ramani

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya wale Wazee wa Ramani njia gani ni rahisi ukiwa Kampala Uganda na unataka kwenda Mara Tanzania kati ya kupitia Kenya Migori na Mutukula Kagera?

    Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu? Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
  2. Mangi wa Rombo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Makadirio ya Vifaa (BoQ) Kwa Ramani hii (Nitakulipa)

    Habari Wakuu, Kama kichwa Cha Habari kinavojieleza. Nataka kuanza ujenzi wa Nyumba huko kwetu uchagani, wazee wa ukoo wamenikalia kooni, hii December nisiende kama hata ka-msingi sijaweka hapo mgombani (Just Kidding 😀). Nahitaji Mtu ambaye atanisaidia kutengeneza Makadirio ya vifaa (A Bill of...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ramani: Nchi zinazoongoza kwa watu wake kujisaidia nje

    Siku moja nilipita ile beach ipo nyuma ya Ikulu. Nilistaajabu sana kuona beach imejaa kinyesi cha binadamu hatari. Ile beach unapita unakwepa kinyesi! Ilikuwa miaka kumi iliyopita, sijui kama bado watu wanajisaidia kwenye ile beach.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tuzungumze kuhusu ramani ya nyumba ndogo ya kuishi

    Ghawizah, Naomba msaada kwa yeyeto mwenye kuchora ramani anichoree ramani yenye sifa zifuatazo. ♤ Iwe ya vyumba vitatu(kimoja masta sio selfu tu), sebule na dinning. ♤ Iwe na public toilet. ♤ Kweny masta kuwe na nafasi ya kitanda ,kabati la nguo . ♤ Dinning iwe na uwezo wa kukaa meza ya...
  5. John kirua

    JamiiForums Tanzania Msaada: ramani ya chumba choo na jiko la kupikia...

    Habari ndg zangu naomba msaada wa kupata ramani ya chumba 1 choo na sehemu ya jikoni tafadhali
  6. E

    JamiiForums Tanzania Hii ramani ya Palestina na Israel ni ya kweli ?

    Kama kweli ,hawa wapalestina wa bongo wanayaelewa haya ? Au wanashabikia tu vita vya gaza
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Afrika walitumia Mitindo ya Nywele zao kutengeneza ramani za kutoroka Utumwani Miaka ya 1800

    Inawezekana umesikia mitindo mbalimbali ya nywele kama vile twende kilioni au kilimanjaro. Hiyo mitindo haikuja tu hivi hivi. Kuna Wanawake enzi za Utumwa huko walikuwa na akili za ajabu sana. Inadaiwa kuwa wapo waliotumia nywele zao kuwasiliana kwa siri au kwa mafumbo ili wasikamatwe na...
  8. HOMEX DESIGN

    JamiiForums Tanzania Ramani, Ujenzi na Ushauri

    Vyumba vitatu, kimoja master, kimoja self, kingine single, sebule, dining, jiko, stoo na choo cha public. Kwa mahitaji ya ramani, ujenzi, ushauri n.k tuwasiliane 0719086787... Whatsapp & calls
  9. David 97

    JamiiForums Tanzania Ramani za majengo

    Tunachora ramani za majengo kwa gharama nafuu mno kuanzia 130,000/= na kuendelea. Hii ni kwa mikoa yote. Tupigie au WhatsApp 0759009331 Masaa 24 siku 7 za juma.
  10. David 97

    JamiiForums Tanzania Ramani za majengo

    Tunachora ramani za majengo kwa gharama nafuu mno kuanzia 130,000/= na kuendelea. Hii ni kwa mikoa yote. Tupigie au WhatsApp 0759009331 Masaa 24 siku 7 za juma.
  11. David 97

    JamiiForums Tanzania Ramani za majengo.

    Tunaandaa na kuuza ramani za majengo kwa gharama nafuu sana kuanzia 130,000/= na kuendelea. Ni kwa mikoa yote. Tupigie simu au WhatsApp 0759009331.
  12. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Modern contemporary house plan design

    Modern contemporary house plan Do you need other samples ? Check me on +255742892195 call text whatsapp WE design and build your dream home
  13. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nakukaribisha uangalie ramani hii ya vyumba 3 vya kulala

    Vyumba 3 vya kulala 1 Master bedroom 2 Normal bedroom Seble, dinning room,jiko,store, public toilet 2 verandahSawa makadilio haya hapa NYUMBA YA VYUMBA VITATU INA SELF MOJA NA VYUMBA VIWILI VYA KAWAIDA : ✴️Sitting ro ✴️Dinnin ✴️Kitchen & Stor ✴️Public toile ✴️1 Self Bedroo ✴️2 Normal Bedroo...
  14. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Ramani ya vyumba vitatu

    Habari zenu mabibi na mababu. Natarajia kuingia katika ujenzi wa nyumba yangu sasa nimetafakari nimeona nianze na nyumba yenye vyumba VITATU kimoja kikiwa Master, sebule, dining, jiko, store, public toilet. Kama kuna wajuzi wa michoro ya Ramani naombeni msaada itapendeza ikiwa Ramani ya kisasa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Napata wapi ramani ya kujenga nyumba?

    Nyumba ya vyumba vitatu
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuzindua Dira ya Mabadiliko ya Kiuchumi ya Tanzania: Ramani ya Barabara ya Miaka 25

    Wakati Tanzania inapotazama katika robo karne ijayo, mkakati wa kiuchumi ulioandaliwa vyema unaoungwa mkono na sera za kimkakati za fedha-(Kiserikali) na fedha-(Kibenki) unaibuka kama msingi wa harakati zake za ukuaji endelevu na ustawi. Kwa kutumia uwezo wa hatua za upanuzi na za kupunguza...
  17. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Chagua idea ya nyumba unayopenda ili nikubunie ramani ya kuendana na uchaguzi wako

    Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo. Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya nyumba utakayo kuwa umechagua. KARIBUNI. WHATSAPP: 0755325977
  18. navigator msomi

    JamiiForums Tanzania Mwanza mshikaji wenu nimetia mguu, nipeni ramani

    Wadau kama nilivokwisha kutoa habari hapo kabla ya kuwa na nia ya kuja kuishi mwanza, hatimae nimetimba kibabe takribani zinakatika wiki mbili... Kwasasa niko maeneo ya Buhongwa Nyamagana ila cha ajabu mpaka saizi sijaona inshu gani nifanye ili niweze ingiza mia mbili tatu. Kuanzia asubuhi...
  19. Druggist

    JamiiForums Tanzania Nini kibadilike kwenye hii Ramani?

    Wakuu Salama? Naomba mnifanyie critical Review ya huu mchoro toka Kwa Mtaalam wangu.Lengo langu ni 4 bedroom all ensuite Kwa Familia Kubwa/AirBnB na pia. Itajengwa Village.Wanafamilia watatumia siku za mwisho wa Mwaka Ila wakiondoka inaleta Pesa kama AirBnB. Vitu gani viko Sawa na vitu gani...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Kila anayeichukia Israel awe anatazama hii ramani na kupata aibu

    Nimejikuta natafuta Israel kwenye hii ramani, inabidi uitafute sana tu yaani, majitu ya uarabuni yanatia aibu, halafu na huku Afrika kuna wavaa kanzu ambao wanapaswa kuitazama hii picha wajipige vibao vya uso, ni aibu sana kwa kweli, haileti mantiki, nashindwa nicheke, nilie au nihuzunike. Na...
Back
Top Bottom