Naombeni makadirio ya ramani hii wakuu

Naombeni makadirio ya ramani hii wakuu

NYOLODO

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
12,116
Reaction score
27,722
Habari ya muda huu,

Naombeni wataalam wanisaidie kukadiria hesabu ya tofali ya kijuba hiki.

Niko kwwenye hatua za awali za KUFIKIRIA kujenga, kiwanja nimeshanunua wakuu. Tuanzie hili la tofali, Nitashukuru sana
 

Attachments

  • Easy.png
    Easy.png
    3.1 KB · Views: 36
1. Piga hesabu ya tofali.
2. Tafuta fundi nyingine

fact :

1. Hatujui landscape ikoje.
2. Udongo ukoje.
3. Upo mkoa gani.
4. Unataka paua na nini
 
ahaa sawa mkuu ngoj tuje na mahesabu kamili
sawa mkuu, bedroom ina mita 3 kwa mita 3, sitting hall nayo ni hivyo. toilet ina mita 1.5 kwa 2 na kitchen hivyohivyo. Nategemea dirisha hizi kuwa za mita mbilimbili. dirisha za choo na kitchen ndo sijui zinakuagana ukubwa gan
 
1. Piga hesabu ya tofali.
2. Tafuta fundi nyingine

fact :

1. Hatujui landscape ikoje.
2. Udongo ukoje.
3. Upo mkoa gani.
4. Unataka paua na nini
tofali tu mkuu. haya ya landscape sijajua una maana gani ila eneo tambarare. nategemea ukuta mmoja wa rum nasimamisha tofali kumi na sita (NNE za kufukia) kuanzia juu hadi chini
 
Habari ya muda huu,

Naombeni wataalam wanisaidie kukadiria hesabu ya tofali ya kijuba hiki.

Niko kwwenye hatua za awali za KUFIKIRIA kujenga, kiwanja nimeshanunua wakuu. Tuanzie hili la tofali, Nitashukuru sana
Mkuu kuna ka mjengo ka sampuli hiyo nimewai fanyia mahesabu ni around tofali 1000 tu, trust me hakatazidi hapo.
 
Back
Top Bottom