Si kwamba napinga ila Nisaidieni kwa kina, Ni ipi sababu ya msingi ya mshahara wa mbunge kuwa mil 18?

1: Hadhi ya nafasi ya ubunge ?

2: Ugumu wa kazi Ya ubunge?

3: Ndani ya mshahara huo ina inlude na transport na accomodatuon costs za kwenda jimboni na kurudi mjengoni?

4:????

Karibuni.
ndrugu zango kazi ya uwakilishi wa wananchi ni ngumu sana ila inawezekana kufanyika πŸ’

kujadili mambo makubwa, muhimu na mazito sana ya mustakabali mpana wa Mama Tanzania na waTanzania wote sio lele mama.

Inahitaji kuwezeshwa vema, kutulizwa vizuri kifikra na kiakili, kwa hali na mali ili kupata nguvu zaidi na uwezo wa kufikiri viwe imara zaidi na bila kuchoka haraka πŸ’

kuwafikia wanainchi zaid ya kata pungufu kidogo ya 30 sio kazi ndogo ndugu zangu. wananchi binafsi wana matatizo makubwa Lazima wasaidiwe kibinafsi, achila mbali yale ya jumla ambayo hutoi pesa moja kwa moja mfukoni πŸ’

kuhudhuria vikao vya kamati, kuhudhuria semina, warsha, makongamano mbalimbali, mikutano ya hadhara, kukagua miradi ya maendeleo, kuhudhuria na kuchangia Harambe, mambo ya Furaha na huzuni, kuitegemeza familia, kusomesha watoto na wanainchi n.kπŸ’

walau kikifika m35 au 40 ndipo angalau kinaweza kutosheleza mahitaji,sio yote, kwa kiasi fulani tu. Bado tupo chini sana πŸ’
 
ndrugu zango kazi ya uwakilishi wa wananchi ni ngumu sana ila inawezekana kufanyika

kujadili mambo makubwa, muhimu na mazito sana ya mustakabali mpana wa Mama Tanzania na waTanzania wote sio lele mama.

Inahitaji kuwezeshwa vema, kutulizwa vizuri kifikra na kiakili, kwa hali na mali ili kupata nguvu zaidi na uwezo wa kufikiri viwe imara zaidi na bila kuchoka haraka

kuwafikia wanainchi zaid ya kata pungufu kidogo ya 30 sio kazi ndogo ndugu zangu. wananchi binafsi wana matatizo makubwa Lazima wasaidiwe kibinafsi, achila mbali yale ya jumla ambayo hutoi pesa moja kwa moja mfukoni

kuhudhuria vikao vya kamati, kuhudhuria semina, warsha, makongamano mbalimbali, mikutano ya hadhara, kukagua miradi ya maendeleo, kuhudhuria na kuchangia Harambe, mambo ya Furaha na huzuni, kuitegemeza familia, kusomesha watoto na wanainchi n.k

walau kikifika m35 au 40 ndipo angalau kinaweza kutosheleza mahitaji,sio yote, kwa kiasi fulani tu. Bado tupo chini sana
Nikifungulia nakuja kukutukana
 
ndrugu zango kazi ya uwakilishi wa wananchi ni ngumu sana ila inawezekana kufanyika πŸ’

kujadili mambo makubwa, muhimu na mazito sana ya mustakabali mpana wa Mama Tanzania na waTanzania wote sio lele mama.

Inahitaji kuwezeshwa vema, kutulizwa vizuri kifikra na kiakili, kwa hali na mali ili kupata nguvu zaidi na uwezo wa kufikiri viwe imara zaidi na bila kuchoka haraka πŸ’

kuwafikia wanainchi zaid ya kata pungufu kidogo ya 30 sio kazi ndogo ndugu zangu. wananchi binafsi wana matatizo makubwa Lazima wasaidiwe kibinafsi, achila mbali yale ya jumla ambayo hutoi pesa moja kwa moja mfukoni πŸ’

kuhudhuria vikao vya kamati, kuhudhuria semina, warsha, makongamano mbalimbali, mikutano ya hadhara, kukagua miradi ya maendeleo, kuhudhuria na kuchangia Harambe, mambo ya Furaha na huzuni, kuitegemeza familia, kusomesha watoto na wanainchi n.kπŸ’

walau kikifika m35 au 40 ndipo angalau kinaweza kutosheleza mahitaji,sio yote, kwa kiasi fulani tu. Bado tupo chini sana πŸ’
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Linganisha na kazi wanazofanya walimu,madaktari, mainjinia nk
 
Katka yote uliyo taja ni ipi hasa kazi ya mbunge ambayo imeanishwa kikatiba?
 
kazi ya uwakilishi mjengoni huwezi linganisha na kazi nyingine yoyote hata kidogo πŸ’

mustakabali mwema wa Taifa unaanzia pale mjengoni πŸ’

si hivyo tu,
ni kazi ambayo ukitoka kazini mjengoni unaenda kazini jimboni kwa wananchi na huna namna ya kutegea wala kukwepa, huna likizo wala mapumziko. ni kazi kazi tu πŸ’

nadhani kuna haja maslahi kwa wawakilishi yakatazamwa vizuri walau kufikia hapo kwenye 35 au 40m kama ambavyo nimependekeza kwenye hoja yangu ya awali πŸ’
 
1: Hadhi ya nafasi ya ubunge ?

2: Ugumu wa kazi Ya ubunge?

3: Ndani ya mshahara huo ina inlude na transport na accomodatuon costs za kwenda jimboni na kurudi mjengoni?

4:????

Karibuni.

Ngoja tusubiri wapinnzani waingie bungeni labda safari hii watakomaa huo mshahara ushushwe japo kufanana fanana na madaktari ...
 
Katka yote uliyo taja ni ipi hasa kazi ya mbunge ambayo imeanishwa kikatiba?
sasa wewe unahitaji darasa na shule pana, juu ya majukumu na kazi za wawakilishi wa wanainchi pale mjengoni kikatiba, and that ni lesson for other day ingawa ni vitu ambavyo viko wazi na bayana sana πŸ’

sasa leo, muungwana hapo juu amehitaji tu kufahamu, tena amekua muungwana kweli kwamba, si kwa ubaya lakini ni sababu ipi imefanya watunga sheria kulipwa salary ya 18mπŸ’

na binafsi yangu nimekwisha toa maoni yangu tayari, na labda kuongeza tu kidogo hata gharama za chakula, malazi na makazi pale Dodoma zinabadilika kwa kuongezeka kila kipindi bunge linapoitishwa na kwahivyo kukawa na ulazima wa kuzingatiwa kwa hali hiyo πŸ’

haiwezekani mtunga sheria anaingia mjengoni, ana njaa au nanafikiria ada ya mtoto wake shule au kodi ya pango au malazi hotelini au wanainchi jimboni halafu akachangia hoja vizuri πŸ’

lazima umtegemeze mtu huyu kwa hali na mali ili afikiri na kuamua vema mustakabali wa Taifa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote πŸ’
 
Back
Top Bottom