sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. Surya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu ya kuendelea kuwa na rafiki huyu wa kike imepotea kabisa

    Nisiseme jambo lolote nje ya mada yangu acha niende moja kwa moja kwenye tukio lenyewe.. nitaeleza sifa baadhi za msichana mwenyewe na mahusiano yetu yalivyo. Huyu msichana ni jirani yangu wa miaka mingi tu, sikua na ukarbu nae sana hapo nyuma lakini pia nina share nae marafik baadhi wa kiume...
  2. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sitampa kura yangu Dkt. Magufuli kwa sababu hii 'kubwa'

    Sina haja ya kusubiri kampeni zianze ili nishawishike. Sina haja ya kuuficha ukweli huu. Mwaka 2015, nilimsambaratisha Lowassa na kumpigia kura mgombea wa CCM yangu Dr.John P. Magufuli. Baada ya miaka yake mitano madarakani, nimekata shauri kuwa SITAMPIGIA KURA. Kupiga au kutopiga kura kwa...
  3. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Kipigo alichopewa Aikande Clement Kwayu toka kwa watanzania sababu ya utafiti wake bandia hatakisahau

    Aliandika maoni yake akayaita utafiti akarusha mitandaoni na watanzania wakamjibu vizuri sana nahisi sasa atajua watanzania wa sasa si wale aliowaacha alipoenda ughaibuni. Kichwa cha habari na mambo aliyoyapa kipaumbele zaidi ya 85% kwenye andiko lake hayahusiani na kichwa cha habari yake...
  4. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Watanzania hawamchukii Magufuli, wanaichukia CCM kwa sababu ya rushwa kukithiri

    Chama changu kinachukiwa na wananchi kutokana na kukithiri kwa vitendo vya rushwa kukithiri. Wananchi wanahisi kubadili chama huenda ndio suluhisho la maisha bora kwao. Pamoja na ukali wa Mwenyekiti wetu wa chama taifa kuhusu Rushwa, lakini kwa sasa Rushwa ndio kwanza inazaliwa CCM. Sisi...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Hii inaweza kuwa sababu mojawapo kwanini Graduates wengi wanakosa ajira au kushindwa Interview

    Aliyeandika taarifa hii ni kiongozi wa serikali ya wanafunzi UDOM.
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu 11 kwanini Lissu atapata ushindi wa asilimia ndogo kuliko wote tangu 1995

    1: JPM anamengi yakuonekana aliyofanya kwa wananchi Lissu hata jimbo lake tu hakuna chochote cha kuonyesha. 2: Kila vita anayoingia JPM anapata ushindi au nusu ushindi (MAKINIKIA) wa kugusika, Lissu ni nusu ushindi au ushindi wa maneno. 3: Lissu amejipanga kutumia tuhuma kujinadi wakati JPM...
  7. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa hatuna hati miliki kwa sababu tume "copy" toka ANC, na haupo kwenye Sheria na Katiba yetu. Tumeazima

    Wimbo wetu wa Taifa umetokana na wimbo Nkosi Sikeleli Afrika uliotungwa 1897 na Enoch Sontonga (msauzi) kama wimbo wa ANC Umetoholewa kuwa wimbo wa Taifa wa Zambia, Zimbabwe, Namibia na Tanzania. Sisi wenyewe tumebadili maneno ya wimbo na copyright si yetu 😁
  8. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu kuu ya Lissu kushindwa, asilimia 80 ya Watanzania wanaishi Vijijini hawamjui Lissu ni nani, Magufuli anajulikana kila kona Vijijini

    CHADEMA wamekuwa wakijipa matumaini hewa kuhusu mgombea wao Lissu kushinda wakisema yuko popular sana. Wakisema wanalalia mtaji wa kura za 2015 ambapo Lowasa alipata kura milioni sita. Kitu kimoja wanasahau Lowassa alikuwa Waziri Mkuu muda mrefu na Waziri aliyejulikana sana vijijini ambako...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtihani mkubwa ulio mbele ya CHADEMA ni kupata fedha za kampeni za Urais. Chama hakina fedha na Mgombea hana fedha

    Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana. Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA. Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya...
  10. Dam55

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuacha kazi kwa sababu Kama hii!( Kisa mke wa Boss).

    Hii nimeikuta sehemu fulani huko, hivi Kama ni wewe unaweza kuacha kazi kwa sababu Kama hii. Kiukweli ningekuwa mimi hii kwangu ingekuwa ni fursa kazi na dawa. 🤣 🤣 !!
  11. Duduvwili

    JamiiForums Tanzania Makonda akabidhi ofisi kwa RC Kunenge, adai ofisi hiyo ina majungu mengi

    Wakuu Shalom naona mubashara hapa RC Matata Bwana Makonda akidai kua anafurahia sana kwenda kumtunza Mwanae na kwamba hajapoteza lolote na amedai70% ya wananchi wa Dar ni wambea uzi tayari ntazidi kuwajuza. ======= NISAMEHENI NILIPOENDA KINYUME NA MAPENZI YENU. MAADAMU YESU NINAYE, MUSIWE NA...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge walioshindwa kuongoza kura za maoni ni wazembe kwa sababu ya ubahili

    Mtu unatoka bungeni ukiwa umekamilika na mzigo wako wa 200m+ kibindoni halafu kwenye kura za maoni unakuwa namba 3 huo ni uzembe uliotukuka. Hata sheria na kanuni zitakucheka. Maendeleo hayana vyama!
  13. Alex Fredrick

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wakenya Wasiwasumbue

    NARUDIA TENA :- WATANZANIA WAKENYA WASIWASUMBUE. Na Thadei Ole Mushi. Wiki hii toka jumatatu joto la kidiplomasia Kati yetu na Kenya limepanda Kiasi. Joto hili linasababishwa na vurugu za ugonjwa wa Corona. Nimejaribu kwa kiasi kuwaonyesha watanzania sababu za kuendelea kukataa mchezo wa...
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu za Kenya kupigania sana suala la Afrika kufunguliana

    Imebainika Kenya itakua ya tatu Afrika kunufaika kutokana na kufunguliana kwa Afrika, huu ndio umuhimu wa kuwa na watu wenye hulka ya kujituma na ujasiri wa kutoka. Afrika inabadilika, Afrika mpya isiyo ya taswira ya kuomba omba, ila Afrika ya biashara na viwanda, japo kuna baadhi wamenunia...
  15. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Udikteta na ukandamizaji haki wa Serikali za vyama kongwe vinavyotawala hadi leo. Sababu...

    Mifano ni mingi lakini chukulia chukulia mifano ya hivi vyama na inchi husika hapa chini . 1. CPDM cha Cameroon 2. CCM cha Tanzania 3. ZANUPF cha Zimbabwe 4. Frelimo cha msumbiji 5. PDG huko garbon Utagundua kwamba inchi zote tajwa hapo juu serikali zao zinaongozwa na vyama kongwe vilivyopokea...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

    Wanabodi, Kumbe sababu ya kifo cha Mpendwa wetu, Benjamin William Mkapa ni Cardiac Arrest!. Asante sana Mwanafamilia wa familia ya Mkapa, William Erio, kuusema ukweli huu na kumaliza rasmi ile sintofahamu ya chanzo cha kifo, ambayo imezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF. Kama...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini sababu mwanamme kuwa na marafiki wengi wa kike kuliko wa kiume?

    Katika hali isiyo ya kawaida wapo wanaume ambao hupata marafiki wengi wa kike kirahisi kuliko wa kiume. Nini sababu? Ingia kwenye hoja dondosha jibu lako
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani Tanzania kuendelea kuwa na wabunge wa viti maalum?

    Nchi masikini kama Tanzania ambazo zaidi ya 40% ya mapato yake ya kuendeshea serikali yanatokana na mikopo na misaada, zina idadi kubwa sana ya baraza la mawaziri pamoja na bunge. Kuna kipindi Tanzania tuliwahi kua na baraza la Mawaziri zaidi 60. Hoja yangu ni kwamba, kwa nini bado tunaendelea...
  19. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni ipi sababu kubwa ya ongezeko la singo maza kwa sasa?

    Natumai hamjambo wanabodi. Miaka ya sasa kumekuwa na ongezeko kubwa sana la singo maza mitaani, je sababu kubwa ya ongezeko hili hasa ni ipi kati ya zifuatazo: 1. Malezi mabovu ya wazazi wa sasa 2. Utandawazi 3. Kizazi cha sasa ndo kilivyo karibu tujadili
  20. S

    JamiiForums Tanzania Hii ni moja ya sababu kwanini CCM hii na serikali yake wanapaswa kuondolewa madarakani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu

    POLICE WAKAMATA WANACHAMA WA ACT WAZALENDO MASASI Ziara ya mwenyekiti wa ACT WAZALENDO ndugu Maalim Seifu Sharifu Hamad leo alifika Masasi na kufanya kikao cha ndani mara baada ya kuondoka ukumbini hapo police walivamia na kukamata wanachama na viongozi 14 pamoja na mtoto-ACT Wazalendo on...
Back
Top Bottom