ramani

  1. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kupunguza migogoro ya ardhi Wizara ya Ardhi iweke ramani na taarifa muhimu online

    Ramani za miji kwa maeneo yaliyopimwa ni public document. Migogoro mingi ya ardhi inakuwepo kutokana na double allocation. ( Ardhi moja kuuziwa kwa watu wawili). Itungwe sheria itayopelekea ramani za maeneo yaliyopimwa na ambayo bado kuwa online na kuwa access upon payment of a certain fee...
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ramani mpya baada ya ujio wa DRC ndani ya EAC, mshindwe wenyewe

    Sasa EAC tumetimia watu milioni 300, soko la watu wote hao na GDP ya bilioni 250 dola za Kimarekani, jameni watu tuchangamkieni hizi fursa, wa kulala waendelee na kusubiri maembe yadondoke, ila tuliozoea kupambana tuendelee mbele kwa mbele... Sema nimependa sana namna rais Uhuru amechakarika...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hii picha ilipigwa kabla ya WWI Arkansas na mwaka 2022 kuna wao ramani kuwa na nyumba kama hii

    Miaka hiyo umeme ulikuwa ni kwa wachache wenye uwezo na maji kulikuwa na visima vya mdundiko katikati ya miji. Wakati wa baridi kulikuwa na gogo la moto linalotoa joto. Bill ya kulipa ilikua ni kodi ya kichwa tu. Kuna watu wana nyumba zenye hali mbaya zaidi ya hii si vijijini tu bali hata mijini.
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Hii ramani inafikirisha sana, Urusi imeshindwa kuparamia haka kanchi

    Ama kwa kweli ukubwa sio nguvu ila ujuzi na matumizi ya ubongo, kainchi saizi ya mkoa mmoja wa Urusi kameitoza Urusi kamasi imepoteza majenerali, meli, wanajeshi maelfu na hasara nyingine nyingi mpaka Urusi imeomba msaada Syria na kwingine. Licha ya hasara yote hiyo, Urusi imeambulia tumiji twa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Vipimo vya Ramani hii

    Habari wakuu. Mwenye vipimo vya hii ramani naomba
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jana nilijua SImba SC tunaenda labda Kutambulishwa Kocha Mkuu mpya au Mchezaji kumbe ni Kuonyesha tu 'Beacons' na 'Ramani' za Bunju

    Sasa nimeamini kwanini Boss wangu wa zamani na Kiongozi ninayemkubali Simba SC Mzee Ismail Aden Rage alisema kuwa Sisi wana Simba SC ni Mambumbu sana na hakika alikuwa sahihi Kutudhihaki kiasi kile. Mnaacha kutuambia Kocha Mkuu anakuja lini, Usajili utakuwaje na kwanini Msimu huu tumetoka...
  7. Obama wa Bongo

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa hili la Mtu kuomba Ramani ya nyumba yako

    Salama wadau, Nina kamamiezi kadhaa toka niamie makazi yangu mapya...ila tatizo ninalokutana nalo ,wapita njia wanaomba ramani ya nyumba(nyumba bado sijaliza ukuta) pia ipo barabarani main road Zaidi ya mara nne nimeshawatimua watu wanapiga picha nyumba bila ruksa yangu tena hapo ni weekend...
  8. Lupe Tz

    JamiiForums Tanzania Kwa ramani hii ninunue bati ngapi

    Nimeweka floor plan, ni kajumba kadogo dogo 1-master, 1-single Public toilet, Kitchen with 2 verandah, msaada ninunue bati ngapi wakuu?
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ninamtafuta mtu wa kuchora ramani tuyajenge

    Ninahitahi ramani ya guest house, vyumba 10-+ yenye jiko, dining na bar. Vyumba self contained na tutavuna maji ya mvua hivyo kuwe na nafasi ya kuchimba kisima kirefu.
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ramani ya fundi Maiko, inachorwa bila proportions lakini nyumba inasimama

  11. yohana Malekela

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ramani ya nyumba za wapangaji

    Wana Jamiiforums wenzangu khabari za jioni, kwa wataalam wenye talanta na taaluma za mambo ya ujenzi Naomba msaada wa RAMANI ya nyumba ya wapangaji. Ahsante.
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ramani mpya ya Afrika Mashariki haioneshi Zanzibar, Inabidi kuwe na masahisho

    Upande wa kwanza Zanzibar ni nchi iliyoungana na Tanganyika ikapatikana Tanzania, katika huu muungano Zanzibar inabidi iwe na raisi au makamu wa raisi wa Tanzania, Pia Wazanzibari katika huu muungano wapo Mawaziri, mabalozi, wakuu wa taasisi, wabunge, Idara za ulinzi, waajiriwa, n.k. Lakini kwa...
  13. Kuwite94

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza ramani za nyumba za aina mbalimbali

    Ramani ya vyumba viwili, chumba kimoja masta, kingine cha kawaida, pia ina; ~sebule ~dining{chumba cha kulia chakula} ~jiko ~stoo ~choo cha kushea ~baraza ya mbele na ya jiko ~Ukubwa wa Ramani ni mita 11.6 kwa mita 8.6 ~Mahitaji: Tofali 2650,Bati pisi 34 { futi 10 urefu na upana futi 3} ~kupata...
  14. Mapondo Mapoka

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kupaua nyumba ya ramani hii

    Wataalam na wazoefu maswala ya ujenzi hasa kupaua naombeni msaada kulingana na title hapo juu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  15. becknature

    JamiiForums Tanzania Tunauza ramani na kufanya ukadiriaji wa material ya ujenzi

    Habari wakuu poleni na majumu, Kutokana na changamoto naiona watu kuomba sana gharama za materials ya ujenzi, naomba niwape taarifa kua naweza kukupatia gharama zako zote za ujenzi kuanzia msingi, boma na uezekaji wa paa, nakuandalia schedule of material au BOQ, kwa gharama nafuu kabisa...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Samia ameanza kufaulu kuirejesha Tanzania kwenye ramani ya dunia

    Mlikua mumetumbukizwa pabaya...kisa uongozi uliojaa maamuzi ya kijuha na chuki. ======= Samia is a master political player Tanzanian Opposition deputy leader Tundu Lissu and President Samia Suluhu in Belgium on February 16, 2022. PHOTO | COURTESY Tanzania’s President Samia Suluhu is...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa kwa hili la Mpira miguu unazidi kumpoteza "Rais" katika ramani zake

    Tumekusikia jana ukitoa maelekezo ya kutosha Baraza la michezo jinsi Wizara yako mnavyotaka isimamie mpira wa miguu “as if” Baraza la Michezo kazi yake ni kusimamia mpira wa miguu tu na huku ukijisahau kuwa wewe sio Waziri wa mpira wa miguu peke yake. Okay tuliacahe hilo. Tumesikia maoni ya...
  18. karv

    JamiiForums Tanzania Je, Mason Greenwood atapotea kwenye ramani ya soka kama Adam Johnson?

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri Naomba niseme kidogo kwa anayopitia huyu mchezaji mwenye kipaji bwana mdogo Mason Greenwood kwa sasa. Mwaka 2015 mchezaji wa Sunderland na timu ya Taifa ya Uingereza Adam Johnson alikamatwa na kushtakiwa kwa kushiriki mapenzi na binti wa miaka 15 ambaye ni...
  19. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio kwa ramani hii

    Habarini wakuu Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani
  20. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Msaada makadirio kwa ramani hii

    Habarini wakuu, Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani.
Back
Top Bottom