sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Kama sio SYNDICATES za utumwa wa kileo basi ni USHIRIKINA, sababu ya watoto kuibiwa.

    Kuna kipindi kulitokea janga la uchunaji wa ngozi za binadamu. Likaja janga la kutolewa viungo vya mwili kwa ndungu zetu wenye albinism. Sasa ni kuna taharuki kuhusu uibaji wa watoto. Ingawa jeshi la polisi lime downplay taharuki hii kusema ni za kizushi ila bado pia inatakiwa tuwe makini kwa...
  2. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Sababu Kanda ya Ziwa kuwa kinara wizi wa watoto

    Mnatia aibu kina Ngosa madhara ya kudharau elimu ndio haya mnatia aibu taifa letu. Najua itawagusa lakini huo ndio ukweli watani zangu Acheni ujinga huu mungu amewapa utajiri wa asili utumieni ila shule nayo ni muhimu sana Chanzo cha kichwa cha habari ni gazeti la mwananchi la leo
  3. BigTall

    JamiiForums Muhimbili mnazo sababu zipi zenye mantiki zaidi, zinazowafanya muendelee kuziacha CCTV-camera kwenye vyoo?

    Siku kadhaa zilizopita tutakumbuka hapa jukwaani lililetwa dokezo na mdau kuhusiana na hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufunga CCTV-camera kwenye vyoo kiume, suala ambalo pia lilichapishwa hadi kwenye kurasa rasmi za #Jamiiforums ikiwemo Facebook, Instagram na X. Kati ya hoja zilizobainishwa...
  4. L

    JamiiForums TFF imemfungulia Haji Manara kwa sababu ya uoga tu

    Haji Manara, semaji la Yanga lilifungiwa kujihusisha na masuala ya soka na likapigwa faini kwa utovu wa adabu. Hata hivyo, licha ya kufungiwa, Manara aliendelea kujihusisha na mchezo wa soka kama kawaida huku akiendelea kuwatukana viongozi wa TFF. Aliendelea kufanya yote aliyoweza kufanya bila...
  5. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Simba na Yanga ni taasisi ,Wawekezaji wanaweza vuna pesa za kutosha kwa sababu ya Ujinga wa wanachama na mashabiki.

    Mimi binagisi ni Yanga, Ila nimekaa chini nikatafakari sana nikagundua Magoma ana point, Magoma sio kichaaa, shida kuu iko kwa wanachama na Mashabiki na hii pia iko Simba. Yanga na Simba ili hawa wawekezaji wapige pesa hadi washindwe kubeba na mtu asiwaulize chochote wawekeze tu kwanye timu...
  6. W

    JamiiForums Ni kitu gani ulikuwa unakipenda lakini ulilazimika kukiacha kwa sababu ya hali yako ya Kiuchumi?

    Nilivyoanza kazi bwana kila weekend utanikuta kwenye expensive restaurants naenda pale kufanya kazi na kujaribu news dishes as a way ya kujipongeza baada ya wiki nzima kuwa kazini. Wee baada ya utu uzima kuhit vizuri na familia yangu kuona naweza kujitegea mambo yakageuka yaani sasa hiv hakuna...
  7. Aliko Musa

    JamiiForums Sababu 20 Kwanini Unatakiwa Kumiliki Nyumba Ya Kupangisha Kwa Kuzingatia Mahitaji Ya Soko Mahalia

    Kujenga nyumba ya kupangisha kulingana na mahitaji ya soko la mtaa husika ni mbinu bora inayoweza kuleta mafanikio makubwa katika uwekezaji wa mali isiyohamishika. Hapa chini kuna sababu 20 za kwa nini unapaswa kuzingatia mahitaji ya soko la mtaa husika wakati wa kujenga nyumba za kupangisha...
  8. Morning_star

    JamiiForums Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.

    Wazungu pamoja na kuwabagua na kuwanyanyapaa watu weusi kwasababu ya rangi ya ngozi yao! Sasa hivi waangalie walivyojichora "tattoo" na miili yao kuwa myeusi kama mkaa! Ebu tupia hapa picha inayoonyesha jinsi wazungu walivyoharibu miili yao kwa tattoo 1 Wakorintho 1:25 [25]Kwa sababu upumbavu...
  9. Nehemia Kilave

    JamiiForums Nadhani hizi ndizo sababu za ukatili kutoka kwa wadada wa kazi , Tuwaelewe na tuwasaidie

    Hebu tulia kama dakika tatu fikiri kwamba una binti yako ambae kiumri bado ana hitaji malezi kutoka kwako unamtoa kwenda kufanya kazi za ndani kwenye familia nyingine . Nadhani kuna ugumu fulani labda kuwe na sababu inayo kulazimu kama hasa hali mbaya ya kimaisha/kiuchumi . Sasa uwaze...
  10. SteveMollel

    JamiiForums Tajiri aliyemuua mwanaye ili abaki na mkewe

    Daniel alifanikiwa kuuona mwaka mpya lakini hakumaliza hata robo ya siku katika mwaka huo. Ikiwa ni alfajiri ya saa kumi na moja, siku ya Ijumaa ya tarehe 1 January 2021, Dan alikuwa njiani kuelekea nyumbani kwake akitokea Club Tent ambapo alikuwa anasheherekea 'kuuona mwaka mpya'. Ndani ya...
  11. matunduizi

    JamiiForums Wanaoanguka kanisani ni wanaopenda, wapiga picha na mabodigadi hawaanguki kwa sababu hawataki

    Katika kuperuzi huku na kule nimekutana na usahili wa huyu bingwa Kiboko ya Wachawi na mwandishi mmoja. Anaulizwa mbona mabodigadi, wapiga picha na vinanda hawaanguki kama wale waumini anasema ni kwa sababu hawataki kuanguka, hata waumini wakitaka wanaweza kutoanguka. Ni jambo la hiyari ya mtu...
  12. Baba jayaron

    JamiiForums Sababu zinazoweza kumfanya mwanamke asikuache kirahisi

    Mambo vip, Nataka niende straight kwa point, Iko hivi nimekua na changamoto ya kutokuachwa kirahisi na mademu zangu kiasi ambacho washkaji wananiulizaga ni mbinu gani natumia mpaka huaga siachiki kirahisi na wanaokua wapenzi wangu hata kama wakijua natoka na wnawake wengine?? Kwanza nataka...
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Misiba imeshika hatamu sababu kubwa zifuatazo chukua katahadhari

    Sisi wote binadamu Tubadilishane uzoefu mambo yafuatayo yanachukua watu zetu easy 1. Ajali, za magari, mitambo, umeme, gas,moto. 2. Pressure hio ndo zaidi 3. Mahoma homa ya maini na figo yamekuwa mengi. 4. Uwizi 5. Ugomvi wa wivu wa kimapenzi.
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Viongozi wenye kutisha watu majukwaani hawamalizagi round kwa sababu wana akili ndogo za kutawala. Simba mwendapole ndiye Mla nyama

    VIONGOZI WENYE KUTISHA WATU MAJUKWAANI HAWAMALIZAGI ROUND KWA SABABU WANA AKILI NDOGO ZA KUTAWALA. SIMBA MWENDAPOLE NDIYE MLA NYAMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Najua ipo siku utajikuta ni mtawala au kiongozi. Ikiwa itatokea hivyo basi nisikilize Mimi Mtibeli alafu utakuja kunishukuru...
  15. Kaka yake shetani

    JamiiForums 1998 sitosahau vituo vya polisi vilivyojaza watu bila sababu mpaka FBI walipokuja na kumpata wanayemshuku

    Mwaka 1998 nakumbuka nilikuwa nipo maeneo ya Kijitonyama mida ya saa 4 asubuhi hivi siku ya Ijumaa kama nitakuwa nakosea na ndio mara yangu ya kwanza kusikia bomu likilindima mpaka kutingisha ardhi. Tuja kaa vizuri redio na tv zinaanza kutangazia umma kuwa kuna shambulio limetokea ubalozini mwa...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Je, ni kweli Makonda aliacha vita ya ushoga kwa sababu hii anayoisema maalim

    Maalim anasema Makonda aliacha harakati za kupinga ushoga kwa sababu ya mashoga kuanza kuwataja mabasha wao ambao hali ilikuwa mbaya. Je ni kweli?
  17. Bob Manson

    JamiiForums Ni zipi sababu za matumizi ya kokoto katika ujenzi wa reli?

    Habari za wakati huu wanajukwaa Naomba mnitoe ushamba na mtujuze kwa wale ambao hatufaham ni sababu zipi za kiufundi hupelekea matumizi ya kokoto katika ujenzi wa njia za reli.
  18. L

    JamiiForums Ushauri wangu kwa wanajamiiforums mnaotukana na kudhalilisha wenzenu bila sababu kisa Footbal

    Every body is entitled to freedom of expression, this is a constitutional rights.Ipo kwenye Bill of Rights. Kutoa maoni ni haki ambayo nobody huwezi kuichukua, ndio maana Rais anavumilia watu wakimkosoa na wengine wakimkejeli. Mtu anapotoa mawazo yake sio lazima ww uyakubali au uyapende...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Njia gani nzuri ili Tajiri ayachukulie kwa uzito mambo unayomshauri pengine huwa anayasahau kwa sababu ya ana mambo mengi

    Labda nielezee Kwa mfano ili nieleweke. Kwa mfano unafanya kazi katika kiwanda au kampuni na wewe ni kibarua tu means huonani sana na management ya juu na kila linaondelea juu hujui wala huhusiki tu kwenye mipango yoyote. Hujui uhusiano wao Kwa wao hujui wanayoyasema. Sasa nyie vibarua kuna...
  20. Z

    JamiiForums Wakenya watu wa ajabu sana aisee .unaharibu nchi yako kwa sababu ya Kodi?

    https://youtu.be/MJapGEmItUY?si=-VeOmElPPZE7ppPd Yani unaharibu mali za watu ,unachoma ndege ,unachoma ofisi za bunge ,nk Kwa sababu Kodi? Kwa namna navyo waona si Dhani kama ni afya kuwa nao kama nchi Moja huko mbele kwenye maswala ya EAC
Back
Top Bottom