchi, watoto wetu wa shule wanapata vitu hivyo. kupatikana ndiyo end -results yetu, tambo nyingine ni uswaahili tu na siasa

kama wewe ni Mtanzania, kama wewe unafahamu statistics za nchi hii kwa miaka zaidi ya kumi kuhusu utapiamlo hasa kwa under fives na watoto wa shule, kama unafahamu umasikini wafamilia nyingi vijijini kwetu na jinsi ambavyo familia nyingi zimebadilisha ratiba ya kula, kutoka angalau milo 2 na kubaki na mmoja tu na kipasha tumbo asubuhi utanielewa kwa nini nakataa Tambo za Mh Bashe hata kama kuna some logic behind. Narudia tena denial will never put us free, Denial is a preliguisite to failure. Sisi ni masikini, much hatuwezi kunyenyekea ukweli ni kwamba sisi ni masikini na tutaendelea kuhitaji msaada na tunahuhitaji, jana, leo na kesho.

Leo tunapokea TRILIONS of USG funding kwenye Country multisectoral Economic Development Plans za donor mbalimbali; kwenye Kilimo (mafunzo, utafiti, umwagiliaji n.k), Upande wa Afya (mafunzo, utafiti, matibabu, hata vifaa tiba na madawa, majego etc), kwenye elimu ndio husiseme ( mafunzo, mitaalam, wataalamu etc). Hizi zote ni strategic investment kama alivyopendekeza Bashe tayari watoa misaada wa mchele huo wamekwisha wekeza huko.Sasa ukishakuwa na watoto wenye utapiamlo, imediate solution ni chakula na si porojo, it is an emergence situation, ingekuwa si sheria ya Takwimu ningeweka recent national statistics za new publication upande wa National Malaria and Nutrition Status hasa kwa watoto wenye utapiamlo kwa kila mkoa na vifo vitokanavyo na utapiamlo.

kama huo mchele wetu mzuri ungekuwepo tusingekuwa na utapiamlo, tusingekuwa na vifo vya watoto vinavyosababishwa na utapiamlo. The truth is" availability of commodities or services is not necessarily equal/equivalent to accessibility of those commodities or services (Jikumbushe tofauti ya equity and equality). Huo mradi umelenga accessibility wakati misaada yao mingine ya huyo funderer tunayembeza (USG) imelenga kuboresha availability na hapo ndipo kwenye epidermiology tunasema hawa funderers wako smart na sahihi kuinvest kwenye multiple but correlated programs which brings additive effect to each other. Accessibility inahusu vitu vingi hasahasa uchumi, locality etc na uchumi wa hizi familia za watoto wa shule hautabadilika ghafla hasa kwa siasa, mipango ya uchumi wetuna ufisadi tulionao.Leo kila mtanzania is a beneficery of USG funds either directly au indirectly. We need to watch our languages and tone on very sensitive issues like this.

Ni vizuri Kiongozi kuonyesha msimamo tena kama nchi, ni vizuri kabisa kiongozi kukataa baadhi ya misaada hatarishi lakini ni vibaya kuonyesha Tambo na kujimwambafai kwamba wewe huitaji msaada wakati una shida hiyo sana tena sana, yawezekana wewe huna shida hiyo , je umati wa masikini unaowaongoza. Sio vizuri kabisa kutumia lugha ya nenda kamwambie aliyekupatia hatuhitaji sisi msaada huu" Nafikiri tusingepungukiwa kitu kama tungetumia diplomatic language na tone nzuri kuwakilisha hoja pinzani, pia angetafuta appropriate platform kupeleka ujumbe kwa watoa fedha, kwani ni haohao wametusaidia kwenye sector nyingi na kwa cheo chake ingekuwa rahisi kabisa. Rudia maeneo na kiasi cha USG funds kwa mwaka tu, ndugu msomaji leo hii USG fund zikikatika tu at least asilimia zaidi ya 20% ya quality ya health services across different disease conditions zitapungua, tena kwa naadhi ya magojwa kama HIV/AIDS asilimia zaidi ya 35% ya huduma hii (upimaji, madawa etc)itapungua. Mbona chanjo, madawa, vifaa tiba ni eneo hatarishi kudhuru maisha yetu kuliko hata mchele ulioboreshwa.

Najua kuna watakao nibeza kwamba hatutaki ujinga sisi watanzania, huwezi ukawa ombaomba au kukubali misaada ya masharti, nikweli kabisa lakini big brain zinakuambia siku zote angalia sana EGO zetu na epuka gradious zetu zisiaffect our responses, most importantly our decision making. Sasa kama ni virutubisho kwenye mchele, kwa taarifa tu vyakula karibu vyote kwao marekani ni inorganic tokana na genetic technologies ilivyopamba moto na vimekuwa enhanced kuongeza nutrition components, it is not a big issues kwao, purely-organic food ni chache sana na aghali kwelikweli. Mbona leo angalia vyakula vyetu hasa hasa mahindi yetu, angalia mananasi yetu, angalia maembe yetu, sio yale ya zamani, inamaana Mh Bashe hajui yameisha fanyiwa genetic engeering huko SUA, je anajua mbegu za mazao yetu zinatoka wapi? na je process hiyo hajui inaongeza au kupunguza virutubisho pia.

Ifike mahali tuache sizitaki mbivu hizi, tuwe wapole tukishajikwamua ndipo tusimame na kusema hatutaki. Please I should declare mimi sina interest yeyote na donor huyu, ila sijapenda hizi Tambo wakati nafahamu njaa na umasikini wetu, wewe unaweza kuwa uko fresh ila ukweli uko palepale. Nafahamu misaada mingi ya huyu donor na manufaa kwa wanyonge. Hujawahi kujiuliza kwa nini funds hizi zinaelekezwa kwa walengwa wenyewe; hii ni mada nyingine.
 
Wasikilizaji wa Radio Iman nao wamekuja juu wakisema ole wao atakaye walisha watoto wao huo mchele

Maswali yako ungewauliza ombaomba walioomba.
Umeanza kuvimbiwa mpaka unaita watoto wa masikini wa nchi hii ombaomba na kuwakejeli ilhali watoto wanakufa kwa utapiamlo? Swali langu ni moja tu, nyie mnaopinga msaada huu mmewahi kuwasaidia wanafunzi au majirani wangapi huo mchele wa Kyela? Ni nyumba ngapi nchi hii wana uhakika wa walau milo mitatu kwa siku?
 
Hao walioomba mchele Marekani ni ombaomba tu.

Tanzania tuna chakula cha ziada mwaka huu.
 
Kwa hili nakubaliana na Bashe kipo kitu anakijua na inawezekana matatizo yasitokee katika kipindi kifupi kama tunavyopenda kuona ila ni kwa muda mrefu wote tunaweza kuwa tumeshahau ila tutakumbuka kuwalaumu waliosababisha.
mkumbuke kunakipindi watoto wa kike walizaliwa wengi na watu wakalaumu mahindi na unga wa ngano na wengi tunakumbuka wale tuliokuwepo.
kwaanini wasitupe pesa tununue mahindi na mchele wetu wenyewe kwa ajili ya shule zetu kama kweli hakuna ajenda?
wengine mtatukana lakini kwa kuwa tunawaamini mno wazungu wakati Mwingine kuzidi MUNGU lakini sikuzote kumbukeni WASIWASI ni AKILI pia.
 
Ningeshangaa sana na ingekua ni aibu sana kwa Tanzania kuwa omba omba wakati Nchi haina tatizo lolote huo mchele wapeleke Ukanda wa Gaza na Haiti huko sip kutuletea huku...
 
Udini tu unamsumbua jamaa.
 
Wasikilizaji wa Radio Iman nao wamekuja juu wakisema ole wao atakaye walisha watoto wao huo mchele

Hamna kitu watafanya, watz mdomo wanao sana vitendo 0
 
Walete msaada mwingine lakini si kwa namna hiyo kwani chakula tunacho cha kutosha na hatujawaomba msaada wa namna hiyo.

Waziri kafanya jambo zuri kuukataa msaada huyo . Wasije wakatuchanganyia na virutubisho vya ushoga.
 
Watuletee na nyama ya ng'ombe, haiwezekani kununua kilo ya nyama elfu kumi, kwanza wana chinja wanyama wazee, nyama ngumu sana, wamekuza soko la njiti bila sababu, huna stiki huuzi supu
 
Kwa hili nakubaliana na Bashe kipo kitu anakijua na inawezekana matatizo yasitokee katika kipindi kifupi kama tunavyopenda kuona ila ni kwa muda mrefu wote tunaweza kuwa tumeshahau ila tutakumbuka kuwalaumu waliosababisha.
mkumbuke kunakipindi watoto wa kike walizaliwa wengi na watu wakalaumu mahindi na unga wa ngano na wengi tunakumbuka wale tuliokuwepo.
kwaanini wasitupe pesa tununue mahindi na mchele wetu wenyewe kwa ajili ya shule zetu kama kweli hakuna ajenda?
wengine mtatukana lakini kwa kuwa tunawaamini mno wazungu wakati Mwingine kuzidi MUNGU lakini sikuzote kumbukeni WASIWASI ni AKILI pia.
Elimu ya Tanzania imezalisha watu wajinga sijawahi kuona. Hivi wewe bila hao wazungu ungekuwa hai sasa hivi? Hivi wakisema kuanzia leo kila mtu ajifungie kwake, hakuna kuuziana, hujui hata hiyo simu unayoandikia ujinga kama huu hutakuwa nayo?
 
Ningeshangaa sana na ingekua ni aibu sana kwa Tanzania kuwa omba omba wakati Nchi haina tatizo lolote huo mchele wapeleke Ukanda wa Gaza na Haiti huko sip kutuletea huku...
Mkuu una uhakika nchi haina tatizo lolote la chakula au ni ule msemo wa ashibae hamjui mwenye njaa? Mimi huwa natembelea sana vijijini na ukifika huko utaona watu wenye shinda ambazo wala hukudhania kama kuna binadamu wanazo. Siyo vijijini tu hata hapo Dar kuna watu wenye shinda kuu. Nakuhakikishia huo mchele ukiletwa leo, watu watagombania na hata kuuana ili tu wapte hata kilo moja. Busara ni uletwe na kama kuna watu wenye uhitaji wachukuwe.
 
Umeanza kuvimbiwa mpaka unaita watoto wa masikini wa nchi hii ombaomba na kuwakejeli ilhali watoto wanakufa kwa utapiamlo? Swali langu ni moja tu, nyie mnaopinga msaada huu mmewahi kuwasaidia wanafunzi au majirani wangapi huo mchele wa Kyela? Ni nyumba ngapi nchi hii wana uhakika wa walau milo mitatu kwa siku?
Tunawasaidia ili iweje? Kwani hawajitoshelezi? Serikali imeshashindwa kuwalisha?
 
Back
Top Bottom