Sasa tumshukuru nani Bashungwa kwa kutosikia utekaji maana kitambo hatujasikia kelele kwamba huyu ametekwa sasa tumshukuru huyu waziri mteule wa mambo ya ndani kwa kufanikisha hili au wale watekaji au wachora ramani wapo bize na uchaguzi wa ndani? Na je uchaguzi ukiisha tutegemee utekaji ukianza...
Wadau, hii mada ishajadiliwa sana baada ya serikali kutoa tamko kwamba Malawi inafunza watoto kupitia ramani za google ambazo zinaonesha ambazo zinaonesha ziwa lote ni milki ya Malawi.
Ukweli ni kwamba ramani zote za Google (map & earth) hazioneshi hivyo.
Mpaka wa ziwa Nyasa kati ya Malawi na...
List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha
Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako
Piga/WhatsApp: +255-657-685-268
Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
Mabeberu naona kama wanawashwa washwa, kupitia shirika lao la kibeberu, wametoa ramani inayoonyesha eti ziwa lote ni mali ya Malawi.
Hongera Wizara ya Elimu kwa kutoa muongozo. Tunasubiri Wizara ya Mambo ya nje ipeleke official complaint kwa hawa nyamaume.
Kinachondelea ndani ya Chadema ni mbinu ya kukifanya chama chao kisemwe na kusikika katika jamii na nyanja za kisiasa.
Hii ni mbinu iliyopitwa na muda yaani kutengeneza drama ili msikike na kutajwatajwa.
Kamwe mbinu hii haitaondoa ukweli kwamba CCM imeshawashinda kwa kuchukua sehemu kubwa ya...
Kaskazini mwa nchi ya Israeli, kwenye miteremko ya milima ya Golani, (Golan Heights) ndani ya kijiji kiitwacho Gamala, katika jimbo la Galilaya, alizaliwa kijana mmoja aliyepewa jina la Yuda.
Kijana Yuda alikuja kuwa mtu msumbufu nzima ya Israeli! Kipindi hicho Waisraeli walikuwa wakipitia...
Mambo ya kuzingatia kabla ya kuanza ujenzi.
Hakikisha unakiwanja ambacho kimepimwa na kinatambulika na manispaa ya mji...kuepuka migogoro.
Katika kiwanja unachotaka kuanza ujenzi Hakikisha unatambua upitaji wa barabara(access roads) na mpango mji , kwa mfn kuna maeneo ambayo ni maalum kwa ajiri...
Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO), amewaonesha Wapenzi na Mashabiki wa Simba ramani mpya ya Mo Simba Arena akisema huo ni mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio ya Club hiyo baadaye.
Akiongea leo October 06,2024 kwenye Mkutano Mkuu wa Club hiyo, Mo Dewji amesema "Hii ni ramani...
Unaweza kuongeza vyumba vya kulala vikawa viwili na kufanya mpangilio wa ladha yako.
Choo unaweza kukiweka sehemu ya pantry na sehemu ya choo kuwa chumba cha pili.
Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu?
Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
Habari Wakuu,
Kama kichwa Cha Habari kinavojieleza.
Nataka kuanza ujenzi wa Nyumba huko kwetu uchagani, wazee wa ukoo wamenikalia kooni, hii December nisiende kama hata ka-msingi sijaweka hapo mgombani (Just Kidding 😀).
Nahitaji Mtu ambaye atanisaidia kutengeneza Makadirio ya vifaa (A Bill of...
Siku moja nilipita ile beach ipo nyuma ya Ikulu. Nilistaajabu sana kuona beach imejaa kinyesi cha binadamu hatari.
Ile beach unapita unakwepa kinyesi! Ilikuwa miaka kumi iliyopita, sijui kama bado watu wanajisaidia kwenye ile beach.
Ghawizah,
Naomba msaada kwa yeyeto mwenye kuchora ramani anichoree ramani yenye sifa zifuatazo.
♤ Iwe ya vyumba vitatu(kimoja masta sio selfu tu), sebule na dinning.
♤ Iwe na public toilet.
♤ Kweny masta kuwe na nafasi ya kitanda ,kabati la nguo .
♤ Dinning iwe na uwezo wa kukaa meza ya...
Inawezekana umesikia mitindo mbalimbali ya nywele kama vile twende kilioni au kilimanjaro.
Hiyo mitindo haikuja tu hivi hivi. Kuna Wanawake enzi za Utumwa huko walikuwa na akili za ajabu sana.
Inadaiwa kuwa wapo waliotumia nywele zao kuwasiliana kwa siri au kwa mafumbo ili wasikamatwe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.