Je, inahitajika kibali kufungua ofisi ya kuchora ramani za nyumba?

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,605
2,748
Mimi sijasomea kuchora ramani ila nina ustadi huu.

Nataka nigeuze ustadi huu kama side hustle nijipatie kipato.

Je, kuna process zinatakiwa kufanywa kabla sijafungua ofisi ya namna hii.
 
Kwanza inabidi Urasimishe UJUZI kisha Ndio Utafute vibali vingine Rasmi vya Biashara.Ila KAMA ni Ofisi ya Biashara basi lazima Uwe na Vibali kadhaa.Ila kama ni side hustle unaweza anzisha Ofisi ambayo inafanya shughuli nyingine then Unaiweka hii side hustle yako hapo kama SIDE hustle
 
Hata sumbuliwa na board ya ujenzi au wizara ya ujenzi?

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom