ramani

  1. R

    Millard Ayo kashapotea kwenye ramani ya vyombo vya habari kwa sababu ya siasa zisizotaka usawa

    Kijana huyu nilidhani atafika mbali lakini kwa sasa naamini kazi anazofanya ni zile za kutegemea wanasiasa walipe. Changamoto ya kazi hizi ni kwamba unafanya kazi kubwa ujira kidogo na wakati mwingine mikopo. Alipokuwa neutral kwenye online TV alipata wafuasi na mafanikio yakaonekana. Soon...
  2. MK254

    Ramani: Mataifa yenye uhusiano mzuri na Israel

    Huku mataifa yanayoongozwa na chuki za kidini yakitaka Wayahudi wauawe na Israel ifutwe kwenye ramani ya dunia, kuna idadi kubwa sana ya mataifa yanayotambua haki ya Wayahudi kuishi dunia hii. Kuna machache yamesitisha uhusiano kama mbinu ya kulalamika kwa jinsi Israel inatembeza kichapo pale...
  3. MK254

    Picha: Hii ramani inatumika sana kueneza uwongo wa mashabiki wa magaidi ya HAMAS humu

    Ramani ya kwanza inayotumika kueneza uwongo, ila ramani ya pili ndio yenye uhalsia
  4. mgt software

    Mkuu wa Mkoa Kagera Bi. FATUMA agundua uozo mkubwa, Mbunge BKb Mjini na Meya wakalia kuti Kavu, waanzisha ujenzi Bila Ramani

    Wana JF Kagera imepata mwarobaini wa matatizo makubwa waliyokuwa wanayapata kwa muda mrefu. Mkuu wa mkoa kagera afichua uozo hatari uliokuwa unaendeshwa chini chini na genge la wahuni kuhujumu miradi mbali mbali ya maendeleo. Nisikuchoshe sana hii hapa hotuba kali ya mkuu wa mkoa pamoja na...
  5. Mlatino Zeshalo

    Ramani ya nyumba ya jirani yangu nimeipenda

    Ndugu wanajamvi, habari za majukumu? Kuna mchoro wa ramani ya nyumba ya jirani yangu nimeupenda sana. Vipi nikihamishia huo mchoro site kwangu haitaleta noma?
  6. Meneja Wa Makampuni

    Graduate wa chuo, tafuta documents zifuatazo omba passport ya kusafiria nenda Ulaya ukapate ramani ya maisha yako

    Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha. Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha yako, unahitaji kuwa na nyaraka sahihi zinazohitajika wakati wa kuomba pasipoti ya kusafiria. Hizi...
  7. MrWings

    Hey naombeni ramani ya kufika maeneo haya nakuja Dar Jumatatu

    Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe. Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale. Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara)...
  8. L

    Naomba mtu mwenye ramani ya nyumba ya kisasa vyumba 4

    Kama una ramani yenye vipimo tupia ndugu ,na mimi nianze project mdogo mdogo,Hela ya soda haukosi,barikiwa sana
  9. 2Laws

    SoC03 Tazama ramani utaona nchi nzuri

    "Tazama ramani utaona nchi nzuri Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri, Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania..." Ningetamani kuimba hata mwisho lakini wengi tunaufahamu na tumewahi imba. Ila nilikisudia tuvute taswira na kuyatafakari maneno ya wimbo huu...
  10. MK254

    Ramani: ilivyokua wakati Urusi inaparamia, na ilivyo sasa Urusi inajitetea

    Ramani ya kushoto ni kipindi Urusi ilikua imeingiwa na mzuka wa balaa, na kujitutumua kuiparamia nchi ya watu, tulishuhudia mengi sana ikiwemo limsafara kuliwa na wabeba javelin, sasa Urusi imenywea ni hii hapa tunaiona ipo kwenye kujitetea au defensive, wanaendelea kurudishwa nyuma hatua kwa...
  11. G

    Naomba ushauri kwa ramani hii

    Wakuu, Ni matumaini yangu mpo bukhery. Naombeni msaada wenu hapa kwenye haka karamani. Target yangu ilikua ni kutumia tofali range ya 3200-3600 .... Sasa nimeambiwa tofali 4300 kichwa kinawaka moto. Msaada wenu wakuu.
  12. Kimbesa11

    Ofisi mpya ya CHADEMA na ramani tuliyooneshwa vinakinzana sana

    Miezi kadhaa iliyopita tulionyeshwa ramani ya jengo la gorofa wakidai ndiyo itakuwa Ofisi mpya ya CHADEMA. Juzi hapa vyombo vya habari vimeonyesha jengo tofauti kabisa na Ramani ambayo CHADEMA wangejenga, mbaya zaidi jengo linaonekana Kama ni used kwa kuangalia ukubwa wa miti na maua...
  13. Jeremy Geoks

    Ramani za nyumba (majengo) pamoja na ujenzi

    Ramani ya Ukumbi/Venue Unauwezo wa kuhudumia watu 400 Pia Tunatoa huduma zifuatazo ◇RAMANI NA UJENZI ◇KUFATILIA VIBALI VYA UJENZI ◇KUANDAA GHARAMA ZA UJENZI (BOQ) ◇USIMAMIZI WA UJENZI Wasiliana nami +255 654 132 000 hummertimebuilders@gmail.com Tunapatikana; Shekilango- Dar es salaam.
  14. Mcanada

    Mwenye ramani ya Mkoa wa Dar es salaam naomba PDF/picha yake

    Habari ndugu zangu leo sina mengi naomba mwenye ramani ya mkoa wa dar es salaam inayoonesha mipaka ya wilaya na mitaa yake aniwekee hapa kwa mfumo wa PDF au picha kwa mfumo wa JPGE/PNG nina uhitaji nayo muhimu sana, nitashukuru sana kwa msaada huo. Mungu awabariki, karibuni sana canada.
  15. User TZ

    Wataalamu wa ramani, makadirio na ujenzi (experts of buildings design, estimation & construction)

    Je; 1. Umejenga mfumo wa kizamani ila unataka kuubadili kuwa wa kisasa na wa kuvutia zaidi? (Mfano; Nyumba ya chini kuwa ghorofa, Nyumba za paa za kuonekana kuwa za kujificha) 2. Unataka kukarabati Jengo la zamani na kuifanya kuwa kama mpya? 3. Ulijengewa vibaya na unahitaji kurekebishiwa...
  16. Tomaa Mireni

    90% ya nyumba za Dar miaka ya 2010 rudi nyuma ni hizi, ramani moja tu

    Nyumba hizi nyingi zipo Ilala miji ya zamani, Kigogo, Mburahati, Vingunguti, Mbagala, Keko n.k Utofauti unakuja kwenye kupaua na idadi ya vyumba tu ila ramani ni moja.
  17. Kipenzi Changu

    Mnaipa asilimia ngapi hii ramani ya Bangaloo?

    Baada ya kuupima mziki wa ghorofa na kuona ni kina kirefu sasa nahamia rasmi kwenye mabangaloo aka Freemason. Kuna floor plan ya huyo mwamba hapo. Naombeni maoni yenu na kukosoa kwingi kabla sijamchek
  18. D

    Wakuu nipeni ramani ya kusafirisha vitu vya nyumbani kutoka Magu-Mwanza hadi morogoro

    Naomba kupata connection ya kuweza kusafirisha vyombo vya nyumbani kutoka magu kwenda morogoro. Hasa nikitegemea magari yanayotokaka mara au musoma yanayorudi bila mzigo, pia Kama kuna gari ya uhakika kuanzia mwanza nistueni nisogeze mzigo
  19. N

    Mliojenga naomba msaada wenu kwenye hii ramani ya JF

    Nimeipenda nyumba hii nikawaz nibadilishe iwe frem lakini huku madirisha ya mbele nayabadilisha kuwa mlango , jumla inakuwa na frem 3 . Buget yangu ya ujenzi mpaka kupaua bila finishing ni milion 5 na kila frem nataka iwe futi 20 kwa 10 Nitatumia fundi Maiko kujenga na kupaua ,eneo ipo nje...
  20. Kaka Yaoh

    Sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii

    Huu ni utabiri uliopo wazi kabisa, leo hii mara baada ya dakika tisini kuisha pale taifa; hakika sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii. Timu haina mipango magoli, tunategemea ya kujifunga. Yaani Ndondokela Kocha hana mbinu, yaani yeye kakaa kukalili tu mfumo, yaani hata huo uprofesa sijui alipata...
Back
Top Bottom